Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,712
- 20,605
Ndio nilijiandikisha mapema sana na pia kuwahamasisha wengine kujiandikisha kwa wingi .Kazi iendelee...
Ulijiandikisha? 😊
Ujinga ,wivu,chuki binafsi na kukosa upeo ndio vinavyokusumbuaModerators tafadhalini unganisheni nyuzi zote za Lucas Mwashambwa za kumsifia Rais Samia.Hili ni Jukwaa la Siasa na siyo Jukwaa la kumsifia Rais .
Kama nakuona ulivyovimbisha kishundu kwa hasira, bwege wewe.Ujinga ,wivu,chuki binafsi na kukosa upeo ndio vinavyokusumbua
Nashauri tuwe makini na kiasi na maneno na kauli zetu, kauli nyingine huumba!.Ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwa Maisha ya Rais Samia hapa Duniani. Naona wazi kabisa namna Mama huyu alivyojitoa na kujitolea Maisha yake kama Sadaka kwa ajili ya kuwatumikia Watanzania.
Umenena vema , huyu dogo amekosa kiasi hadi amefikia hatua ya kukufuru, ila sidhani kama atakuelewa, huyu ana ulimwengu wake.Nashauri tuwe makini na kiasi na maneno na kauli zetu, kauli nyingine huumba!.
Sadaka ni kitu kinachotolewa kwa Mungu tuu pekee na sio kwa binadamu!, na ukiishamtolea Mungu sadaka, Mungu huipokea sadaka yake.
P
Anaitwa Dunga mawe, katika kitu nakumbuka alipitia changamotoo.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwa Maisha ya Rais Samia hapa Duniani.ukifuatilia namna anavyoongoza Nchi,namna anavyo chapa kazi,namna anavyopambana kutatua kero na changamoto mbalimbali,namna anavyotekeleza miradi ya maendeleo,namna anavyohangaika huku na kule kuwasikiliza watanzania na kuwapatia majawabu.
Unaona wazi kabisa namna Mama huyu mwenye moyo wa huruma na upendo alivyojitoa na kujitolea Maisha yake kama Sadaka kwa ajili ya kuwatumikia watanzania.inafika wakati unamuona sana huruma na unajiuliza anakaa saa ngapi na familia yake .maana muda wote na Mwingi unamuona yupo kazini akichapa kazi bila kuonyesha uchovu wala kuchoka.Ikumbukwe naye ni Mwanadamu mwenye moyo wa nyama na mwili kama binadamu wengine.
Kwa hakika itatuchukua miaka mingi sana kumpata Mama Samia Mwingine katika Taifa letu. Mwenye Moyo wa huruma ,upendo, uzalendo, uchapakazi, unyenyekevu na dhamira njema kwa Taifa letu.Najuwa wenye upofu wa akili na macho wanaweza wasielewe vyema maneno haya kwa sasa.
Najuwa wenye chuki binafsi na Mama wanaweza kuwa gizani bado na kupofushwa na mawazo ya kibaguzi kwa misingi ya ukabila ,Udini,ukanda na jinsia na wengine bila hata sababu ya msingi zaidi ya kufuata Mkumbo tu .
Lakini ipo siku baada ya kumaliza muhula wake wa pili 2030 tutamkumbuka sana huyu Mama,kuna watu watabubujikwa na machozi ya kujutia chuki zao kwa Mama huyu asiye na makuu wala majivuno wala kiburi wala dharau wala ubaguzi.Tutamkumbuka sana huyu Mama mwenye hofu ya Mungu ndani yakeView attachment 3131964
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nenda kwa watanzania uwaombe ukajitolee.Maana tunahitaji mtu mchapa kazi,muadilifu ,Muaminifu na mzalendo aina ya Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu HasssanEeh anayejitolea ndio analipwa million 40 kwa mwezi na mimi naomba nijitolee kwa watanzania..
Nimekusamehe makosa yakoLucas hivi unafananaje? Hivi Mungu na binadam Nani anamuitaji mwingine zaidi kama unasoma biblia vizuri?.
Una tabia za kike...warfogh
Nimekusamehe bure kabisa maana najua una matatizo kichwani mwako.Kama nakuona ulivyovimbisha kishundu kwa hasira, bwege wewe.
Naunga mkono hoja kwa 100%.Moderators tafadhalini unganisheni nyuzi zote za Lucas Mwashambwa za kumsifia Rais Samia.Hili ni Jukwaa la Siasa na siyo Jukwaa la kumsifia Rais .
Huyo akili aliyobakishiwa ni ya kusifia, kuvukia barabara na kwendea chooni tu.Hivi lucas unajua maana ya 'sadaka' kweli wewe?
punguza mihemko ktk kuandika ndugu,