Mzur Sana kwa connection
na simuachi nampenda
na simuachi nampenda
Oyaaaa, mbona hamjanishtua sasa nimwage madini ya Aleppo?Bro huko mpakani mwa Syria huko umesikia yanayojiri?
Shem na wewe ni mjuaji!?Aiseeeeh!
PumbavuNilipata mwanamke mnyenyekevu kuliko kawaida,nikamkimbia...sijazoea hivo,nataka mikikimikiki,nyumba inachangamka...
Umewahi kumla!Mimi kuna bidada moja anatafuta 40 years ebwana akiniona tu anajishaua kama kabinti full kunibinulia midomo kama kabinti ameolewa ila alinipendaga sana aliwahi kuniambia wakati nasoma tupange chumba na ana mzigo mkubwa kinoma kifupi umbo namba nane,kila akiniona tu anatepeta mpaka sasa
Mie hata kuwasha simu sijui🤣Shem na wewe ni mjuaji!?
Mwanamke anamjua Jeffrey Dahmerme mwanamke ambaye nakaa naye mbali ni yule anayefuatilia documentary za serial killers
Kuna siku aliniomba nimsindikize ilikuwa giza kufika chocho akanikumbatia mara nikaona anavua chupi,ghafra kuna mtu akawa anakuja tukaondoka kitambo so baadaye nikasafiri kurudi alifurahi sasa kila tukipanga anatingwa ,tukapoteana tena mpaka mwezi uliopita nilimuona akanikumbatia na busu juu mbele za watu ,yaan kifupi akiona tu anatepeta balaa hata leo ila mda mbovu coz biz na kazi akiniona tu huwa ananiambia mimi ningekuwa mme wake angenenepa hata kama hakuna chakula na kajazia kinoma yaani namba nane hii hapa mtamu kweli ila sijui kinatokeaga nini mpaka kumaliza inakuwa hivyo,mbaya zaidi kimya kimya nimemtafuna mdogo wake bila yeye kujuaUmewahi kumla!
Hii uliwezaje!?kimya kimya nimemtafuna mdogo wake bila yeye kujua
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Humu kuna faiza na nifah hawa ni hatari wanachambua hadi aina ya mabomu
🤣🤣🤣🤣🤣Usiombe ukaoa MUHA.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Juz nimeopoa demu ananiambia "ety niforcie elfu 60🤣"
AiseeSamia ni mke wa tatu ujue. Mwamba anaendelea na maisha poa tu hata hajui kuwa Samia hayupo nyumbani.