Ramadhan Rajabu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 578
- 1,105
Sizonje acha unafki ulisema raia wasiwe karibu polisi, ondoa kwanza takataka bashite jambazi ndio ukemee wengine
Alisema tuwaogope polisi, sasa ni kawaida ya binadamu kutokuweza kutoa ushirikiano kwa mtu anayemuogopa.Eti raia watoe ushirikiano, wakati alisema polisi wawatandike raia.
Mkuu uliyomtaja ndio mada kuu(thread) ilivyojieleza?Tulisema humu kitendo alichofanya bashite na watu kuona live lakini hakuna hatua zilizochukuliwa ni dharau kwa serikali na ingelisababisha wananchi kutoogopa kufanya matukio ya kihuni kama hili.
acha kukariri mkuu polisi ndio wak trained vizuri kudeal na hizi issue na c wanajeshi,Apeleke jeshi la wananchi makomandoo kumi tu wanatisha kuwamaliza hao vibaka wanaoua askari kila siku. Hivi hao ni watanzania kweli?
Raia gani katekwa akauwawa mkuu, mbona mnatoa maamuzi kwa vitu pasipo na uhakika. Ni mlengo wa siasa ndio inawehusha watu kwenye huu msiba.we tulia tu,, nature is verry fair,,, usipolala usiku utalala mchana,, na for any action there is equal and opposite reaction.
Wafiwa nawapa pole ila serikali ijifunze kuona uchungu huo huo wakati raia wanatekwa na kuuwawa
jifunze kutafakari hata dakika moja kabla ya kufanya lolote, mbona unakiri nzuri tu.Tulisema humu kitendo alichofanya bashite na watu kuona live lakini hakuna hatua zilizochukuliwa ni dharau kwa serikali na ingelisababisha wananchi kutoogopa kufanya matukio ya kihuni kama hili.
ujinga ni kufanya kila kitu kwa mawazo yako, nawe umetumia mawazo yako.....pole"Watanzania wote watoe ushirikiano " Wakati yeye mwenyewe alisema ifike mahali jeshi la polisi liogopwe na raia ?
Polisi jamii si aliona ni upuuzi ukafutiliwa mbali ? Haya ndio madhara ya kujifanya unajua kila kitu
Anyway walale wanapostahili askari
Umenena kwa hisia zaidi na kusahau uhalisia,Mawazo yuko wapi,aliuwawa na nani,walio muua wako wapi,Ben saa nane yuko wapi,tusiongee mambo kwa kufikiria siasa tu,lakini hao pia ni binadamu na wana ndugu zao pia!!!Raia gani katekwa akauwawa mkuu, mbona mnatoa maamuzi kwa vitu pasipo na uhakika. Ni mlengo wa siasa ndio inawehusha watu kwenye huu msiba.
Tubadilike mazee, hao majambazi hawachagui polisi raia wala serikali.
akili yako ni nzuri tu ila umeshindwa kutafakari......jifunze kutulia katika maisha.maandiko katika kitabu cha mathayo mtakatifu " Yesu akawaambia wale theneshara akisema Kwa mtini jifunzeni" hivi sasa Tanzania wanachi wamejifunza kutoka kwa RC aliyeongoza uhalifu wa silaha na kusimamia tuko la utekaji , sasa wahalifu kumbe wamejifunza kuwa hakuna wa kuwazuia wala kuwakemea tungechukua hatua kali na madhubuti dhidi ya wahusika wa tukio la CLOUDS na lile la NAPE nadhani wahalifu wangeogopa tutegemee matukio mengi sana ya kariba hii
Mwenye mamlaka ya kupeleka kikosi ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini ndo wanaodeal hasa na mambo hayo..!Kwa hiyo rais anatoa tu salamu za rambirambi basi! Nilitegemea nisikie akitangaza hatua kali ikiwemo kuamuru vyombo vya ulinzi na usalama vipeleke kikosi maalumu huko eneo la tukio kwa operesheni maalum! Sasa naye anaishia kulaani na kutoa pole kama sisi, wakati yeye ni Amiri Jeshi Mkuu? Hii kauli ya ikilu imenikatisha tamaa sana! Askari nane wsmeuwa mh anaishia tu kutoa pole?
Kwenye kupiga wananchi ndio anasena hayo maneno but kwenye ishu ya mapambano na majambawazi wala hasemi hvyHiyo taarifa nimerudia kuisoma zaidi ya mara kumi sijaona sehemu kasema I wish I could be IGP so hakuwa serious wakati uleeee....wauaji watafutwe popote pale ASP
Acha ujingaMwenye mamlaka ya kupeleka kikosi ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini ndo wanaodeal hasa na mambo hayo
Ni kweli aisee. Watu wengi wanadhani kwamba jeshi liko trained kupambana na majambazi au wauza dawa za kulevya n.k. Anajeshi wao wamefundishwa medani za kivita, kurusha makombora, kutumia ndegevza kivita, kulipua targets za adui, nk. Ndio maana wansjeshi wanakaa makambi yz maporini! Usalama wa raia na mali zao ni kazi ya polisi! Sasa wanataka wanajeshi waende na vifaru huko Kibiti?acha kukariri mkuu polisi ndio wak trained vizuri kudeal na hizi issue na c wanajeshi,