- Thread starter
- #21
Kweli kaka kuna barabara ambazo si lazima kwa mfano barabara ya namanga to dar mwanza to dar dar mbeya dar mtwara hizo n barabara kuu kiuchumi wazifungue na kuimarisha ulinzi..Zipo Baadhi Ya Barabara Kama Dar-Arusha.
Dar-Dodoma.
Dar-Moro
Na Baadhi Ya Sehemu, Lakn Kuna Barabara Hazifai Kupita Usiku Hata Kama Ni Lami, Hata Hivyo Kutembea Usiku Kucha Sio Kukuza Uchumi.
Maroli Yanaruhusiwa Kwa Baadhi Ya Sehem Ambazo Hazifungamani Na Hifadhi Ya Wanyama Lakn Kwa Mabasi Ya Abiria Ni Hatari Coz Mnaweza Kupata Tatzo Njiani Gari Ikaharibika Halafu Mwisho Wa Siku Mnailaumu Serikali Kutowapa Msaada Kwa Wakati