Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Nyumba(NHC), Blandina Nyoni na bodi yake yote

Kweli kabisa nakubaliana na wewe mkuu.

Sometime ukifuata sheria kuna vitu vingine haviendi kabisa. Na wengi wanafanya ufisadi maana wanajua loophole kwenye sheria zetu. Tupo pamoja mkuu.
Nikweli hizo siyo loophole Bali nimpango maususi uliosukwa ndani ya sheria na katiba na hao mafisadi kwa muda mrefu hivyo sheria na katiba inawalinda mafisadi ukizitumia utowaweza utasikia fisadi waziri aliye kwapua mabilioni kaukumiwa adhabu ya kuvusha Watoto barabarani au kufadia hospitali kwa mwezi mmoja
 
Rais aanze kutafuta watu nje ya wale waliozoeleka. Wengi ndio waasisi wa matatizo yaliyopo. Hakuna namna wanaweza kuwa na solutions za matatizo hayo
 
Ukiona mfanyakazi wa serikali anatembelea gari plate number ni jina lake hapo kuna walakini sana. Kama sijakosea huyu mama ni mmojawao.
Aisee kweli huyu maza kiboko. Hakuna ufisadi kakosekana ilikua ukichimba sana unakutana nae kwenye kila dili, Kapiga Sana. JPM kachelewa kumtumbua
 
Nikweli hizo siyo loophole Bali nimpango maususi uliosukwa ndani ya sheria na katiba na hao mafisadi kwa muda mrefu hivyo sheria na katiba inawalinda mafisadi ukizitumia utowaweza utasikia fisadi waziri aliye kwapua mabilioni kaukumiwa adhabu ya kuvusha Watoto barabarani au kufadia hospitali kwa mwezi mmoja
Kabisa mkuu.
 
Aisee kweli huyu maza kiboko. Hakuna ufisadi kakosekana ilikua ukichimba sana unakutana nae kwenye kila dili, Kapiga Sana. JPM kachelewa kumtumbua
Nakumbuka enzi za JK kulikuwa na club fulani ya wanawake ma-VIP akiwemo akina Mama Salma, Zakhia, Blandina, na wengineo wa aina hiyo; siikumbuki listi nzima ila ndio hivyo walikuwa na ka himaya fulani; distinguished females. Watu walipiga sana chini ya mwamvuli wa chama.
 
Tetesi ambazo hazijathibitishwa: Blandina Nyoni ndiye aliye choma utambi na mazingira ya Mkurugenzi wa NHC kusimamishwa.
Baada ya uchunguzi huyu mama akaonekana ana madudu mazito zaidi.
Cha kusikitisha, Nehemia na Blandina wanasali pamoja Mbezi Beah.
Kikulacho ki ngoni mwako na Mwisho wa Ubaya ni Aibu kubwa
 
Nakumbuka enzi za JK kulikuwa na club fulani ya wanawake ma-VIP akiwemo akina Mama Salma, Zakhia, Blandina, na wengineo wa aina hiyo; siikumbuki listi nzima ila ndio hivyo walikuwa na ka himaya fulani; distinguished females. Watu walipiga sana chini ya mwamvuli wa chama.
Pesa za maisha bora kwa kila Mtanzania ilipigwa na hao wahenga kipindi cha JK huyo mama kaanza kushiba siku nyingi.
 
View attachment 721030
Kupitia taarifa ya mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu, ndugu Msigwa, Rais Magufuli kuanzia leo March 21 ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Shirika la Nyumba Bi. Blandina Nyoni.

Hii imetokea asubuhi hii hata kabla mama wa watu hajakunywa chai.

=====

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing Corporation - NHC) Bi. Blandina Nyoni kuanzia leo tarehe 21 Machi, 2018.

Pia Mhe. Rais Magufuli ameivunja Bodi ya NHC kuanzia leo.

Uteuzi wa Mwenyekiti na bodi nyingine utafanyika baadaye.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais,

IKULU Dar es Salaam

21 Machi, 2018

--------

Bi. Nyoni aliteuliwa kuiongoza Bodi hiyo Februari 25, 2017 baada ya Zakia Meghji kumaliza muda wake.

View attachment 721021

Mijadala yenye kuwa na mambo fikirishi kuhusu Bi. Blandina Nyoni:

Blandina Nyoni; You are tired, you deserve to be fired!

Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

Kampuni za Blandina Nyoni zinavyofanya ufisadi serikalini

Blandina Nyoni na uhamisho wa uonevu, na kupendelea kabila lake, marafiki

Katibu mkuu wa Wizara ya Afya lawamani (Blandina Nyoni)
Tusubiri Mwenyekiti mpya wa Bodi kutoka Chakitoo!
 
ACHUNGUZWE KWA KWELI HUYU MAMA, TANGU KAONDOKA WIZARA YA AFYA BOTH MEDA NA PSI WAMEPOTEA KABISA.
 
Unataka mtu anaburunda aendelee kuachwa kisa kuepuka uteuzi wa kila siku?

Ninyi hao hao ndio wa kwanza kukimbilia mitandaoni kuandika madudu yakitokea na kuilaumu dola. Sasa leo rais anawawahi na kutumbua imekuwa kero kwenu. Ama kwa vile anawakosesha vya kuandika mtandaoni.

Huu ujinga sijui utaisha lini na ni bora tu kumbe anavyodhibit vidomo domo watu waelekeze akili kwenye kazi maana ukiachia akili hizi mtabaki kujibu ujinga tu.

Kipindi kile JK anasafir sana nje ya nchi watu tukalalamika kweli. JPM anasafir sana kwenda nyumban kwake napo tunalalama. JPM anatumbua watumishi sana tunalalama. JK hakutumbua tunalalama kuwa mpole sana.

Sasa JPM anajua anachokifanya na ukiropoka na wewe anakufuata.
raisi Naye pia ajiuzulu ameshindwa kuongoza
 
Back
Top Bottom