Rais Magufuli awataka wapenzi na wanaCCM kushikamana na kuisimamia serikali.

Kuwa mpinzani au mwanachama wa chadema haikuondolei kinga ya kuhukumiwa na kufungwa!

Ingekuwa bora kama ungeuliza ni makosa yapi yanayomfaa mtuhumiwa kufungwa au kukaa rumande bila ya dhamana?
Hao wabunge wa CCM walikuwa wanafanyia wapi mikutano ya kisiasa kama siyo kwenye majimbo yao ama kwenye chaguzi ndogo?

Ota na wewe, halafu useme kama huyo mbunge wenu uone kitakachokupata!

Hakuna! Je, kuna binadamu mwenye haki ya kuusemea uhai wa binadamu mwingine?

Na kwa nafasi kama ya urais, kulikuwa na haja gani ya kusema rais atakufa siku za hivi karibuni?

Na vipi kama tukio lingetokea kweli! Ungekuwa na ujasiri wa kumtetea humu JF?

Ulitaka serikali imchukulie hatua gani kabla au baada ya tukio kutokea?

Hivi kufanya siasa za maendeleo hamuwezi? Au ufahamu wenu umeishia hapo?

Mlikuwa na nafasi nzuri sana ya kuzua ajenda ya kitaifa kuhusu ni jinsi gani mnada wa madini ya vito ulivyopelekea bei ya Tanzanite kushuka.

Lakini kwa sababu mmeamua kujitoa ufahamu, wacha mfungwe!

Jaribu kupunguza ghadhabu mtoto mzuri!
Usiulize majibu uliza maswali.Hivi kosa la kufanya mikutano ya kata hao madiwani wana makosa gani??

Ndalichako ni Mbunge wa kuchaguliwa Kigoma??Pole pole ni Mbunge wa wapi??Yule Chama zuku ni Mbunge wa Jimbo gani??Usiandika maneno mengi ili tu usafishe unyanyaswaji wa Upinzani na tawi.lenu la polisi.

Kama.hatujui CCM wanafanya mikutano kwenye majimbo ya Upinzani na wabunge na madiwani wa Upinzani hawaruhusiwi.basi.hayupo Tanzania na kan upo basi Maji ya Bendera yamekulevya.

Kwa sababu watupa maganda ni Wapinzani wabakumbukumbu sana tu.

Naona Tawi lenu linafanya kazi kweli kweli endeleeni ila kuna siku watachoka kuwatetea na kuwafunika na kapu la Tume ya Uchaguzi, Vyama vya siasa na Polisi.Ipo siku wanasema imetosha na watakaposema imetosha ndipo utakapoona Chama Chako cha Majangili kikifa rasmi
 
Kuwa mpinzani au mwanachama wa chadema haikuondolei kinga ya kuhukumiwa na kufungwa!

Ingekuwa bora kama ungeuliza ni makosa yapi yanayomfaa mtuhumiwa kufungwa au kukaa rumande bila ya dhamana?
Hao wabunge wa CCM walikuwa wanafanyia wapi mikutano ya kisiasa kama siyo kwenye majimbo yao ama kwenye chaguzi ndogo?

Ota na wewe, halafu useme kama huyo mbunge wenu uone kitakachokupata!

Hakuna! Je, kuna binadamu mwenye haki ya kuusemea uhai wa binadamu mwingine?

Na kwa nafasi kama ya urais, kulikuwa na haja gani ya kusema rais atakufa siku za hivi karibuni?

Na vipi kama tukio lingetokea kweli! Ungekuwa na ujasiri wa kumtetea humu JF?

Ulitaka serikali imchukulie hatua gani kabla au baada ya tukio kutokea?

Hivi kufanya siasa za maendeleo hamuwezi? Au ufahamu wenu umeishia hapo?

Mlikuwa na nafasi nzuri sana ya kuzua ajenda ya kitaifa kuhusu ni jinsi gani mnada wa madini ya vito ulivyopelekea bei ya Tanzanite kushuka.

Lakini kwa sababu mmeamua kujitoa ufahamu, wacha mfungwe!

Jaribu kupunguza ghadhabu mtoto mzuri!
Maswali uliyouliza yanaashiria upungufu mkubwa katika kujua yanayotendeka. Laiti ungekuwa unafuatilia matukio mbalimbali usingeuliza uliyouliza.
 
mwanachama mwingine wema,chid benz na mr bluu nao tusiwatenge
 
Safi Rais wetu mafisadi chadema wanaisoma namba kweli kweli ,

Hapa Kazi Tu
.
Pole sana. Naona uchama upo damuni. Kila siku hii nchi meifisadi. Sasa hiv meamua kula mpaka increment za watu. Ajira hakuna na kibaya zaid meanzisha uhakiki usioisha ili mfisadi tu watu.
Hata kanu walikuwa km nyie ila uzuri mnajizika wenyew. ILA SASA MEKUWA KM WAIMBA TAARABU "HAPA KAZI TU"HAENDANI NA UHALISIA WA SLOGAN YENU
Hapa kazi tu meshindwa kuajiri, na uhakiki umewashinda mpaka leo mebakiza porojo tu
 
Kazi ya kumfunga Lema na Lijuakali mbunge wa kilombero ndio umeweza mengine porojo tu,eti hapa kazi tu,hata mshahara wako tu umegoma kuhutaja na hata kukatwa kodi!!
hivyo ndio vipaumbele vinavyokusumbua!pole sana
 
Back
Top Bottom