Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 20,400
- 38,683
Hoja hapa vina sahihi au havina? Mnalazimisha watu kuishi zama za kuvaa kaniki na magagulo!!Ni porojo
Kama kutumbuliwa amesha Tumbuliwa
Vitambulisho vionekane sio porojo
Tuoneshe namna ulivyo kichubua... Mimk changu nilimpa jamaa yangu yupo pale European Union.... Kanithibitishia kitambulisho changu kina chip na sahihi yangu, zaidi alinisihi kupiga kelele juu ya pesa ilivyotumika na siyo kuhoji ubora wa ID maana ubora wapo sahihi, issue ni namna walivyotulamba pesa.Hawa ndo aina ya mawaziri wasiotakiwa kuendelea ktk serikali inayotafuta ufumbuzi. Kweli huyu Waziri anaiona chip ndani ya kitambulisho? Ni teknolojia gani hiyo anayodai imetumika ktk kitambusho chake? Eti watumie smart card detector, Huyo waziri ana elimu yoyote ya cryptography?
Hiki ni kipande cha plastic, juu yake kimebandikwa picha na maandishi tuu. Cha kwangu nimeamua kukichubua. Ukishaondoa hayo mapicha, kinachobaki ni plastic isiyo na maana na haina kitu, hata haiwezi kupokea ciphertext yoyote!
Mtu kama huyu ni wa kufukuzwa tu!! Nonsense!
ulipokuwa unakichubua ulijali gharama iliyotumika kukitengeneza?Cha kwangu nimeamua kukichubua.
Hiyo kadi uliiweka Mndukuni?Hata kitambulisho cha kura ni jipu tu chini ya miezi 6 kitambulisho kimeshafutika futika wakati kadi ya benki miaka nenda rudi haijafutika hata nukta
Elimu ....Elimu.....Elimuhuyu mleta mada ana mchepuko huko NIDA.
KITWANGA ni jipu naye ni mtu wa walimbwende tu.
Magu alimuokota wapi huyu chizi?Anataka yeye aonekane anauelewa kuliko nani.
Sasa kosa la mleta mada ni lipi? Yeye kaleta habari kama ilivyoMleta mada alipakua na kumwaga tu hio habari lakini yeye mwenyewe hajakishughulisha kichwa chake kubaini tatizo halisi za hio kadi.
Kadi haina signature, na walisajiliwa watu milioni 6 tu.
Je mleta mada haoni kwamba hapo pana tatizo?
Soma tena sehemu ya habari hio:
"The president slammed the pace of the project, pointing out that the National Electoral Commission (NEC) had spent less than Tshs 70bn/- in producing 22.7 million voters’ registration cards, complete with card holders’ signatures, compared to NIDA’s Tshs 179.6bn/- expenditure on just 2.2 million ID cards".
Tafsiri yake ni kwamba raisi aliponda kasi ya mradi huo akitolea mfano wa tume ya uchaguzi NEC ambao walitumia kiasi kisichozidi Shilingi za kitanzania bilioni 70 kutengeneza vitambulisho vya kupigia kura, huku vikiwa na sahihi wakati NIDA wametumia Bilioni 179.6 kwa kutengezea kadi milioni 2.2
Huoni mantiki ya hii kauli ya mheshmiwa raisi hapo?
Ni hapo tu panapomhusu mheshimiwa raisi, huko kwingine ni habari tu ya hilo gazeti.
Hivi Rais alipoona jambo la kutokuwepo kwa sahihi kwenye Vitambulisho vya NIDA kama ni jambo kuuubwa sana la mpaka kulisema hadharani katika zama hizi za teknolojia ya hali ya juu aliwaza nini?Ni hapo tu panapomhusu mheshimiwa raisi, huko kwingine ni habari tu ya hilo gazeti.
