Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

Kwa cheo chake angeweza kuzuia hili lakini kwa sabab wanafanya kazi kwa uoga ndio imempelekea kufika pale...na yeye ni dhaifu maana ameshindwa kujenga hoja
Angezuia vipi? Unajua directives za hayo yote zinatoka wapi? Na yeye kazi yake ni kutekeleza yale aliyoagizwa na si vinginevyo.
 
Nyie watu mkoje? Hivi hili swali si lilitetewa bungeni? Yaani sijui hamna akili ama huwa mnajitoa akili. Irene kwani alikuwa anapanga mwenyewe bila ya kupitisha kwa wenye mamlaka ya kutunga kanuni?

Kikokotoo hutengenezwa na Waziri mwenye dhamana, mkurugenzi wa SSRA hahusiki!
Kama hahusiki kwanini alikuwa anapigilia msumari kwa nguvu zote na kupigia chapuo kwamba sheria ni nzuri mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana nasema ukiagizwa kitu na mwanasiasa usiwe na kiherehere sana kaa chino tafakari hata ukikitoa usiwe kama kiluilui
 
Waziri ananusurika vipi ? Hii ni mwendelezo wa double standard .
Uwezi kusema mchuzi una chumvi nyingi alafu nyama isiwe na chumvi wakati vyote vimepikwa kwenye chungu kimoja.
 
Hivi akili yako inakubali kwamba mkuu wa nchi alikuwa haelewi kabisa kinachoendelea kuhusu kikokotoo na amekuja kuelewa kwenye kikao cha leo?

Wewe hunaelimu na mamabo haya toka enzi ya Nyerere mfuko wa PPF ulikuwa unalipa 25℅ hela ya mkupuo, ndio mfuko uliokuwa kandamizi kuzidi mifuko yote ambayo ilikuwa inalipa zaidi ya 25%
malalamiko ya wanachama wamfuko huo kuwa unalipa kiwango cha chini mno na kandamizi yaliibua wazo la mifuko yote iunganishwe ili iboreke ilipe kiwango sawa kizuri,
Upuuzi ni kuwa baada ya kuunganisha mifuko yeye kama mkurugenzi na mtaalamu alioaminiwa kwa ushauri wake kaja tena na tatizo lilelile ya 25%
Sasa kwa akili yako ulitaka Magu amfanye nini amsifie ?
Halafu upuuzi aliofanya kutoshirikisha wadau vyama vya wafanyakazi ktk maamuzi, angekuwa na akili walipo lalamika wadau angejua kakosea, angewaita kafanyanao mazungumzo hatayangechukuwa mwezi angepata muaafaka nao, wala Magu asinge mfagia, wakosa yake ndio yamempa Magu kick,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Desemba, 2018 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Dkt. Irene Isaka.

Mapema leo Rais Magufuli alifanya kikao cha wazi na Viongozi waTUCTA, watendaji wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (PSSSF na NSSF) na Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA) kujadili masuala yahusuyo Mafao ya wafanyakazi hususani KIKOKOTOO na Rais Magufuli alifikia hitimisho kwamba Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika).
Pia soma
> Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika) - JamiiForums

Irene Charles Isaka, Director General, Social Security Regulatory Authority - JamiiForums
Hizo kanuni zilitungwa na Irene au wataalam wa wizarani?
 
Wewe hunaelimu na mamabo haya toka enzi ya Nyerere mfuko wa PPF ulikuwa unalipa 25℅ hela ya mkupuo, ndio mfuko uliokuwa kandamizi kuzidi mifuko yote ambayo ilikuwa inalipa zaidi ya 25%
malalamiko ya wanachama wamfuko huo kuwa unalipa kiwango cha chini mno na kandamizi yaliibua wazo la mifuko yote iunganishwe ili iboreke ilipe kiwango sawa kizuri,
Upuuzi ni kuwa baada ya kuunganisha mifuko yeye kama mkurugenzi na mtaalamu alioaminiwa kwa ushauri wake kaja tena na tatizo lilelile ya 25%
Sasa kwa akili yako ulitaka Magu amfanye nini amsifie ?
Halafu upuuzi aliofanya kutoshirikisha wadau vyama vya wafanyakazi ktk maamuzi, angekuwa na akili walipo lalamika wadau angejua kakosea, angewaita kafanyanao mazungumzo hatayangechukuwa mwezi angepata muaafaka nao, wala Magu asinge mfagia, wakosa yake ndio yamempa Magu kick,

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa kwanini wasiamue kuwa kuanzia sasa wale wa PPF wapandishwe kufanana na mifuko mengine? Watupe tu mafao yetu tukanunue koroshow
 
Ina maana Irene qenu babe wenu hajui kuwa Magufuli ni Rais, hotuba Nzima anasema ndugu Mwenyekiti. Kweli?

