Rais alidanganywa? Vitambulisho vya NIDA vina signatures

Hawa ndo aina ya mawaziri wasiotakiwa kuendelea ktk serikali inayotafuta ufumbuzi. Kweli huyu Waziri anaiona chip ndani ya kitambulisho? Ni teknolojia gani hiyo anayodai imetumika ktk kitambusho chake? Eti watumie smart card detector, Huyo waziri ana elimu yoyote ya cryptography?

Hiki ni kipande cha plastic, juu yake kimebandikwa picha na maandishi tuu. Cha kwangu nimeamua kukichubua. Ukishaondoa hayo mapicha, kinachobaki ni plastic isiyo na maana na haina kitu, hata haiwezi kupokea ciphertext yoyote!

Mtu kama huyu ni wa kufukuzwa tu!! Nonsense!
Tuoneshe namna ulivyo kichubua... Mimk changu nilimpa jamaa yangu yupo pale European Union.... Kanithibitishia kitambulisho changu kina chip na sahihi yangu, zaidi alinisihi kupiga kelele juu ya pesa ilivyotumika na siyo kuhoji ubora wa ID maana ubora wapo sahihi, issue ni namna walivyotulamba pesa.
 
Hivi hata hizi kadi za bank (ATM) za Nmb au Akiba (ACB) sahihi ya mwenye kadi ipo juu ya kadi au inaonekana kwa kutumi mashine maalum? Mimi nionavyo hapo issue iwe gharama sio sahihi maana hata hizi kadi zetu za bank sahihi haionekani kwa macho
 
Mleta mada alipakua na kumwaga tu hio habari lakini yeye mwenyewe hajakishughulisha kichwa chake kubaini tatizo halisi za hio kadi.

Kadi haina signature, na walisajiliwa watu milioni 6 tu.

Je mleta mada haoni kwamba hapo pana tatizo?

Soma tena sehemu ya habari hio:

"The president slammed the pace of the project, pointing out that the National Electoral Commission (NEC) had spent less than Tshs 70bn/- in producing 22.7 million voters’ registration cards, complete with card holders’ signatures, compared to NIDA’s Tshs 179.6bn/- expenditure on just 2.2 million ID cards".

Tafsiri yake ni kwamba raisi aliponda kasi ya mradi huo akitolea mfano wa tume ya uchaguzi NEC ambao walitumia kiasi kisichozidi Shilingi za kitanzania bilioni 70 kutengeneza vitambulisho vya kupigia kura, huku vikiwa na sahihi wakati NIDA wametumia Bilioni 179.6 kwa kutengezea kadi milioni 2.2

Huoni mantiki ya hii kauli ya mheshmiwa raisi hapo?

Ni hapo tu panapomhusu mheshimiwa raisi, huko kwingine ni habari tu ya hilo gazeti.
Sasa kosa la mleta mada ni lipi? Yeye kaleta habari kama ilivyo
 
Majibu rahisi kwa maswali magumu... anayesema barcode yoyote inaweza some codes zozote anakosea, hivi vitu vinatengenezwa maalum kwa na kuwa configured kwa code maalum za mnunuzi, mfano, huiwezi kutumia barcode reader ya MSD kwenye store za TTCL, upate majibu unayotarajia.

Pili, sahihi inapaswa kuonekana kwa uwazi, transparent, siyo mpaka mtu anayetaka kuiona ainvest kunua device kwaajili ya hilio, hiyo ni ni failure tangia kwenye project management planning, watu wasidanganywe.
Mkuu heshima kubwa. Wewe naona una uelewa na haya mambo na sio hao wanaosema eti card reader bila kujua hata maana yake. Halafu walipotengeneza hivyo vitambulisho hawakujua vitatumika sehemu nyingi ambazo hazina hizo card reader? Kweli kwa mazingira ya Bongo unataka hata vituo vidogo vya polisi huko ndani kabisa vijijini wawe na hizo card reader? Mimi nimeishi nchi zilizoendelea kweli kweli kitechnolojia lakini hizi card reader hazipo kila mahali na ndio maana vitambulisho vyao vyote vina saini inayoonekana kwa macho.
 
Kwani Bank huwa wanaangalia sahihi ya kwenye kitambulisho au sahihi iliyo kwenye system yao na sahihi uloweka?
Mkuu naona ungeuliza kwanza umuhimu wa saini/sahihi ili uelewe vizuri. Je unajua ukipata credit card mpya isipokuwa na saini yako nyuma haitapokelewa wakati wa malipo?
 
