Rais Magufuli: Msimamo wangu wa kutoteua upinzani bado upo palepale

Propaganda tu, hana nia njema na upinzani. Ni vema akafahamu anaitendea dhsmbi nafsi yake. Huyo mama naye hakuwa na nia ya dhati kuwatetea Watanzania. Hata kama naishi na mlo mmoja sipo tayari kuitumikia nafasi yoyote ndani ya ccm hasa ya siasa.
Haijawahi kuthibitika kwamba ACT ni chama cha upinza.....
Hivyo, hakuna la kushangaza Anna kuteuliwa kua mkulu wa mkoa
 
Unaropoka tu ,
Huo mtazamo wako. Mimi siwezi kushiriki uonevu unaotendeka dhidi Watanzania kwa makusudi. Watu wanamwinulia Mungu Kuruani na Biblia na wanavunja katiba? Nenda tu kafanye wewe ukawe mtumwa
 
Kumbe hao aliowateua sio wapinzani?

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
ukishakubali uteuzi wa kwenda kutekeleza ilani ya ccm upinzani umeuvua na ndio maana mama hapo kakabidhiwa ilani though ni tofauti na ukichaguliwa ubunge ktk zile nafasi 10 za raisi.
happy.jpg
 
Hizi ni fikra zako tu.
Tulishawai kusema hakuna mtu mwenye akili ya kipuuzi CDM atakayemkubali Lowassa kama atafukuzwa ccm. Baadae tulikuwa wapole.
Hakuna mtu mwenye akili timamu kutoka chadema anaeweza kuungana na huyo babu kichaa. U naamini hizo propaganda zake? Anajua chadema hawakubaliani na upuuzi wake ndio maana akisema wanamuomba awateue.
Rais kusema uwongo ni kitu kibaya sana. Kama ni ukweli awataje hao waliomuomba awateue. Apeleke unafiki na umbeya huko[/QUOTE
 
Na bado ni miaka miwili tu bado mitatu tusubirie mengi
 
Hizi ni fikra zako tu.
Tulishawai kusema hakuna mtu mwenye akili ya kipuuzi CDM atakayemkubali Lowassa kama atafukuzwa ccm. Baadae tulikuwa wapole.
Lowassa ana utu kuliko Magufuli. Unadhani lowassa angekuwa rais vijana wangekuwa wanahangaika na maisha kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom