Rais John Magufuli aelekea Addis Ababa kwenye kilele cha mkutano wa 28 wa wakuu wa AU

Napiga picha atakovyopanic mbele ya wenzake. Najua atawakwepa wengine nakujitahid kuwa Benet na Uhuru, mSeven, Kagame, Nkurunzinza (kama ameenda) Na rais wakomoro.

Hatathubutu kubadilishana mawazo na akina Buhari, rais wa Gambia, rais wa ghana, Zuma, Botswana na hata atamkwepa Mugabe labda JK aingilie kati
Dah, watanzania sisi hatari sana! Kubeza na kuponda kila siku
 
Napiga picha atakovyopanic mbele ya wenzake. Najua atawakwepa wengine nakujitahid kuwa Benet na Uhuru, mSeven, Kagame, Nkurunzinza (kama ameenda) Na rais wakomoro.

Hatathubutu kubadilishana mawazo na akina Buhari, rais wa Gambia, rais wa ghana, Zuma, Botswana na hata atamkwepa Mugabe labda JK aingilie kati
Punguza mapovu kijana, tuko nje ya nchi na hatuyajui machun.. Fanya kazi Rais...
 
Watu tulisemaga zamani na narudia tena, kila kitu dawa yake ya kweli ni muda, muda huongea! Mambo yote Tanzania yatarudia kama zamani wala msihofu sana, tatizo ni kuwa imechukua muda zaidi kidogo kuliko ilivyotarajiwa ila nilitoaga thread humu kuwa bada ya muda kila kitu kitarudi back to normal, tumeyaona haya kwa miongo 4 iliyopita, wanaanzaga kwa mbwembwe sana alafu wanakaa........
Tanzania inajulikana kwa unafki...
Achen unafki
 
Kiusalama imekaaje? Kama protocol ya kiusalama imekubaliana na hilo inakuwa haina shida!
 
Napiga picha atakovyopanic mbele ya wenzake. Najua atawakwepa wengine nakujitahid kuwa Benet na Uhuru, mSeven, Kagame, Nkurunzinza (kama ameenda) Na rais wakomoro.

Hatathubutu kubadilishana mawazo na akina Buhari, rais wa Gambia, rais wa ghana, Zuma, Botswana na hata atamkwepa Mugabe labda JK aingilie kati
So what?
 
Ile habari ya kujitoa icc imenifurahisha na mimi naenda ethiopia
 
Napiga picha atakovyopanic mbele ya wenzake. Najua atawakwepa wengine nakujitahid kuwa Benet na Uhuru, mSeven, Kagame, Nkurunzinza (kama ameenda) Na rais wakomoro.

Hatathubutu kubadilishana mawazo na akina Buhari, rais wa Gambia, rais wa ghana, Zuma, Botswana na hata atamkwepa Mugabe labda JK aingilie kati
Kwanini umefikiria hivyo?
 
Back
Top Bottom