chiefnyumbanitu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 906
- 426
Safar za usiku nazo sio nzuri mara nyingne
Boss hayo yote ni makosa kisheria kama serikal inavopigana na wakwepa kodi wapambane na majambazi madereva walevi na magari yanayoenda spid zaid ya kiwango kuna mamlaka zifanye kazi zifanye kaz excuse hizo ni uzembe serikal ingalie sana Watanzania tuamke fursa ni nyingi ndugu tukianzia hapo tu.Kweli kuna kuokoa muda ila
1-Mtanzania hata kifo haogopi kwahiyo serikali inamlinda.
2:Utekaji uliongezeka sana.
3:Ulevi wa pombe na mataptap umezidi kwahiyo vifo vitakuwa vingi.
4:-Usafirishaki maharamia na wasomali.
5-Ukwepaji kodi
My take:-Tusafiri mchana tu,usiku tuachie STK
Labda sasa hivi hapa, naandika ndio hapatishi.. Mwezi uliopita tu…tulikuta mawe njiani.. UNASEMAJE HAPO??Hapatishi manyon kwenda singida mkuu
Ulitokea wapi mkuuNaungana na wewe,,kitendo cha kulazwa morogoro saa tano usiku sikukipenda asilan,,,saa tano moro aisee nilikereka sana
Itakuwa mwanzaUlitokea wapi mkuu
KigomaUlitokea wapi mkuu
Tatizo hujui chanzo cha marufuku hii.Hii marufuku ilitolewa miaka ya tisini baada ya ajali kutokea sana mida ya usiku.Nakumbuka kuna ajali ilitokea dodoma/ihumwa ilitokea ajali iliyoua watu zaidi ya thelathini chanzo kikiwa kusinzia kwa madereva.Tanzania ndio nchi pekee Afrika Mashariki marufuku mabasi kusafiri usiku. Marufuku hii inatugharimu kiuchumi na usumbufu mkubwa kwa wasafiri. Usafiri wa usiku ungewezesha mfano mkazi wa mbeya kuwahi shughuli zake Dar siku ya pili na kurudi mbeya siku hiyo hiyo. Kwa hali ilivyo baadhi yetu inabidi kudandia mfano magari ya magazeti ili kuwahi shughuli siku ya pili. Uchumi wa 24/7 bila usafiri usiku ni ndoto za mchana. Serikali ifute marufuku hii angalau kwa baadhi ya routes ambazo usalama siyo issue.
Pole mkuu kulala njiani inabore sanaKigoma
Halafu mapema tu hapo tungetoboaPole mkuu kulala njiani inabore sana
Nadhani hoja ya kuzuia mabasi ucku, haikuwa ujambazi. Nakumbuka aliyepiga marufuku safari za mabasi ucku, alikuwa John Malecela wakati huo akiwa ni waziri mkuu. Alifanya hvyo kwa hoja kupunguza ajali.
askari kazi yao nini?...kila mwaka tunaingiza askari wapya wanaota vitambi uzembe wao ndio walitakiwa wakae barabarani na road patrol 24/7 kama wenzetu kenya .pindi anapotokea jambazi ni shot to kill tuone kama kutakuwa naupuuzi kama huo wa kuteka teka ovyo.Mimi naona iendelee tu maana mabasi yakianza kusafiri mpaka usiku uvamizi utazidi kama ukiwa na haraka zaidi unapanda ndege tu