Naona mmeifanya hii nchi ya ukoo wenu.

#MaendeleoHayanaChama

Aisee naona wengi wenu munampinga MH: HUSSEIN A.M kwa uzanzibari wake na kutokea kwakwe kwenye familia ya kisia ya ALHAJI ALLY H.M badala ya kuleta hoja zenye maana .

Ina maana kiongozi hata akiwa bora ila kwa kua anatokea ZANZIBAR ndio hafai kuongoza TANZANIA?
AU kiongozi hata akiwa bora ila akitokea kwenye familia ya wana siasa ndio hafai kuongoza Tanzania.

MIMI SIO MWANA CCM ILA KAMA WAPINZANI AMBAO WANATAKA NAFASI KUONGOZA NCHI NDIO WANA AKILI ZA KINYUMBU NAMNA WAZEE WA CHUKUA CHAKO MAPEMA (CCM) AFADHALI WATAWALE MILELE.
 
Mimi ninachokiona ni ujenziwa Masoko, Darajani, Kwerekwe, Chuwini, Jumbi nk na hadi imefikia Raisi anaitwa Hussein Mabati. Maisha yamekuwa ya sonono Zaznizbar.
Labda Mwenzangu wewe unajua zaidi, Funguka ili watu washuhudie hapa ili mimi niondoe maneno yangu. Meli inasubiri wiki 3 mpaka mwezi kufunga gati Zanzibar, jinsi Bandariyetu ilivyokuwa ndogo.
Kutanua Bandari ni Muhimu kuliko Masoko. Dubai imekuwa Nchi ya Biashara kwa sababu ya Bandari na kufungua Free Port.Ndoto hii Tunayo Zanzibar tokea miaka ya 80, lakini CCM wamezuia hilo . Maalim Seif alisema wazi , akiingia Ikulu Atachimba Mafuta, Gesi na Kutanua Bandari na Kuanzisha Uvuvi wa Bahari kuu na Kujenga Viwanda vya samaki Zanzibar.
Sisi Pori letu ni Bahari.
Hatutaki Udaku
 
Hizi sifa mnazo mpa Mwinyi mnamponza Sana,


Nchi na Chama kwa Sasa Kiko kwa wenyewe, ni hatari Sana kwa wenye njii na Chama Chao kumpa Mwinyi, ni kama kumpa Magufuli mdogo. Hawako tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…