Rais Magufuli: Msimamo wangu wa kutoteua upinzani bado upo palepale

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Rais Magufuli akiongea baada ya kumuapisha Anna Mghwira kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro alisema kuna watu wanahoji alikuwa amezungumza hatoteua wapinzani amesema watu wanatakiwa waelewe alikuwa anazungumza katika maeneo gani,
Amesema alizungumza akiwa Zanzibar na msimamo wa kutoteua mbunge wa upinzani kutoka nafasi 10 za ubunge upo pale pale na ameshateua 9 bado nafasi moja

Amesema wapo watakaomuonea wivu kutoka CCM, Chadema kwa sababu hakuchagua huko japo wengi wanamuomba omba ila anataka upinzani uwepo

 
Hakuna ubaya wowote wa chama cha siasa kuungana na chama tawala! Wanachotakiwa kufanya ni kujiweka wazi kuwa wao ni wa mrengo huo, isitoshe hata UKAWA walisha wa kataa ACT, sasa wamepata wabia wao. Nafikiri hii ni afya kwa chama chao
 
Jana nilikuwa nasoma Wapigania uhurunwa watu weusi kule South Africa, Jana nilijuwa namsoma Stve Biko, kwa kweli ukisoma Historia yake utagundua kwamba hawa wanaharakati wetu wengi ni njaaa tu.
Takbiriiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…