bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,956
Ubalozi huna dili awamu hii,akina kamala wanatoka ubalozi wanaenda ubunge.
Wana experience yeyote hadi wapewe ubalozi kuiwakilisha nchi "embassy full control"?
mbona ukawa tulichagua walewale wagombee urais ?? Lowasa si yuleyule aliyekuwa ccm tena tangu chama kinazaliwa alikuwa mwanachama. ukawa ina tofauti gani na misemo hiiDuuu Hivi hakunaga majina mapya na damu mpya mbona wanateuliwa wale wale... Au Ccm ni ile ile..
Nilijua mtakuja tu na hivi waropokaji wa lumumba washaanza kupewa ukuu wa wilaya.. Mtaibuka wengi tumbona ukawa tulichagua walewale wagombee urais ?? Lowasa si yuleyule aliyekuwa ccm tena tangu chama kinazaliwa alikuwa mwanachama. ukawa ina tofauti gani na misemo hii
mbona hata kwenye vyama vyetu mambo ni yaleyale ?tusidanganyane hapa. viongozi wetu wamekuwa miungu watu, wao ni wao tu kila uchaguzi wanataka wao. hata mpkaa wanabadili katiba ili mradi tu waendelee kuongoza. si sawa hata kidogo. kisingizio eti wao ndio wana uchungu na nchi hii.Hakuna jipya! Nilitegemea Magufuli atabadili watu ila wale wale hana jipya
kama wewe ulishawahi kukaa lumumba ni wewe. hapa tunapashana mpaka kieleweke. hatutaki ujinga. muda wa kufanywa wajinga umepitaNilijua mtakuja tu na hivi waropokaji wa lumumba washaanza kupewa ukuu wa wilaya.. Mtaibuka wengi tu
hahahah jipya kamanda si lile tulilolifanya la kusafisha mafisadi, na wwngine tukataka tuwapeleke ikulu. hilo ndio jipya nadhani! ukiachana na kile la kuua kifo cha mende ajenda ya ufisadi.Hakuna jipya! Nilitegemea Magufuli atabadili watu ila wale wale hana jipya
Duuu kumbe mipasho kwa heli mtafute hadija kopa au mzee yusuph mpashane..kama wewe ulishawahi kukaa lumumba ni wewe. hapa tunapashana mpaka kieleweke. hatutaki ujinga. muda wa kufanywa wajinga umepita
umeishiwa hoja njoo kivingine na labda na ID nyingineDuuu kumbe mipasho kwa heli mtafute hadija kopa au mzee yusuph mpashane..
haya jenga hoja sasa ! rejea maandiko yangumkonongo1938! post: 15931103 said:ID hii hii siwezi kubadili kwa ajili yako ndugu