Rais unamuita mwenyekiti.

Kapata muda wa kwenda kurudisha fadhila kule msoga sasa
Mkurugenzi hata protocol hajui. Uko viunga vya ikulu halafu rais unamuita mwenyekiti. Pmbafu kabisa Dr wa kuchonga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora umeliona hili...wengne wamejaza povu kwa mdada aloondolewa kiti pekee. Nimependa fikra hizi
Lazima viongozi wawe na utaratibu wa kuwajibika especially unaleta kitu ambacho kina madhara mengi kwa umma alafu aliekuteua anakipinga,maana yake mitazamo yenu haiendani so ni vizuri ukakaa pembeni waingie wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wamemuonea yeye alikuwa anatetea sera ya mwajiri wake

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu binti Irene sikumpenda sana kipindi kile cha 2012 kwani mitego na mingo zetu zilikuwa jikoni na yeye alisimama kidete kutetea hoja ya bosi wake lakini mwisho wa safari sie tukamponyoka, leo tena kawang'ang'ania baadhi ya wadogo zangu kivilevilee kama ilivyotokea nao wamemponyoka basi inabidi nimpe pole ya kinafiki "Pole Irene", ila binafsi kanikumbusha taratibu fulani za kiofisi kwamba daima kuwa upande wa Bosi wako hata kama ni upuuzi unaagizwa wee kufa nae tu ...na kama hupendi mambo ya bosi wako basi huruhusiwi kwenda kinyume zaidi ya wewe kuachia ngazi kuonyesha kuwa hukubaliani na Bosi.
 
Ujuzi hauzeeki; ni vizuri serikali ikamtumia David Mattaka katika ushauri kuhusiana na hii mifuko ya Pension
 
huyu Mkurugenzi SSRA hakuwa anafanya kazi kwa manufaa yaje binafsi ni wazi watu wote walishirikishwa na tarehe 1 mwezi wa nane rais alisaini huo mswada kuwa sheria kwanini amuangushie jumba bovu wanasiasa wote wanafanana

Watu wote walishirikishwa vyama vya wafanyakazi vilishirikishwa? Unajua waliomponza mpaka zigo likamuangukia ni akina nani? Ogopa workers unions Ktk masala ya maamuzi kuhusu maslahi yao hali ya hewa inaweza ikachafuka maramoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli huwa hapendi ujinga na watu kufanya kazi kwa mazoea. kauli ya hapa kazi tu inaendelea kuwa wazi na lazima ieleweke Magufuli anaposema hapa kazi anamaanisha nini anasema.
Mbona kurudisha mambo kama zamani.Huyo mama kamweleza ukweli.HuwezI kuwadhulumu wastaafu ili ujenge reli na Daraja la Coco beach Agakhan.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Cha msingi huyu Dkt alitekeleza jinsi serikali ilivyokuwa inataka. Kwa kuwa pressure ya upinzani na vyema vya wafanyakazi imeshinikiza na eamefanikiwa na ili kuonyesha serikali iko pamoja kuwasikia basi lazima mtu atolewe kafara. Sijaona sababu ya kumwondosha maana hayo yaliyotokea hakupanga mwenyewe. Hata Mh. Waziri mwenye shamba na hizo kanuni alisaini na hii ni baada pia ya kushauriwa na wataalam wake. Sasa iweje afe mmoja? Funika kombe mwanaharamu apite.

Kwa kuwa Mh. Rais amesema atampangia majukumu mengine basi kweli ampangie na lenye hadhi kabisa maana huyu dada amefanikisha kuondoa aibu ya serikali.

She is so innocent that she does not deserve this kind of cruelty. Halafu ni very mannered and polite leader ever. Yet Mifuko hiyo ni pasua kichwa ndiko kumejaa madhambi ya ubadhurifu mno. KWANZA amejitahidi mno na credit apewe.
 
Back
Top Bottom