Rais Dkt. John Magufuli atuma salamu za rambirambi kwa IGP na familia za Askari wote waliouawa

Ninafurahi kuwa muda si mrefu utaenda kutekeleza yote kwa usahihi niliyokueleza. Mungu akubariki kwa kukupa nafuu ya "msongo mkubwa" ulionao na kisha kuwa katika hali yako ya kawaida kama mwanzo. Amen. Ijumaa njema.

da795064d672fc8bafbb958e1e89a085.jpg

Habari mcjanganyiko. Hivi ingekuwa kati ya hao askari waliouawa ni baba yako ama kaka yako ama mjomba ama mumeo ungeongea pumba hizo? Hao ni binadamu wenye majukumu ya kutulinda sisi. Hebu basi mwambieni rais aliambie bunge lifute sheria ya vyombo vya usalama nchini tujilinde wenyewe kwa sungusungu!
 
mkuu sina uhakika na yepi kati ya hayo
Mawazo ameuliwa, huna uhakika nani alimuua, ben saa nane amepotea, hatujui kama amejificha, amehama, amekufa au amefungwa. Unavolaumu pasipo na uhakika hawa watu nini kimewasibu, unawakosea hao unowalaumu. Na yote hiyo ni kwa sababu upo bent na mrengo wa kisiasa.
 
Yakikufika wewe pia utakuja kujua,sio lazima iwe leo!!
Yaani mwawazo ameuwawa unasema huna uhakika!???dunia yetu ni ndogo sana,na kila baya hulipwa hapa hapa!!!
 
Back
Top Bottom