Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,522
- 22,435
- Thread starter
- #41
Nimesoma, maybe be specific unazungumzia kipengele gani hasa au hoja ipi!
Nilikuwa namaanisha kwamba JK hajatajwa katika habari hiyo, ila watu fulani wawili watatu hivi.
Mmoja aietajwa ingawa si kwa jina, lake lilikatwa kwenye ule mchakato wa mkutano wa CC.