Usicho elewa ni nini? Kwani kuwa raisi huwez kuwa mis informed? Nani unadhani anaijua NIDA zaidi ya mwenzake? Raisi anae beba nchi nzima au waziri anae shughulikia suala la vitambulisho na mambo machache tu?
Na huyo waziri nae ni kilaza mkubwa. Unapotoa kitambulisho sehemu yoyote ni lazima kiwe na saini INAYOONEKANA ili kuthibitisha kuwa mwenye kitambulisho ndio mtu halali anayetambulika.
 
Hakuna sahihi kabisaaa

Tunao wataalamu wa IT kibao nchini hapa. Kuna wale vijana 75 wa ccm waliojifungia wakati wa matokeo ya kura na hata ukawa wanao wa kwao mbali ya waliopo serikali na mashirika hivi hawa wote washindwe kulithibitishia taifa ukweli wa signature kwenye vitambulisho vya taifa hadi iwezekane kwa wataalamu wa tume tu.Yawezekana raisi alipita kwanza kwa wataalam na kumthibitishia hakuna saini kwenye vitambulisho.Sasa kwa kuwa waziri yupo amthibitishie raisi juu ya ukweli huo kinyume chake atumbuliwe yeye.
 
Hawa ndo aina ya mawaziri wasiotakiwa kuendelea ktk serikali inayotafuta u? ?mbuzi. Kweli huyu Waziri anaiona chip ndani ya kitambulisho? Ni teknolojia gani hiyo anayodai imetumika ktk kitambusho chake? Eti watumie smart card detector, Huyo waziri ana elimu yoyote ya cryptography?

Hiki ni kipande cha plastic, juu yake kimebandikwa picha na maandishi tuu. Cha kwangu nimeamua kukichubua. Ukishaondoa hayo mapicha, kinachobaki ni plastic isiyo na maana na haina kitu, hata haiwezi kupokea ciphertext yoyote!

Mtu kama huyu ni wa kufukuzwa tu!! Nonsense!
mkuu ningeshauri kama uliamua kukichubua kitambulisho! unaonaje ukakipasua uone na kujiridhisha katikati yake chip ipo ama la ? embu fanya research hiyo kwa maana umeshaamua kuharibu chakwako. God will bless u
 
Mkuu heshima kubwa. Wewe naona una uelewa na haya mambo na sio hao wanaosema eti card reader bila kujua hata maana yake. Halafu walipotengeneza hivyo vitambulisho hawakujua vitatumika sehemu nyingi ambazo hazina hizo card reader? Kweli kwa mazingira ya Bongo unataka hata vituo vidogo vya polisi huko ndani kabisa vijijini wawe na hizo card reader? Mimi nimeishi nchi zilizoendelea kweli kweli kitechnolojia lakini hizi card reader hazipo kila mahali na ndio maana vitambulisho vyao vyote vina saini inayoonekana kwa macho.

Mkuu, na si wewe tu mimi pia nimetumia hizo kadi katika nchi tofauti Ughaibuni na zote zinaonyesha sahihi ya mwenye kadi pamoja na kuwepo hio chip inayohifadhi fingerprints na hata iris ya jicho.

Kuna sehemu zingine wanatumia zote kadi na fingerprints au iris kabla hujaingia ofisini.

Ila kadi bado inaonyesha sahihi ya mwenye nayo.

Sasa kuna watu wanafikiri raisi hana washauri ambao wengine ni wataalam na hawajui wanamshauri vipi kiongozi wa nchi.

Raisi huyu wa sasa JPM ana washauri wengi wapya na wenye utalaam wa kila aina, hio haimaanishi kwamba amewatupa wale washauri wazuri walokuwepo ndani ya miaka 10 ilopita.

Ushauri ulotolewa ndani ya miaka 10 ilopita, hasa kwenye masuala kama hili la NIDA haukuwa sahihi kabisa na umeitia nchi kwenye matatizo makubwa.

Na hata huyu kaimu mkurugenzi mkuu nae kaja juzi tu kakutana na issue ya mishahara, watu (watumishi wa chini) hawajalipwa kwa 3 months!, what is this crap?

NIDA walichakachua mambo kwenye huo mradi, period.
 
Back
Top Bottom