Rais Magufuli: Siwezi kusikiliza madai ya malipo yoyote wakati kuna malipo hewa kila kona

Wewe ndo nakuuliza morali ipi?Maana kama morali ya kazi wenzio hawana tangu walipokosa nyongeza ya mishahara Julai 2016 wewe unazungumzia morali ya malimbikizo???????????
Kabla hujajibiwa swali lako unaelewa nini kuhusu MORALI YA KAZI.
 
hasira kwa wabongo wanaoshinda kumuwaza makonda na wema,,,, wangekuwa na hasira wangeonesha asira zao kwenye escrow,richmond,n.k ,,,,WATZ sio waharabu

Mkuu,

Huyu anatengeneza bomu kali sana,

Rais hutakiwi kuwa na kauli za hivyo,

Walau angewatia moyo kwamba watashughulikia ila kwa kuwatisha na kuwaona kama taka taka sio nzuri hata kidogo.

Tuuachie muda utaongea
 
Madikteta ndivyo walivyo Mkuu! Si tuna wakaguzi wa mahesabu nchini!? Kwanini hawa wasihakiki uhalali wa haya malipo badala ya kuwadhulumu haki zao Watanzania chungu nzima nchini!? Hii ni dhuluma ya mchana kweupe!! Mliohamia Dodoma mjiandae kudhulumiwa na hii Serikali dhalimu.

Ina maana hata malipo halali na malimbikizo ya muda mrefu nayo ni malipo hewa? Hivi kwa namna hii huko makazini kutakuwa na morali ya kazi.
 
Poleni waalim Wote kwani mkuu hatishwi kabisa na kelele za nyau mtalipwa tukimaliza hewa" ivi haya ni maneno ya mkuu au ya mleta mada??
Cha ajabu yuko madarakani kwa miezi 16 ameshindwa kumaliza hizo hewa ambayo ni kazi ya mwezi mmoja kwa vile systems za kushugulikia hayo mambo wazungu wanazitumia kitambo.

Ni kichaa pekee ataamini huyu mtu atajenga viwanda, wallah tena
 
Sawa, jeshi litafundishwa Chekechea hadi kidato cha sita, maana wao sio hewa. Wajiandae kupikaatokeo ya 2017/18 walimu sio watu WA mchezo mchezo. Amuulize Jk alipowakashfu walimu kura zilivyoporomoka hadi 62% toka 84%
Porojo la haja nyuma ya kibodi
 
Back
Top Bottom