Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

tatizo pasco ameshaupuuza
Mkuu Ben, Ben-adam , ni kweli uzi ni wangu mwenyewe, sio naupuuza, bali najikuta nalazimika kuukimbia, kwasababu maswali ni mengi hadi naukimbia, mimi ni msomaji tuu wa haya mambo, I dont practice, practising members wamo humu na wengine ni instructots kabisa kama wakuu Mshana Jr na Rakims . PM zinafurika inbox watu wakinidhania mimi ni mwalimu wa haya mambo, mimi ni mhabarishaji tuu.
P
 
up date
Tofauti ya Mungu na shetani, Mungu haonekani, utaona mwanga tuu au kusikia sauti tuu lakini shetani anaonekana!. Hivyo akitokea mtu akatoa ushuhuda kuwa Mungu amemtokea, na yeye amemuona Mungu, na kuelezea huyo Mungu alivyo, ujue huyo aliyemtokea huyo mtu sio Mungu, ni shetani disguised as God!.

Juzi kati kuna mama mmoja Arusha katokewa na mungu, amemuona ni mwanaume!, huyo ni shetani.

NB. Shetani pia ana nguvu za kufanya miujiza, kuna wengi wanamwabudu shetani bila kujijua wakidhani ni Mungu!. Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.

Inafikirisha Sana.
 
Asante mkuu ,je hizi power katika success au kazi naweza zitumiaje au kwa njia gani Kama kupata decent job , biashara n.k.
kitu muhimu cha kwanza ni kujitambua tuu kuwa you have the powers。Hatua ya pili ni how to use them,to chanel them zikuletee mafanikio, hapa panahitaji juhudi na mazoezi kwa kutumia the power of positive thinking kwa kuhusisha manifestation。Nguzo 7 za Mafanikio Kupitia Manifestation, Nguzo Kwanza ni Kuijua Asili ya Manifestation, Kuwa na Ndoto, Kutia Nia, Kuamini, Kuthubutu, na Kutenda
P
 
Back
Top Bottom