Rais Magufuli awataka wapenzi na wanaCCM kushikamana na kuisimamia serikali.

Unaziba mdomo.Bunge halafu unataka.wanachama wa CCM waisimamie serikali wakati watu wa kusimamia serikali.imewafunga mikono na miguu.Sijui anataka.nini.
 
Ndiyo sababu Sizonje anataka wanaccm tu waisimamie maana waendelee.kupiga makofi.Na naona wanavyoiga CDM ati na wao wafanye vikao vya ndani naona vya nje imeshindakana.Naona amepigwa mawe kuwa anapendelea ngoja tusubiri wenyeviti wa ngada ati Azzan,Mtemvu,Milard na yule mwenye Redio mawingu tuone kama tuyawekwa.ndani au tutatolewa kwa Dhamana au hakuna ushahidi.Ngoja tusubiri Jumatatu
Cc: faizafoxy
 
Tumekubali na siasa za kinafiki, siasa za zidumu fikra za mwenyekiti. Sawa, tutaendelea kuisimamia na muda utatoa majibu.
 
Unatafuta ugomvi.Mie huyo hata nikiona hoja ya kumpa like nilishaacha kabisa.Yaani nilimdharau kabisa yaani sipati kukwambia.Hapo una tafuta matusi tu.
Kumbe unaijua hii namba?
Unajua SIZONJE hakumpa post kutokana na historia yake ya Nyuma
 
Ameona bunge live litamchana Chana alivyo na Siasa za kitapeli amebaki yeye tu kila ka mkutano tv live,tunakuuliza ulisema bunge live inatufanya tusifanye kazi,kule shinyanga ulihutubia kwa kisukuma ikarushwa live kwahiyo walihodhuria mkutano wako uliwauliza wamefanya kazi ??
 
Hapo kwenye kuisimamia serekale, tuwaachie wajisimamie wenyewe, ukiwakosoa hawachelewi kukudaka kwa uchochezi na kwenda kukubinya mapumbu bila ganzi
 
Haya ndiyo unayoyaona wewe? Hivi kwanini unakuwa hodari kwenye kuandika vitu hasi badala ya ukweli wa mambo?
Ukiniambia zile Pangaboi mie hizo czitegemei hata kuzigusa na sizioni kama ni kujikwamua kwenye ziki
 
Siyo kweli, ndiyo maana Lowassa jina lake lilikatwa chini ya uongozi wa JK, kuonesha kwamba ni fisadi papa.

Ukiwa upinzani siyo kujitoa akili kwa kila jambo. Pale panapohitaji uzalendo kama kushiriki vita ya matumizi ya madawa ya kulevya ni vyema kuunga mkono.

HATA kama waliokamatwa Lissu anasema ni vidagaa, hatua ya kuanzia imepatikana. Lissu naye apige hatua mbele, sio kupinga tu hata kama ni jambo jema.

Mpo hapo BAVICHA.
Chinyika bado tutatofautiana watuhumiwa wakiwa CCM wanalindwa kwa gharama yoyote, na mfano ni Lowassa alipotuhumiwa na bunge na baadaye CDM alilindwa kwa gharama yoyote , na swala ufisadi wa Richmond ikawa na udhuru mwingi mara pesa si ya umma, na hali ilipokuwa mbaya Lowassa kwenye hamashauri ya chama almkabili mwenyekiti wake kuhusu Richmond na aligwaya. Alichofanya ni kumtakasa lakini alipotaka haki yake dhidi ya maslahi yake basi CCM wakaujua wimbo wa ufisadi.

Na kuhusu vita vya dawa ya kulevya liwe ni jambo la kitaifa na vyombo vya dola viache ukada na si swala la RC mmoja kuthububutu au kutafuta ujiko. Kuwataka watu kama kina Lisu kufanya kazi hiyo labda bungeni na huku uraiani.

Safi Rais wetu mafisadi chadema wanaisoma namba kweli kweli ,


Hapa Kazi Tu
.

Kama ingekuwa ni porojo wala usingepoteza muda wako kwenye maneno ambao ni porojo labda kama hufahamu ulichokifanya.

Kuhusu Lema na Lijuakali, msikilize Mbunge, Joseph Mbilinyi amekupa jibu sahihi.


CCM bila police haipo amini usiamini. Hizi suluba za ki upinzani hawaziwezi.
 
Na wataendelea kufungwa kweli kweli wasipojirekebisha kwa huo ujinga wanaofanya.Kwani ni jukumu la nani kuulinda upinzani nchini?Haki ya kusikiliza nini?

utetewe kwa kipi bora ulichokifanya?

Hebu jaribu na wewe kuota uone kitakachokupata!
Kivipi?Kama kuna utapeli tangulia mahakamani.Usitumie nafasi ya uwingi kuelezea hisia zako!

Basi aseme wanaccm muendelee.kunisifia na.kunipigia makofi kwa kazi kubwa ninayofanya ya kufunga Wapinzani wetu hasa wanachama wa Chadema na Viongozi wao.Asipate shida zaidi ya aipatayo.

Pili kama wabunge wa CCM wanahaki ya kufanya mikutano na hata wasio wabunge Kwanini Wapinzani wasifanye.??

Kuota ndoto kuna uovu gani??Kuna binadamu atakayeishi milele??Ifike mahali muache upumbavu Lumumba
 
Naona mateja tu yanakamatwa
Ila yule jamaa LUGUMI mmemshindwa.
Acheni LONGOLONGOTunataka ajira asaivi TRL makarani eti wanasindikiza treni wasaidizi nao wanaacha ofisi wanasindikiza treni ya abiria kusaidia usafi hii manaake niinii.?
Mameneja IT wanatolewa ofisini wakasimame getini kuhesabu tot za abiria wa Treni ya Mwakyembe!!!
Shame!!
Viongozi TRL wanalalamika uhaba wa watendaji ukiwauliza wanasema wansubiri amri kutoka kwa SIZONJE!!! awaruhusu kuajiri.
WHAT IS THIS!!!?
vitu mnavyolalamikia vinahesabika halafu mumekaririshwa kama kasuku. inaonekana cdm mumechanganyikiwa baada ya boss kubadili gear hewani mkaaminishwa mkiwa nyumbu ndio mtashika dola halafu ikawa patupu
 
vitu mnavyolalamikia vinahesabika halafu mumekaririshwa kama kasuku. inaonekana cdm mumechanganyikiwa baada ya boss kubadili gear hewani mkaaminishwa mkiwa nyumbu ndio mtashika dola halafu ikawa patupu
Kashike bendela lumumba kamba inakatika we
 
Back
Top Bottom