YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,002
Uharibifu aliofanya fidia atalilpaNi jambo jema hata Samia na Mbowe wamekutana na yakaisha
No fidia no discussion kaua biashara kuanzia mavyuo yaliyokuwa na mamilioni ya wanavyuo wanaingiza bilions of dollars kwa mwezi wameondoka hawarudi,mijumba walikaa hostel kabomoa,bussiness kabomoa ikiwemo kuua ajra za watu kampuni zilikuwa ukraine atalipa ?
Fidia kwa watu ameua ,vilema ,wakimbixi wengine ndio walikuwa bread winners atalipa mshenzi mkubwa
Miundo mbinu kabomoa nk kuna issues nyingi is he ready to pay the Price kwa vita aliyoanzisha yeye bila ukraine kuianzisha kwa kurushia russia hata ngumi
Mimi nilisimama na ukraine toka day one sikuyumba nataka kujua atalipa hasara katia ukraine ?