Punguzo la PAYE: Kikwete alitabiri sifa atapata Rais anayemfuatia

W e will really miss u JK; umenikuta nikiwa na mshahara wa 456,670 TSH unaniacha nikiwa na 3,889,250 THS; WHAT A MASSIVE CHANGE! ngoja tumsubir na huyu japo matumaini ni madogo
Ufunze vizuri sasa. Uache usanii na siasa
 


Ukifuatilia hiyo clip hapo juu utagundua rais wa awamu nne Mh. Jakaya Kikwete ndiye aliyeshughulikia kwa kiasi kikubwa ishu ya kushushwa kwa kodi ya Pay as You Earn (PAYE).

Alifanikiwa kupunguza kodi kutoka asilimia kumi na nane (18%) hadi asilimia kumi na moja (11%), lengo lilikuwa ni kufikia asilimia tisa.
Alisema mwenyewe kwamba raisi ajaye atajipatia umaarufu kwa kushusha hadi hiyo asilimia tisa.

Hivi kwa kauli hii ya JK, tunaweza kumuita mtabiri?



Mzee kapotoka Urais si kwa lengo la kupata sifa nadhani lengo ni kutumikia watu
 
Inataka raisi aliyepo naye akubali kwani Magufuli naye angeamua si angekataa kutokana na economic plans alizonazo; kwakuwa karidhia ina maana sifa zinaishia kwakwe hili sio daraja ata useme kalikuta ni maamuzi tu ya kiserikari yanayoamuliwa na raisi kutokana na ushauri wa wataalamu wake kulingana na sera zake.
 
Mchambuzi, nakusihi ubaki kwenye hadhi yako ya zamani, watu wengi hapa JF, mimi nikiwemo tulipenda kusoma hoja zako maana zilikuwa zina mashiko. Kwanza, ukumbi wa CCM Dodoma hakujengwa na HSC, nadhani umepitiwa.

Pili, kelele za Lowassa kuwa ni fisadi zilitoka wapi? Karibu safu yote ya juu ya CHADEMA wamemsema sana Lowassa, tena sana. Na Mnyika is on record akisema ana ushahidi wa ufisadi wa Lowassa.

Tatu, nakubaliana na hoja yako kuwa ndani ya CCM kuna matatizo, tena matatizo makubwa. Lakini nikwambie, matatizo ya CCM ni cha mtoto ukilinganisha na nuksi iloyoko CHADEMA. Mbowe anajua lakini ameshaamua kwa sasa ataelekeza nguvu yake kwenye biashara. Tuombe uzima.
Rafiki yetu Mchambuzi ana kiwi ya macho. Zamani alikuwa na maono akiandika kurasa tatu za kuanzisha thread lakini baada ya kukengeuka hivi sasa anaandika vioja. Mchambuzi amejivika kitambaa cheusi machoni anasahau walioshadidia suala la ufisadi wa ENL. Sio CHADEMA tu bali hata CCM na wa CCM mkubwa alikuwa Sumaye!!
 
Mdanganye mjinga! Majina ya JK..... Asha rose Migiro, Bernad K. Membe,January Makamba,Balozi Amina, Hilo jina la mzinza lilichomekewa kiaina na Chinga and co

Unajidanganya tu na zile propaganda za kumpaka JK matope, waliokuwa kwenye Nec walituambia mwenyekiti alikuja na majina matano ya mfukoni, kama chinga angekuwa fitina anazijua basi leo 2005 Rais angekuwa Salim Ahmed salim na sio Mkwere, vita ya mkwere na El ndio inasababishwa kila kukicha mkwere apakwe matope..
 
Watu huwa wanasema viroba vibaya siwaelew sasa naona madhara ya viroba ni mabaya kuliko hata ya kansa.ya viroba yanakula ubongo wa vijana kama wewe.ubongo wako haupo sawa kabisa. Yaan hujui wakat gan wakuwa serious na wa kufanya masuala ya kipuuzi. Ujengwe mnara wa ..... Nahama tena nch, nakana uraia ni bora niwe raia wa kongo,somalia,sudan,syria,egypt kwenye vita kuliko kuweka kumbukmbu za kipuuzi katka ardh yetu
Utakufa kihoro kwa kumchukia JK
 
Katika hayo yote mazuri alofanya na kuandaa kufanyika kwake tatizo ni kua tulipigwa hela na rasilimali nyingine kupita maelezo.hapa ndio watu hawapapendi na panawakereketa.
Ni kweli mkuu lakini vita dhidi ya ufisadi sio ndogo inabidi ujipange hata Marekani mafisadi wapo na serikali haina cha kuwafanya. JK yeye asingeweza kupambana nao wakati mmoja angeshindwa alichofanya ni kukata mifumo yao yote wanayoitegemea alafu Rais atakaekuja amalizie tu ndio maana Magu ye anagusa tu sababu kila kitu kilishachorwa kipo kwenye mpango kazi.

Serikali ya JK ilikuwa na wanafiq wengi ukizingatia yeye aliwekwa na Mafisadi haohao ilikua ngumu kupambana nao ila kijiti kamuachia JPM na Majaliwa.
 
Hakuna kitu ukawa mtafanya kuwagombanisha JK na JPM.
We umefikaje huko? Umeisikiliza na kuiangalia vizuri lakini hiyo video? Sasa hapo Ukawa wanachonganishaje? Kwa kuileta hiyo video ambayo inaendana kweli na kilichotendeka?! Mimi sijakuelewa!
 
Urafiki ulimponza...
Hata mwenyewe nilimsikia wakati anahutubia baada ya JPM kuapishwa kuwa urafiki umekwamisha urais wake...(sikumbuki exact words...lakini alilisema kama wosia kwa Magu)...
watu wanaharibu akiwaangalia usoni anawajua...anawaonea huruma...
Unaambiwa hata biashara mpe nduguyo ukione
Ukweli mtupu
 
Mdanganye mjinga! Majina ya JK..... Asha rose Migiro, Bernad K. Membe,January Makamba,Balozi Amina, Hilo jina la mzinza lilichomekewa kiaina na Chinga and co
Huyo chinga alikuwa na nguvu gani kumpita JK? Mbona yeye alishindwa kulichomeka jina kiaina mwaka 2005 mpaka wajanja wakachukua nchi? nasubiri jibu mkuu.
 
Unajidanganya tu na zile propaganda za kumpaka JK matope, waliokuwa kwenye Nec walituambia mwenyekiti alikuja na majina matano ya mfukoni, kama chinga angekuwa fitina anazijua basi leo 2005 Rais angekuwa Salim Ahmed salim na sio Mkwere, vita ya mkwere na El ndio inasababishwa kila kukicha mkwere apakwe matope..
Hawawezi kulikubali hili kwani kati ya Magu na Lowasa nani alikua tishio kwa chama? Kama alikatwa EL atashindwaje kukatwa Magu ambae hakuwepo katika fikra zetu.
 
Back
Top Bottom