Mkuu heshima kubwa. Wewe naona una uelewa na haya mambo na sio hao wanaosema eti card reader bila kujua hata maana yake. Halafu walipotengeneza hivyo vitambulisho hawakujua vitatumika sehemu nyingi ambazo hazina hizo card reader? Kweli kwa mazingira ya Bongo unataka hata vituo vidogo vya polisi huko ndani kabisa vijijini wawe na hizo card reader? Mimi nimeishi nchi zilizoendelea kweli kweli kitechnolojia lakini hizi card reader hazipo kila mahali na ndio maana vitambulisho vyao vyote vina saini inayoonekana kwa macho.Majibu rahisi kwa maswali magumu... anayesema barcode yoyote inaweza some codes zozote anakosea, hivi vitu vinatengenezwa maalum kwa na kuwa configured kwa code maalum za mnunuzi, mfano, huiwezi kutumia barcode reader ya MSD kwenye store za TTCL, upate majibu unayotarajia.
Pili, sahihi inapaswa kuonekana kwa uwazi, transparent, siyo mpaka mtu anayetaka kuiona ainvest kunua device kwaajili ya hilio, hiyo ni ni failure tangia kwenye project management planning, watu wasidanganywe.
Pamoja sana mkuu. Na wakijibu hilo swali mbuzi watataga mayai kama kuku!Kwan sisi tulisema sahihi zetu zifichwe? Mbona picha hawajaficha?... Shenzy wote wafungwe tu
Mkuu naona ungeuliza kwanza umuhimu wa saini/sahihi ili uelewe vizuri. Je unajua ukipata credit card mpya isipokuwa na saini yako nyuma haitapokelewa wakati wa malipo?Kwani Bank huwa wanaangalia sahihi ya kwenye kitambulisho au sahihi iliyo kwenye system yao na sahihi uloweka?
Na huyo waziri nae ni kilaza mkubwa. Unapotoa kitambulisho sehemu yoyote ni lazima kiwe na saini INAYOONEKANA ili kuthibitisha kuwa mwenye kitambulisho ndio mtu halali anayetambulika.Usicho elewa ni nini? Kwani kuwa raisi huwez kuwa mis informed? Nani unadhani anaijua NIDA zaidi ya mwenzake? Raisi anae beba nchi nzima au waziri anae shughulikia suala la vitambulisho na mambo machache tu?
Hakuna sahihi kabisaaa
Hivi Membe alipewa mabilioni mangapi na Gaddafi, maana stori za mabilioni ya Gaddafi haziishi. ?
mkuu ningeshauri kama uliamua kukichubua kitambulisho! unaonaje ukakipasua uone na kujiridhisha katikati yake chip ipo ama la ? embu fanya research hiyo kwa maana umeshaamua kuharibu chakwako. God will bless uHawa ndo aina ya mawaziri wasiotakiwa kuendelea ktk serikali inayotafuta u? ?mbuzi. Kweli huyu Waziri anaiona chip ndani ya kitambulisho? Ni teknolojia gani hiyo anayodai imetumika ktk kitambusho chake? Eti watumie smart card detector, Huyo waziri ana elimu yoyote ya cryptography?
Hiki ni kipande cha plastic, juu yake kimebandikwa picha na maandishi tuu. Cha kwangu nimeamua kukichubua. Ukishaondoa hayo mapicha, kinachobaki ni plastic isiyo na maana na haina kitu, hata haiwezi kupokea ciphertext yoyote!
Mtu kama huyu ni wa kufukuzwa tu!! Nonsense!
Mkuu heshima kubwa. Wewe naona una uelewa na haya mambo na sio hao wanaosema eti card reader bila kujua hata maana yake. Halafu walipotengeneza hivyo vitambulisho hawakujua vitatumika sehemu nyingi ambazo hazina hizo card reader? Kweli kwa mazingira ya Bongo unataka hata vituo vidogo vya polisi huko ndani kabisa vijijini wawe na hizo card reader? Mimi nimeishi nchi zilizoendelea kweli kweli kitechnolojia lakini hizi card reader hazipo kila mahali na ndio maana vitambulisho vyao vyote vina saini inayoonekana kwa macho.