Nionyeshe rafiki yako nami nitakuambia wewe ni mtu wa aina gani.teh,teh teh teh .Mkuu una akili sana, nanii ni "Kagame", nimepatia? Nipe jibu
Nionyeshe rafiki yako nami nitakuambia wewe ni mtu wa aina gani.teh,teh teh teh .Mkuu una akili sana, nanii ni "Kagame", nimepatia? Nipe jibu
Ukame mubaya ? Nyoosha kiswahili.Raisi wa nchi anapotumia nguvu nyingi kuzuia ukweli na kuacha mambo ya msingi yanayo wakabili Watanzania. Watanzania tumepatwa na janga la uongozi ambalo ni baya kuliko tsunami, hafu na baa lingine ni uchumi, na ukame mubaya unaolinyemelea nchi yetu
Kwan yeye huonyesha heshima kwa wapinzani wake? Au unakuwaga usingizini akiwa majukwaan anahutubia? Jaribu kurudia hotuba zake utajua ni nani ana dharau zaidi...
Naunga hoja mkonoRais hana mamlaka ya kufungia magazeti.....
Mwenye mamlaka ni waziri wa habari......
Lazima tujifunze separation of power.......
Kitendo tu cha kusimama na kutoa amri ni ushahidi kuwa Serikali yake ni ya one man show na rais anaonekana anaingilia majukumu ya kila mtu nchi hii bila kujari anavunja sheria au la .......
Sasa ukiingila Bunge unapanga budget.....
Mahakamani unawapangia jinsi ya kuhukumu.......
Na magazeti uyapangie cha kuzungumza?........
Ningekuwa Mimi ni kiongozi wa vyombo vya habari vyote Tanzania ningeviamlisha viache kuandika habari zozote za viongozi wa serikali.....
Wabaki na uhuru,Habari Leo,Daily news na mzalendo tuone kama kutakalika.....
Rais hana mamlaka ya kufungia magazeti.....

Tumeshazoea hizi stori, fungia Mawio hata maisha! Na lile gazeti lingine la nanilii linafuata.Kwenye taarifa ya habari ya DW ya jioni leo, rais Magufuli amejadiliwa kama kiongozi anayefuata mkondo mbaya sana kiuongozi. Aidha katika uchambuzi huo ambao ulijikita kwenye taarifa yake ya kuyaonya magazeti mawili, inaonyesha kuwa huenda Tanzania ikapelekea moja kwa moja kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na Jumuiya ya Ulaya.
Aidha Jukwaa la wahariri tayari wamekutana kwa dharura na wameiarifu DW kuwa wanapanga kuchukua hatua kutokana na dalili mbaya zinazojionyesha dhidi ya vyombo vya habari nchini.
Ww huna akili ww kabisa dunia hii ina solo huria hao watakao tuwekea vikwazo ndo kwanza wanatuhitaji kwa Asilimia kubwa sana.. Dunia ya sasa sio km ya zamani pumbavu ww wakiweka vikwazo tunaenda China Korea Kaskazin hatuna shida ccKwenye taarifa ya habari ya DW ya jioni leo, rais Magufuli amejadiliwa kama kiongozi anayefuata mkondo mbaya sana kiuongozi. Aidha katika uchambuzi huo ambao ulijikita kwenye taarifa yake ya kuyaonya magazeti mawili, inaonyesha kuwa huenda Tanzania ikapelekea moja kwa moja kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na Jumuiya ya Ulaya.
Aidha Jukwaa la wahariri tayari wamekutana kwa dharura na wameiarifu DW kuwa wanapanga kuchukua hatua kutokana na dalili mbaya zinazojionyesha dhidi ya vyombo vya habari nchini.
Marekani si walisema wamekatisha msaada mbona wana toaHatuwezi kupigwa Sanction sababu bado Tanzania kuna mali za wazungu nyingi za kutuibia hadi watakapo zimaliza ndiyo mtapigwa sanction
Huna akiliRaisi wa nchi anapotumia nguvu nyingi kuzuia ukweli na kuacha mambo ya msingi yanayo wakabili Watanzania. Watanzania tumepatwa na janga la uongozi ambalo ni baya kuliko tsunami, hafu na baa lingine ni uchumi, na ukame mubaya unaolinyemelea nchi yetu
Hawa wanaoongelea vikwazo kisa magazeti kufungiwa sio watu wazuri wanapotosha kila kitu sijui raia wa wapi hawa...Nchi ipi ilishafungia gazeti Kwa kushindwa kutimiza mashart ikanyimwa msaada? Hata hivo muda sio mrefu tutakuwa tunatoa misaada sisiIla mi sijawahi kisikia nchi ikifungia magazeti inanyimwa misaada, sijui labda safari hii. Maana Mwanahalisi lilifungiwa wakati wa Kikwete na Tanzania ikaendelea kupata misaada Ulaya