Rais Magufuli ajadiliwa tena DW, kufungia magazeti mawili kunaweza kusababisha vikwazo nchini

Raisi wa nchi anapotumia nguvu nyingi kuzuia ukweli na kuacha mambo ya msingi yanayo wakabili Watanzania. Watanzania tumepatwa na janga la uongozi ambalo ni baya kuliko tsunami, hafu na baa lingine ni uchumi, na ukame mubaya unaolinyemelea nchi yetu
Tatizo mshauri mkuu ni Bashite kila ujinga anaomshsuri anaufanyia kazi
 
Kuna mambo mengine yanafanywa kwa mihemko sana sidhani kama kulikua na haja ya kuwafungia ilihali wameshapewa warning.
 
Nilikuwa nasikiliza mwimbo wa zamani kidogo wa juma nature unaitwa NINI CHANZO.. Chorus yake inamaneno yafuatayo " wana wa africa tanzania tunauliza nini chanzo eee eee, sote ni ndugu ni nini kinacho tufanya tutengane eee........." Kunamaneno yanaendelea lkn nimeyaacha hayo ndio ymenifanya nifikirie hapa tumefikaje na ilikuwaje tunahukumu matokeo badala ya chanzo.
Verse ya kwanza juma nature anaanza na kusema " Rais tumekuchagua.................." Kijana alijitahidi sana leo yanatokea .
 
Raisi wa nchi anapotumia nguvu nyingi kuzuia ukweli na kuacha mambo ya msingi yanayo wakabili Watanzania. Watanzania tumepatwa na janga la uongozi ambalo ni baya kuliko tsunami, hafu na baa lingine ni uchumi, na ukame mubaya unaolinyemelea nchi yetu
Hayo ya madini siyo ishu ya watanzania!
Kweli makengeza ni kama upofu, kiongozi hana dira...
 
Rais hana mamlaka ya kufungia magazeti.....

Mwenye mamlaka ni waziri wa habari......

Lazima tujifunze separation of power.......

Kitendo tu cha kusimama na kutoa amri ni ushahidi kuwa Serikali yake ni ya one man show na rais anaonekana anaingilia majukumu ya kila mtu nchi hii bila kujari anavunja sheria au la .......

Sasa ukiingila Bunge unapanga budget.....

Mahakamani unawapangia jinsi ya kuhukumu.......

Na magazeti uyapangie cha kuzungumza?........

Ningekuwa Mimi ni kiongozi wa vyombo vya habari vyote Tanzania ningeviamlisha viache kuandika habari zozote za viongozi wa serikali.....

Wabaki na uhuru,Habari Leo,Daily news na mzalendo tuone kama kutakalika.....
Kwa ushauri wako, ndio maana ukuweza kuwa na mamlaka hayo.
Kwa taarifa yako wazungu wanatuombea tuingie kwenye machafuko lakini Mungu hataki dua mbaya zao
Demokrasia ndio imeleta Umasikini huu, hakuna haja ya kuwepo kwa Demokrasia ambayo inatupotezea dila ya Tanzania
 
Kwenye taarifa ya habari ya DW ya jioni lkuchukua hatua kutokana na dalili mbaya zinazojionyesha dhidi ya vyombo vya habari nchini.
Mambo mengine bwana!! Hivi nani kasema watangaji waswahili wa DW wanawakirisha maoni ya Angela Merkel/Serikali ya Ujerumani au Nchi za EU, nani? Baadhi ya media hapa nchini yanapenda penda sana ku-incite wananchi kwa lengo la kisiasa, mambo madogo tu wanayakuza out of proportion - magazeti yapo mangapi Nchini, kwa nini magazeti mawili tu ndiyo yawe very vocal and overly concern??
 
Kwenye taarifa ya habari ya DW ya jioni leo, rais Magufuli amejadiliwa kama kiongozi anayefuata mkondo mbaya sana kiuongozi. Aidha katika uchambuzi huo ambao ulijikita kwenye taarifa yake ya kuyaonya magazeti mawili, inaonyesha kuwa huenda Tanzania ikapelekea moja kwa moja kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na Jumuiya ya Ulaya.

