Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

Tofauti Yako na Mwanamke ni jinsia tu but the rest mnalingana tu.. Women are not that weak and inferior my friend hii dogma ndo imesababisha wanaume kuteseka tangu Dunia imewekwa misingi yake. Women should be treated equally and act so
We huoni nchi zinazopractice equal right wanaume wanavyoishi Kwa Raha Mkuu??
Ifikie mahala wote tule Kwa jasho bila kujali jinsia ya mtu
Ukija mtaani kwetu majority ni women ndo bread winner wa familia and they are doing a great job at it... Open your eyes and see
"We huoni nchi zinazopractice equal right wanaume wanavyoishi Kwa Raha Mkuu?"

Nchi hizo zinazo practice equal right ndizo zinaongoza kuwa na rate ndogo ya ndoa,zinaongoza kwa talaka na ndizo zinaongoza kuwa na single mother? Ushajiuliza why yaani mwanaume awe na raha halafu amwache mkewe?

Kuwa na mke msomi au anaye fahamu vitu vingi,ila anaijua nafasi yake kama mwanamke kwa mumewe na familia yake ni kitu kizuri na kweli type hizi zipo,ila wapo wachache sana.Wengi wao huangukia kwenye categories ya wale wenye toxic feminity. Ila wanawake wengi wakishakuwa na elimu au fedha wengi wao hutaka kushindana na waume zao na ndizo kinacho wakuta hizo nchi zinazo practice equal rights. Ndio maana Strong Independent Woman huishia kugongwa na kuachwa,sababu ya ujuaji wao na kutakuwa na nafsi yao kwa waume na familia zao.
 
"We huoni nchi zinazopractice equal right wanaume wanavyoishi Kwa Raha Mkuu?"

Nchi hizo zinazo practice equal right ndizo zinaongoza kuwa na rate ndogo ya ndoa,zinaongoza kwa talaka na ndizo zinaongoza kuwa na single mother? Ushajiuliza why yaani mwanaume awe na raha halafu amwache mkewe?

Kuwa na mke msomi au anaye fahamu vitu vingi,ila anaijua nafasi yake kama mwanamke kwa mumewe na familia yake ni kitu kizuri na kweli type hizi zipo,ila wapo wachache sana.Wengi wao huangukia kwenye categories ya wale wenye toxic feminity. Ila wanawake wengi wakishakuwa na elimu au fedha wengi wao hutaka kushindana na waume zao na ndizo kinacho wakuta hizo nchi zinazo practice equal rights. Ndio maana Strong Independent Woman huishia kugongwa na kuachwa,sababu ya ujuaji wao na kutakuwa na nafsi yao kwa waume na familia za
Sijakuelewa?
Kama concern Yako ni ndoa basi huenda hujaelewa maana kamili ya Ndoa,but u should stop underestimating women my friend. They are on top of the food chain whether u know it or u don't. Wanawake wamependelewa kuliko unavyofikiria na unapojiinua kuwazidi wao ndo unageuka kuwa mtumwa wao zaidi.
They can do anything a man can do, na Kwa ukweli huo hawapaswi kuonewa huruma linapokuja swala la haki sawa. They should be treated as equal
Dunia inaharibika sababu nguvu ya Mwanamke haitumiki ipasavyo, mizani ya Sheria za asili haziko katika uwiano sahihi mpaka pale Dunia itakapo amka
 
Sijakuelewa?
Kama concern Yako ni ndoa basi huenda hujaelewa maana kamili ya Ndoa,but u should stop underestimating women my friend. They are on top of the food chain whether u know it or u don't. Wanawake wamependelewa kuliko unavyofikiria na unapojiinua kuwazidi wao ndo unageuka kuwa mtumwa wao zaidi.
They can do anything a man can do, na Kwa ukweli huo hawapaswi kuonewa huruma linapokuja swala la haki sawa. They should be treated as equal
Dunia inaharibika sababu nguvu ya Mwanamke haitumiki ipasavyo, mizani ya Sheria za asili haziko katika uwiano sahihi mpaka pale Dunia itakapo amka
"We huoni nchi zinazopractice equal right wanaume wanavyoishi Kwa Raha Mkuu?"

Hii paragraph yako ndiyo ninayo pingana nayo,karudie kufanya research yako.

Misingi ya haki sawa na misingi ya ndoa ni tofauti na ukiileta haki sawa kwenye ndoa basi ujue hamna ndoa. Kwani ndoa ni taasisi,ndio inanitaji ushirikiano ila lazima iwe na kiongozi ambaye ni mwanaume,ipo hivyo na itakuwa hivyo.

Ndio maana nikakwambia.
Nchi hizo zinazo practice equal right ndizo zinaongoza kuwa na rate ndogo ya ndoa,zinaongoza kwa talaka na ndizo zinaongoza kuwa na single mother? Ushajiuliza why yaani mwanaume awe na raha halafu amwache mkewe?
 
Hii uliwezaje!?
Je mdogo wake naye ana tako kama yeye!?
Wote wamejaaliwa sema dada mtu mkubwa napenda wakubwa halafu dada mtu anajibebisha full kubinua midomo ,mfano ukimshika matiti utasikia mi sitaki huku anatulia na kifungo anafungua ili ushike vizuri😁😁😁 napenda anavyojibebisha kwangu tu akiwa na watu wengine anaongea kwa msimamo kabisa kama sio yeye
 
Hahaha hongera sura yake ni nzuri!?
 
Mi wangu aliposema Hanang ni china ule wakati wa mafuriko ya matope nikajua kazi ipo
Ila yuko poa sana

Huyo itakuwa anajua sana Mandarin ya China 🇨🇳, ndiyo maana anajua Hanang ni sawa na Shang hai na Dong Feng. Ambayo yote ni maneno ya China.
 
Yupo vizuri macho ya kusinzia
Fanya mchakato umchakate huyo bimdashi napendaga dem mzuri akinipenda alafu akaniringia 😃🤗🤗

Unatakiwa hata umshikeshike mkuu unakosea wapi hadi sasa hivi hujamtafuna!?
 
Nina mpenzi wangu sijaona mtu wa kumzidi mathematics namuitaga academic master
 
Huyu wangu anajua hadi F-16 ndege zaki vita. Anasokiliza DW, BBC swahili utamuambia nn sasa kuhusu vita za middle East au ya ukraine vs Russia. Kwa kifupi ni mjuaji mwenzangu tu. Siku aliyo chomoa battery nikajua ni kamanda ni siku ananielezea kuhusu kifo cha kiongozi wa hezbollah Nasrallah. Utampata tu kwenye mipira maana hapendi.
 
Mke wangu ni bogasi twaweza kua tunaangalia bongo movie lakni yeye hajui hata movie imeanzaje na imefikia wapi utashangaa anakuuliza huyu ni nani kafanyaje.basi nalipiga bonge la banzi.
Spendagi kero mimi
 
Back
Top Bottom