Putin aomba msaada wa Wanajeshi Korea Kaskazini

Nato sio watu wazuri..Wana mkula taaaratibu kama ugali baridi,, ngoja Korea kusin nao watume jesh lika wamege hao wavimba macho watarud kwenye sandarusi
 
Hili ni fundisho kwamba usimdharau mwanaume ambaye yupo nyumbani kwake,hata kama anakaa kwenye nyumba ya nyasi. Wengi wanasema putin anapigana na mataifa ya magharibi,tujiulize swali hili,je alipopanga kuivamia ukraine,hakulijua hilo?

Je,ni kweli mtu ukivamiwa na nyoka nyumbani kwako,ni kosa kuwaita majirani kumfurusha?
kama tunawaita majirani watusaidie kumshinda adui,Ukraine yupo sawa akiomba msaada popote.
ila ukilitafuta huku ukijua huna uwezo wa kulitatua ni mojawapo ya ujinga.
Nadhan ni issue ya uelewa tu. Ukraine ameshapokea wanajeshi wengi mno tu kutoka NATO na Western Countries haijawahi kuwa habari sio?

Tel Aviv pamoja na kuwa na nguvu kijeshi na ki tech + Mpinzani Dhaifu still ameomba wapiganaji na Kuletewa kila aina ya Siraha na vyombo kuanzia Manowari, AirCrafts Carries, Air Defence systems n.k hakuna shida
Shida ni MOSCOW kupokea wapiganaji kutoka PYONGYANG?
 
Ungekua umeisoma historia ya vita za ulaya wala usingeandika ujinga wako huu.
Kuna vitu havifichiki.
Tatizo lenu sinema za kimarekani zimewapumbaza sana.
😃😃 hakuna cha historia uwo ubabe wa urusi unaozungumzia ww alikua hayupo peke ake ni kabla haujavunjika ule muungano wao wa kisovieti
 
😃😃 hakuna cha historia uwo ubabe wa urusi unaozungumzia ww alikua hayupo peke ake ni kabla haujavunjika ule muungano wao wa kisovieti
Tanzania ilipigana na Uganda ,Tanzania ikashinda .
Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Je Zanzibar ikijitenga historia itafutika kua Tanzania haikuishinda Uganda?
 
Endeleeni hivyo hivyo kumdharau Putin😁 ila anazidi kuteka maeneo na kuitia NATO hasara. Haijalishi anapewa assist na Korea au Iran ila zoezi linakwenda vizuri. Zile propoganda za vita ya siku tatu hazina maana yeyote. Hakunaga vita inayopiganwa siku 3 duniani. Labda Nuclear war
 
Mbuzi wewe!
Rusia inaelekea kumaliza vita, pamoja na mabwana zako NATO nchi 32, na wengine vimbelembele waliochangia 25.
Putin kachapa wote!
Ogopa sana siku Rusia, China, North Korea, wakiungana kwa uwazi.
Dogo umepaniki sana. Mwambie mtu akuandikie vizuri ueleweke. Usipaniki haya mambo hayataki hasira dogo.
 
Vita siku zote ni vurumai. Ukrain anasaidiwa na watu wa magharibi karibu wote. Yeye yuko pekeyake.
Nyie madogo hamjui kitu mkisimuliwa hadithi na sheikh kitinku mnaleta humu

Screenshot_2024-10-20-09-14-16-871_com.twitter.android~2.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-20-09-14-16-871_com.twitter.android~2.jpg
    Screenshot_2024-10-20-09-14-16-871_com.twitter.android~2.jpg
    279.9 KB · Views: 0
Back
Top Bottom