Rais Magufuli: Msimamo wangu wa kutoteua upinzani bado upo palepale

Ama kweli, tuelewe sasa kuwa Freeman Aikaeli Mbowe anamuomba kuwa waziri wa michezo au Jinsia?? Mh rais, naomba hao wapinzani wano kuomba uwachague kuwa mawaziri hata wasaidizi wa mawaziri, hata naibu waziri mkuu kama ile ya Mrema. Usimpe kabisa. Akitaka, akurudishie kadi yake ya CDM apewe ya CCM ndo alambe hiyo keki. Aksante pia kwa kutufahamisha wazi kuwa kumbe Act walikuwa wana act tu sio wapinzani.
 
Propaganda tu, hana nia njema na upinzani. Ni vema akafahamu anaitendea dhsmbi nafsi yake. Huyo mama naye hakuwa na nia ya dhati kuwatetea Watanzania. Hata kama naishi na mlo mmoja sipo tayari kuitumikia nafasi yoyote ndani ya ccm hasa ya siasa.
 
Kuteua mbunge kutoka chama pinzani sio dhambi manaake nadhani itasaidia kukuza dhana ya utawala bora na ni afya pia kwa demokrasia na siasa zetu kwa mtazamo wangu.

Na siku zote jambo jema huwa ni pale mtu anapokubali kuwa mjinga ili walau apate fursa ya kuendelea kujifunza kuliko kuwa mpumbavi kwa kujifanya kujua.

Ushirikishwaji katika nyanja mbalimbali ili kulisukuma gurudumu la maendeleo ndio msingi mkuu wa maendeleo yenyewe. Hivyo basi tunapoambiwa kwamba wapinzai hawatachaguliwa katika utawala wa awamu ya tano alafu baadae tunaone baadhi ya makada wa chama pinzani wakichaguliwa sio jambo baya.

Baya ni pale wanapochaguliwa baadhi ya hao makada alafu viongozi wa chama tawala wakijaribu kuyakataa matamshi yao ya awali kwamba kamwe upinzani hautashirikishwa katika utawala huu.
 
Unaropoka tu ,
 
Maneno mengi kutetea ujinga. Kubalini kwamba huyo mtu wenu kuna fuse zimekatika huko kichwani
 
Ngumu sana kuimudu nchi hii bila kushirikisha vichwa. ACT bado tuna hazina kubwa ya vichwa.

Duh! Kumbe kuna wabunge wa CDM wanamuomba omba nafasi!
Mbona wapambe humu hawataki uteuzi kwa chama chao!!
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu kutoka chadema anaeweza kuungana na huyo babu kichaa. U naamini hizo propaganda zake? Anajua chadema hawakubaliani na upuuzi wake ndio maana akisema wanamuomba awateue.
Rais kusema uwongo ni kitu kibaya sana. Kama ni ukweli awataje hao waliomuomba awateue. Apeleke unafiki na umbeya huko
 
Hakuna ubaya wowote wa chama cha siasa kuungana na chama tawala! Wanachotakiwa kufanya ni kujiweka wazi kuwa wao ni wa mrengo huo, isitoshe hata UKAWA walisha wa kataa ACT, sasa wamepata wabia wao. Nafikiri hii ni afya kwa chama chao
Tokea lini fisi na nyama vikawa pamoja...acha maneno laini
 
Back
Top Bottom