Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,068
- 151,315
Yanayoendelea huko Chato yanafanana na kubana matumizi?Kubana matumizi nchi bado changa

Napiga picha atakovyopanic mbele ya wenzake. Najua atawakwepa wengine nakujitahid kuwa Benet na Uhuru, mSeven, Kagame, Nkurunzinza (kama ameenda) Na rais wakomoro.
Hatathubutu kubadilishana mawazo na akina Buhari, rais wa Gambia, rais wa ghana, Zuma, Botswana na hata atamkwepa Mugabe labda JK aingilie kati
Nchi ni TANZANIA.mbaaz ikikauka umsingizia jua
View attachment 464669
======
View attachment 464676
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Mungano wa Visiwa vya Comoro Mhe. Azali Assoumani walipokutana kwenye ndege katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 28, 2017 tayari kwa safari ya Addis Ababa, Ethiopia, kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 28 wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU). Rais Assoumani alikuwa akitokea Comoro kupitia Dar es salaam.
View attachment 464677
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan.
View attachment 464678
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono kuwaaga wafanyakazi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Msururu wa magari ya Waziri Mkuu, Makamu wa Rais, Wakuu wa Majeshi, Usalama wa Taifa, Mkoa, na wasindikizaji wengine ni sawa na gharama za kurusha ndege ya Rais kwenda na kurudi Addis mara tatu.
Not counting the economic toll that residents wa Dar es Salaam wanalipa kwa kukwama barabarani TAZARA, CHANG'OMBE VETA, KAMATA, DAR TECHIE, hizi corner ukizifunga una affect traffic UBUNGO MATAA, BUGURUNI YOTE, ILALA SHARIFU SHAMBA, KURASINI TEMEKE VETERANI, VINGUNGUTI, KARIAKOO, FIRE...
Hivi kwa nini viongozi hawatuonei huruma watu wa kawaida na sisi na shughuli zetu za kikazi na kijamii?
Hivi kwa nini Theresa May akienda Heathro Airport hasindikizwi na serikali yote ya Uingereza na jeshi na Usalama?
Hivi hawana kazi za kuwa keep busy hawa akina Samia Suluhu na Kassim Majaliwa na wakuu wa Majeshi yetu na Mkoa? Mkuu wa Nchi, waachie wenzio wapumzike na familia zao on a weekend, lazima usindikizwe Airport?
Kwa hiyo Majaliwa amesafiri kutoka Dodoma, alikosema wamehamia, akaja Dar es Salaam kujiunga na msafara wa kwenda Nyerere Airport?
Total waste and abuse of tax shillings.
Kwa hiyo JK ndio unamsujudia? Ama kweli tupo wengi!!!Napiga picha atakovyopanic mbele ya wenzake. Najua atawakwepa wengine nakujitahid kuwa Benet na Uhuru, mSeven, Kagame, Nkurunzinza (kama ameenda) Na rais wakomoro.
Hatathubutu kubadilishana mawazo na akina Buhari, rais wa Gambia, rais wa ghana, Zuma, Botswana na hata atamkwepa Mugabe labda JK aingilie kati
Msururu wa magari ya Waziri Mkuu, Makamu wa Rais, Wakuu wa Majeshi, Usalama wa Taifa, Mkoa, na wasindikizaji wengine ni sawa na gharama za kurusha ndege ya Rais kwenda na kurudi Addis mara tatu.
Not counting the economic toll that residents wa Dar es Salaam wanalipa kwa kukwama barabarani TAZARA, CHANG'OMBE VETA, KAMATA, DAR TECHIE, hizi corner ukizifunga una affect traffic UBUNGO MATAA, BUGURUNI YOTE, ILALA SHARIFU SHAMBA, KURASINI TEMEKE VETERANI, VINGUNGUTI, KARIAKOO, FIRE...
Hivi kwa nini viongozi hawatuonei huruma watu wa kawaida na sisi na shughuli zetu za kikazi na kijamii?
Hivi kwa nini Theresa May akienda Heathro Airport hasindikizwi na serikali yote ya Uingereza na jeshi na Usalama?
Hivi hawana kazi za kuwa keep busy hawa akina Samia Suluhu na Kassim Majaliwa na wakuu wa Majeshi yetu na Mkoa? Mkuu wa Nchi, waachie wenzio wapumzike na familia zao on a weekend, lazima usindikizwe Airport?
Kwa hiyo Majaliwa amesafiri kutoka Dodoma, alikosema wamehamia, akaja Dar es Salaam kujiunga na msafara wa kwenda Nyerere Airport?
Total waste and abuse of tax shillings.
Nilifikiri ni wewe umesema hivyo, nilishajiandaa kwa ban.Kweli Raisi tunaye mambo anayoyafanya hayajawahi kufanywa na Kiongozi yeyote duniani
source:clouds tv