Luhungu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 816
- 232
poleni ndugu,..hii ndo nchi nchi ya ccm,...
Huo ni uchochezi
poleni ndugu,..hii ndo nchi nchi ya ccm,...
Si vizuri kucomment hivyo kwa hao ndugu zetu. Hawakujipeleka wenyewe.kufeni tu maana hakuna namna raisi kapiga marufuku safari za nnje nia yake ni kubana matumizi nyinyi hamtaki mbona vyuo viko vingi bongo ila mlitaka mashauzi serikali kwa sasa haina hela pesa zote zipo kwenye miradi kwa kuwasaidia subirini sikuu tukifuta pesa zake ndizo tutakazo watumia kama nauli sio za kujikimu
Hizo kozi mnazosoma huko hazipatikani Tanzania?
Alisema mleteni huyo mwalimu à je kuwafundishia huku yy mwenywe asafiri
Nendeni ubalozini,kila kitu kaachiwa balozi. Ngosha hana habari na yanayoendelea huko nje. Tuko bize kuvunja nyumba/vibanda vilivyojengwa maeneo hatari. Poleni sana watanzania wenzetu,mnateseka huko ughaibuni.
Jiweke kwny nafasi yake then think twice abt what u just said..try to be positive dude..kufeni tu maana hakuna namna raisi kapiga marufuku safari za nnje nia yake ni kubana matumizi nyinyi hamtaki mbona vyuo viko vingi bongo ila mlitaka mashauzi serikali kwa sasa haina hela pesa zote zipo kwenye miradi kwa kuwasaidia subirini sikuu tukifuta pesa zake ndizo tutakazo watumia kama nauli sio za kujikimu
najua ila tatizo lao wanaidharau sana elimu yetu ya bongo wanatawaliwa na uzungu sana na kudhani kule ndio bora kuliko kwao wengi wao wako hivyo vikozi kidogo uk mara singapore ambavyo hivyo vyote vinapatikana hapaJiweke kwny nafasi yake then think twice abt what u just said..try to be positive dude..
wanadanganywa na scholarship wazungu sio watu wazuri hapa bongo mbona vyuo viko vingi tusipende kuibebesha serikali mizigo isiyo na tija ukiona uchumi wenu haurusu weww kwenda kusoma nnje basi ww tulia bongo tu.piga kitabu hapa iliusije ukaona watu wabayaSi vizuri kucomment hivyo kwa hao ndugu zetu. Hawakujipeleka wenyewe.
Kumlaumu/Kumponda mtu ambaye yupo kwny tatizo husika sio SOLUTION..labda nikueleze kuwa hii program ni ya serikali ma ipo kwny nchi nyingi sio tanzania peke yake pia kama wanapata mkopo/BOOM kupitia loan board it means SERIKALI INAWATAMBUA ss tatizo lipo kwa watendaji kwny sekta husika ss kk mtu akiwa hajapaylta haki yake ya msingi KWA MIEZI MITATU tena yupo UGHAIBUNI alaf anaomba msaada unamdhihaki!!! Dude sio poa..najua ila tatizo lao wanaidharau sana elimu yetu ya bongo wanatawaliwa na uzungu sana na kudhani kule ndio bora kuliko kwao wengi wao wako hivyo vikozi kidogo uk mara singapore ambavyo hivyo vyote vinapatikana hapa
najua ila tatizo lao wanaidharau sana elimu yetu ya bongo wanatawaliwa na uzungu sana na kudhani kule ndio bora kuliko kwao wengi wao wako hivyo vikozi kidogo uk mara singapore ambavyo hivyo vyote vinapatikana hapa
kazi hizo zipo tu ila connection na kujichanganya. Mwajiri hawez kumuajir stranger ila ukipata mtu akakuconnect kwa boss kazi ni nyingi angekuwa Cph ningempiga tafu.poleni sana....
najua mnavyoumia sana sana nchi za ulaya hizo ...
mi nawashauri tu watu ambao wanaratarijia kupata/ au wana ndoto za kumalizia masomo ya juu Europe wahakikishe kama ni scholarship inakuwa full , yaani hata kama ukiambiwa nusu inalipwa na HESLB sijui... bora ubaki home.... ulaya saa hivi pagumu , kutafuta ajira pia ni ngumu sababu immigrants na refugees wana compete hizo hizo none professional jobs ambazo hapo awali zilikuwa ni students jobs ...
Mkuu rudisha familia.....
pole sana
Kitu magufuli hiyooo. Sio mnabebana na kundi la watu ah ah ah i love my presidentAlisema mleteni huyo mwalimu à je kuwafundishia huku yy mwenywe asafiri