Rais Magufuli: Siwezi kusikiliza madai ya malipo yoyote wakati kuna malipo hewa kila kona

Huu anaoufanya ni uhuni na wizi wa kukwapua mamilioni ya shilingi haki za Watanzania kila kona nchini. Huyu ni mtu wa hovyo sana. Nawasikitikia sana Wafanyakazi wa Serikali nchi nzima.

Watu lazima walipwe stahiki zao Ni lazima kuwe na muda maalum hata km hutaki kulipa utalipa tu kuto lipa ni kulimbikiza madeni (When you set a goal it must be realistic and specific)
 
Mbona mishahara anaendelea kuwalipa????
Au yenyew sio malipo????
Srikali ya hili dubwasha haiaminik kabisa... Kama bado malipo hewa bado yapo alikua anafanya uhakik wa nn???
Kama amemaliza uhakik na bado watumish hewa wapo ameshaprove failure...?
Aangalie namna ya kuwalipa sio kusingzia malipo hewa kuwafanyia watu dhuluma...
*huu nao ni ubashite huu*
 
Hawa walimpigia kura nyingi sana, ngoja waisome namba kama hawawezi kugoma kama wanafunzi wa vyuo watulie tu makwao waridhike watachopewa na serikali
 
Morali ya kazi, ni ile hali ya mtu kufanya kazi kwa ari na kwa wered wa hali ya juu.
SWALI LA NYONGEZA?
Katika kufundishwa kwangu kiswahili, hamna neno " wered"hata kwenye kamusi halipo..ni WELEDI. Sasa kama hata unashindwa kuandika maneno ta kiswahili fasaha, utaweza kujibu hoja zangu...

Okey....

Employee morale is the description of the emotions, attitude, satisfaction, and overall outlook of employees during their time in a workplace environment.

Part of effective productivity is thought to be directly related to the morale of the employees. Employees that are happy and positive at work are said to have positive or high employee morale. ( katika hii paragraph, je waalimu are they happy, are they positive at work? Do they have high employee morale?)

Government or non-government institutions that maintain employees who are dissatisfied and negative about their work environment are said to have negative or low employee morale.( RUDIA KUSOMA HAPA IKIWEZEKANA MARA 20 ILI UELEWE) .

Kwaio nakuja kwako, nimeona kwamba umeniandikia sijui tena kwa kuweka na alama za kuuliza kibao kwamba "malimbikizo ni morale????"

Malimbikizo ya mfanyakazi yeyote anayodai unataka kuniambia hayashushi morali ya mfanyakazi? Ukiwa unanilipa mshahara kila mwezi na bado nakudai malimbikizo yangu ya mishahara iliyopita na stahiki nyingine hapo unanisaidia nini? Morali na weledi wa hali ya juu unatoka wapi kama nadai haki zangu za msingi, then unakuja kwenye majukwaa unazungumza kwa kejeli,..hayo malimbikizo yamekwisha hakikiwa mara ngapi?!!

Unazungumza nini...unauliza "morali ya malimbikizo" tena unaweka na alama za kuuliza ...yani unashangaa kwamba ni kitu hakiwezekani...yani ni ujinga...yani wanachofanyiwa waalimu ni sawa kabisa kinakubalika duniani kote.

Una hoja gani labda ya msingi ya kusema pengine naweza kujibu lakini kama itakua MIPASHO, samahani sintoweza.
 
Kama hadi sasa kuna malipo hewa yanafanyika,basi uhakiki ulikuwa hewa,wahakiki walikuwa hewa,taarifa ya sasa inayotolewa ni hewa na tutegemee heeeeeerrwa!
 
Mwaka 2015 Magufuli alituomba kazi ili akatutolee hewa huko serikalini; sasa kama anaona hiyo kazi ya kutoa hewa ni ngumu kwake basi anyooshe mikono juu ili mtu mwingine aajiliwe!!! Kutoa hewa ndio kazi uliyotuomba mwaka 2015!! Tulitegema kuwa unaendelea kunyoosha serikali kama unavyosema wewe mwenyewe na sio kutoa kauli za kukata tamaa kuwa kila mahali hewa hewa !!!
 
sasa hayo malipo hewa yanafanywa na walimu au serekali ambayo anaiongoza .kama ni kweli yeye anaamini kuna malipo hewa sasa wakutumbuliwa ni waalimu au hazina?
 
