Rais ajiepushe kutoa hotuba au kauli makanisani kwa afya ya taifa

3b6c41ef22da1bf4844be534b803452d.jpg
 
Watu wengi tu wanampiga picha sio kweli kwamba anapigwa picha na mpiga picha wa rais tu,akija mtaani au eneo lolote wanamfotoa,mbona magazeti yanampiga picha tu?television zinapata wapi video za rais?
Kisheria picha ya rais hupigwa na wapiga picha wa Ikulu, unaweza kumpiga picha kwa faida ya simu yako lakini officially picha ya rais inatakiwa ipigwe na wapiga picha maalum. Tusipoteze muda na nguvu kuongea mambo yasiyohusiana na mada. Rais ni amiri jeshi mkuu mimi na wewe wala hatuna uwezo wala mamlaka ya kimaadili ya kumpangia mahali pa kutoa hotuba.
 
Sheria hiyo inaitwaje?sheria ya picha za rais?
 
Alichoweza kukifanya kwenye kampeni, angeshindwa vipi kukirudia iwapo angepewa nafasi. Kunya anye kuku akinya bata anaambiwa mchafu, anaambiwa anaharibu hali ya hewa.
Mleta mada anajenga hoja kwenye mambo madogo wakati kuna issues nyingi zenye kuyagusa maisha ya wengi wanaoteseka.
Kwa hiyo Magufuli nay eanalipiza!?
 
You have a point, LAKINI mfumo wa makanisa unaruhusu matukio kama hayo kufanyika. Misikitini, Budha temples etc hairuhusiwi kuingia kama si wa dini ile!

Nadhani kama waislamu for example wangelikuwa wanaruhusu mtu kuingia kwenye Ibada zao, nakuhakikishia angelikwenda kusali nao na kutoa hotuba.

Nakumbuka JK alikuwa anainghia makanisani bila shida (nakumbuka alikuwa anatoa neno-I stand to be corrected) kwa vile taratibu za kikristu hazimkatazi.

All in all kama kuna that feeling, then it is better to stop
Huna hakika na unachokusema!tuthibitishie hicho kama ni kweli misikitini hawaruhusu kuingia mtu asiye wa dini hiyo.
 
Back
Top Bottom