Aidha Jukwaa la wahariri tayari wamekutana kwa dharura na wameiarifu DW kuwa wanapanga kuchukua hatua kutokana na dalili mbaya zinazojionyesha dhidi ya vyombo vya habari nchini.
Hao DW iko wazi kabisa kwamba ina ushabiki wa wazi na upinzani nchini ni wa kupuuza tu,
 
Waache upumbafu hawajiulizi ni kwanini Donald Trump alikataa kujibu maswali ya Mwandishi wa Habari wa CNN? Kwa sababu wamekuwa wakiandika vitu ambavyo ni tofauti tu au habari ambazo hazina positive aspects ktk mikakati yake. Waache kutuvurugia nchi yetu. Hizo demokrasia zao ndio zimetufikisha hapa tulipo waafrika
Hebu fafanua hapo kwenye democrasia zao zimetufikishaje hapa tulipo?na nizipi zilitakiwa kutumika ili tusiwe hapa tulipo?jitahd kua mzalendo hii nch ikiharibika tutalia sote bila kujali itikadi zetu.mim sojui mtu anayetetea maovu anakua na moyo gan
 
Rais hana mamlaka ya kufungia magazeti.....

Mwenye mamlaka ni waziri wa habari......

Lazima tujifunze separation of power.......

Kitendo tu cha kusimama na kutoa amri ni ushahidi kuwa Serikali yake ni ya one man show na rais anaonekana anaingilia majukumu ya kila mtu nchi hii bila kujari anavunja sheria au la .......

Sasa ukiingila Bunge unapanga budget.....

Mahakamani unawapangia jinsi ya kuhukumu.......

Na magazeti uyapangie cha kuzungumza?........

Ningekuwa Mimi ni kiongozi wa vyombo vya habari vyote Tanzania ningeviamlisha viache kuandika habari zozote za viongozi wa serikali.....

Wabaki na uhuru,Habari Leo,Daily news na mzalendo tuone kama kutakalika.....
Naunga mkono hoja mia kwa mia.
 
Waache upumbafu hawajiulizi ni kwanini Donald Trump alikataa kujibu maswali ya Mwandishi wa Habari wa CNN? Kwa sababu wamekuwa wakiandika vitu ambavyo ni tofauti tu au habari ambazo hazina positive aspects ktk mikakati yake. Waache kutuvurugia nchi yetu. Hizo demokrasia zao ndio zimetufikisha hapa tulipo waafrika
Si lazima kupendwa na kila mtu.....mawazo yangu hasi yanatakiwa kujibiwa na hoja ambazo zitanishawishi mimi kufuata mkondo wako
Magufuli aliongea viongozi waliopita ndio wenye matatizo kwa kusaini mikataba mibovu....waziri anaweza kusafiri mpaka ulaya bila ruhusa ya raisi?
Kazi ya gazeti ni kuleta habari, kufundisha na kutupa habari zitakazotufumbua macho zaidi (mikataba ilivyoingiwa na maraisi hawa wawili)
someone got to stop this surely.

and fast!!
 
DW ina support CDM na upinzani Tz.. tunajua hilo, hawako fair, wako against CCM always.. Fake News
 
Sisi wenye akili walau kidogo tunasema, akiyamaliza magazeti, Redio,TV,wapinzani. Watakaofwata ni wananchi wa kawaida hivyo hakuna haja ya kumfurahia mtukufu kwa kudhani kuwa inawahusu wengine.
Kumbuka mtanzania zamu yako uko njiani, ukiona mwenzako ananyolewa nawe tia maji.
Lkn wasiofikiri vyema wataendelea kumsifia mkuru hata kwa hili LA kufungia magazeti.
Ole wenu ninyi siku yenu ikifika mtamlilia nani?

Yashatokea haya.

Martin Niemöller: "First they came for the Socialists..."

Martin Niemöller (1892–1984) was a prominent Protestant pastor who emerged as an outspoken public foe of Adolf Hitler and spent the last seven years of Nazi rule in concentration camps.

Niemöller is perhaps best remembered for the quotation:

First they came for the Socialists, and I did not speak out—
Because I was not a Socialist.

Then they came for the Trade Unionists, and I did not speak out—
Because I was not a Trade Unionist.

Then they came for the Jews, and I did not speak out—
Because I was not a Jew.

Then they came for me—and there was no one left to speak for me.
 
  • Thanks
Reactions: bne
Waache upumbafu hawajiulizi ni kwanini Donald Trump alikataa kujibu maswali ya Mwandishi wa Habari wa CNN? Kwa sababu wamekuwa wakiandika vitu ambavyo ni tofauti tu au habari ambazo hazina positive aspects ktk mikakati yake. Waache kutuvurugia nchi yetu. Hizo demokrasia zao ndio zimetufikisha hapa tulipo waafrika
Hivi kumbe na Tanzania kuna demokrasia?
 
Back
Top Bottom