Bora ameweka mambo wazi mkuu...JPM huko juu wachache kabisa wewe ni rais wa wanyonge na walimu sio kundi la wanyonge.. sasa malipo ya nini?
 
JPM akihutubia umati wa watu Leo hii Mjini Lindi amesema serikali yake siyo ya kutishwa tishwa na hivyo hawezi kusikiliza madai yoyote wakati kuna Malipo hewa kibao kila Kona.

Mishahara Hewa, Matibabu Hewa, Malipo ya Uhamisho Hewa.. Hewa hewa hewa!

32a06f4cf91d79f3bf379a7694708a63.jpg

Maoni yangu:
Juzi nilisikia viongozi wa walimu wakitangaza mgogoro na Serikali. Kwa hotuba hii poleni sana walimu wote kwani mkuu hatishwi kabisa na kelele za Nyau.
Mtalipwa tukimaliza Hewa! Poleni Sana.
wacha waalimu wanyooke bana. ndiyo wamekuwa wakiibeba CCM kila uchaguzi. wacha wazisome tarakimu!
 
dhuuu walimu poleni

walianza kwa kuwapunguzia deni kutoka billions hadi 800 mills

walipoona wamekubali kwa shingo upande mkulu kaamua kueka jiwe

iv tangu Io ishu ya wafanyakazi hewa ianze kufatiliwa imeleta impact gani maana pesa ya mishaara inaotoka serekalini haijapungua

Na hamna yeyote katika izo sehemu zilizotangazwa kua Na wafanyakazi hewa amna aliewajibishwa Ata mmoja?

iv bashite ndio amebakia au kuna wengine
 
Katika kufundishwa kwangu kiswahili, hamna neno " wered"hata kwenye kamusi halipo..ni WELEDI. Sasa kama hata unashindwa kuandika maneno ta kiswahili fasaha, utaweza kujibu hoja zangu...

Okey....

Employee morale is the description of the emotions, attitude, satisfaction, and overall outlook of employees during their time in a workplace environment.

Part of effective productivity is thought to be directly related to the morale of the employees. Employees that are happy and positive at work are said to have positive or high employee morale. ( katika hii paragraph, je waalimu are they happy, are they positive at work? Do they have high employee morale?)

Government or non-government institutions that maintain employees who are dissatisfied and negative about their work environment are said to have negative or low employee morale.( RUDIA KUSOMA HAPA IKIWEZEKANA MARA 20 ILI UELEWE) .

Kwaio nakuja kwako, nimeona kwamba umeniandikia sijui tena kwa kuweka na alama za kuuliza kibao kwamba "malimbikizo ni morale????"

Malimbikizo ya mfanyakazi yeyote anayodai unataka kuniambia hayashushi morali ya mfanyakazi? Ukiwa unanilipa mshahara kila mwezi na bado nakudai malimbikizo yangu ya mishahara iliyopita na stahiki nyingine hapo unanisaidia nini? Morali na weledi wa hali ya juu unatoka wapi kama nadai haki zangu za msingi, then unakuja kwenye majukwaa unazungumza kwa kejeli,..hayo malimbikizo yamekwisha hakikiwa mara ngapi?!!

Unazungumza nini...unauliza "morali ya malimbikizo" tena unaweka na alama za kuuliza ...yani unashangaa kwamba ni kitu hakiwezekani...yani ni ujinga...yani wanachofanyiwa waalimu ni sawa kabisa kinakubalika duniani kote.

Una hoja gani labda ya msingi ya kusema pengine naweza kujibu lakini kama itakua MIPASHO, samahani sintoweza.
Hapo kwenye rangi nashukuru tumeelewana..........Yote kwa yote tangu posti yangu ya kwanza nilimaanisha hiki ulichoandika isipokuwa wewe ulidhani nakudhihaki...........Morali ya watumishi haijashuka kwenye malimbikizo,ila ilishuka tangu na tangu, tangu pale walipokosa nyongeza ya mshahara.................
 
Back
Top Bottom