QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,122
9,204
kaeni mkao wa kula story nyingine toka kwa mtunzi yule yule aliyetunga peniela now kaja na kitu kiitwacho queen monica. kutana na kijana AUSTIN JANUARY mtanashati na jasusi hatari anafanya mambo makubwa sana.

ALBERTOS kundi hatari linalotaka kuitawala dunia limeingia pia tanzania
 
Ukiiweka nitag
 
Unataka uanze kunilaza tongo macho tena

Mama yangu sijui ntafanyeje

Ngoja nitengeneze mazingira ya kutafuta ruhusa job
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…