teh teh vijana watapelekwa kwenye makambi ya kilimo vijijini....ajira zilizobaki serikalini ni kwa wazoefu tuMagufuli alipochaguliwa niliona anaweza kuja na mbinu tofauti ya uongozi ila siku zinavyozidi kwenda mbele naanza kuona mkomo wa kifikra au utendaji wake ukififia kwa mkuu wangu wa nchi! Matatizo mengi tuliyonayo yamesababishwa na wengi wa hawa viongozi na kuna usemi usemao "Problems cannot be solved at the same level of consciousness that created them."