geraldkowero1
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 1,838
- 644
NIDA hata waje na utetezi gani bado watadaiwa zile billion kibao na uzembe wa kuchelewesha vitambulisho, huo mda na pesa mnaotumia kujitetea ni bora ungetumika kutengeneza vitambulisho kwa kasi,
Mimi ninachouliza kama huyo waziri anaehusika na masuala ya mambo ya ndani wakati Magufuli akitoa maamuzi hayo alikuwa nae ameshateuliwa ni kwa nini hakumshauri raisi kuwa ipo mashine tofauti inayotakiwa kusoma yote hayo?au raisi aliachwa atumie mamlaka yake ndipo waziri aje na huo ufafanuzi kwa kuwa tu hakuulizwa kwanza yeye?Kama ni hivyo naona kuna haja ya raisi kumrudishia Maimu nafasi yake kwani kama angemhoji nae angeweza kumpa jibu hilo hilo yakabakia labda ya gharama kuwa kubwa kwa vitambulisho ambavyo vimeshatolewa na pia muda uliotumika kuwa mrefu zaidi.Hapa unatakiwa uongozi wa pamoja kuliko huu tunaoona ni wa kukurupuka au kutegeana.