Andikeni ombi la kurudi nchini ili mje mmalizie masomo yenu huku huku, maana Mh Rais mwenyewe hafagilii kuruka nchi za watu mpaka ahisi results itaonyesha benefits+ve > -ve drawback. Baadhi ya watu nchi imekuwa chungu kwao, angalieni na nyie isije ikawaangukia