jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,309
- 29,841
Mimi kama mtumishi wa umma pamoja na kushiriki ile survey ya uhitaji wa Nyumba kwa watumishi sijaona faida ya NHC kwa mtumishi wa kawaida wa UMMA.
Viwanja vinapimwa na priority haiendi kwa watumishi wa UMMA badala yake wanaishia kukopeshwa kwa riba za kutupa na mabenki wakati shirika linalotumia kodi yao haliwasaidii.
Shirika lilikuwa linahudumia mafisadi badala ya wanyonge...Hongera Rais Magufuli kwa kufumua huu uozo.