Paskali, nashkuru kw mjadala huu ulivoanza, huenda pia ndo somo lenyewe lilivohitajitokeza. inaelekea tupo wengi tunalipenda. you're a public figure na huenda una address ambayo hutajali tukiitumia kukupata. naona tuko wengi, turushie au tufanyeje kukupata privately? telepathically huenda tumekupata - tenda miujiza ...au?Wanabodi,
Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, "Mambo ya Powers".
"Powers" ndicho kitu kikubwa kabisa duniani kuliko kitu kingine chochote! . God is Power, yaani Mungu ni nguvu, hakuna kitu chochote kinachoonekana kwa macho kumhusu Mungu, bali ni powers zake tuu za mambo Mungu anayoyafanya ndizo zinazoonekana.
Chochote mtu atakachokiona kuhusu Mungu iwe ni kwenye mawazo, kwenye maneno, kwenye matendo, kwenye mahubiri, kwenye ndoto, kwenye unabii, kupitia Roho Mtakatifu au kupitia Malaika wake, it's just the manifestation of God's power kwa sababu God is a spirit of power ambazo zinafanya mambo mazuri, doing good.
Shetani pia ni power ya evil spirits inayofanya maovu, yale maumbo yote ya shetani yanayoelezewa kuonekana mara hivi mara vile pia ni just a manifestation of that evil powers kujionyesha katika umbo lolote, hivyo shetani anaweza kuji manifest katika umbo lolote na kufanya jambo lolote hata jema kama kuponyesha kimuijiza ili kuwaaminisha watu kuwa ni kazi ya Mungu.
Powers ndio kila kitu. Watu wote wenye nguvu ni powers, spiritual powers kwa watu wa imani, political powers kwa wanasiasa, economical powers kwa matajiri, social powers kwa wenye vipaji mbalimbali. Everything thing is about powers na mafanikio yoyote katika kila kitu ni jinsi watu wanavyo master hizi powers.
Kitu chenye nguvu kabisa katika mwili wa binadamu ni power ambayo ni nguvu inayoitwa "Will Powers" ambayo kila binadamu, anazaliwa nayo, ila wengine wanabahatika kwa nguvu hizo kujionyesha bayana, huku wengine wengi wakiwa nazo zikiwa zimejificha bila kujijua kuwa wanazo hizo nguvu.
Wale wahubiri wafanya miujiza ya uponyaji, wote wanatumia nguvu hizi, kufanya hayo wanayoyafanya, ila pia, wanga, wachawi, waganga, watabiri, wavumbuzi, matajiri wa kutisha, watawala wenye nguvu, nao pia hutumia nguvu hizi kupata mafanikio makubwa katika maisha yao.
Matumizi ya neno "Katika Jina la Bwana", "Yesu", "Mungu" au jina lolote utakalotumia, ni kiashiria tuu cha kuufungua mlango wa nguvu hizo, ili ziweze kutenda miujiza, hata wasiotumia majina hayo, au maneno hayo huweza kutenda miujiza! kwa sababu uwepo wa nguvu hizi has nothing to do with religion but has everything to do with being.
Na sio binadamu tuu ndio wenye nguvu hizi bali ni viumbe wote wana hizi special powers kwa kiwango chao na maisha ya viumbe hawa na powers za viumbe wengine ni kubwa kuliko za binadamu, mfano mbwa, paka, panya etc.
Matumizi ya nguvu hizo, yanapotumika kutenda mema, huitwa nguvu za "Mungu", "Yesu", au "Roho Mtakatifu", "Powers of Light", nguvu za Mwanga, na nguvu hizo zinapotumika kutenda maovu kama uchawi, majanga, magonjwa, etc huitwa "Nguvu za Shetani" powers of the darkness, nguvu za giza, evil spirits etc.
Kwa vile nguvu hizi kila mtu anazo, hata hao wanaofanya miujiza ya uponyaji, wanachofanya ni kufungua tuu milango, ili nguvu zilizo ndani yako, ziweze kutenda hiyo miujiza, na ukipona, kilichokuponya sio huyo mponyaji, wala lile jina la Yesu, au jina Mungu, bali ni nguvu zilizo ndani yako!, "the powers from within!".
Hivyo hata usipotumia jina la Mungu au jina la Yesu na ukatumia neno jingine lolote lenye powers vibrations kuzifungulia nguvu hizi zilizo ndani yako, nguvu hizo hufunguka, ndio maana watu wa dini zote hutumia.
Hatua ya kwanza ya kufungua nguvu hizi ni "imani" kuamini kuwa "you have the powers" and that "you can do anything!", or "you can be anybody". Kuamini Mungu, Yesu, Mtume, Allah, Roho Mtakatifu, Bikira Maria, Watakatifu, Wachungaji, Wahubiri, Baba Mtakatifu, Sangoma, Sheriffu, Mlingotini, Chini ya Mti, Chini ya Mbuyu, Mlimani, Pangoni, Kisimani, Mtoni, Ziwani, Kwa Mganga, Vitabu Vitakatifu etc, ni njia rahisi ya kuanzia kufungua milango ya "higher power" to open up your doors for powers from within!" to act on you for you.
"I know I can, be what I wanna be!"
Wale wenzetu wajanja, waliojitambua kuwa wanazo, wengi wanazitumia kutengezea mapesa kwa kisingizio chochote kiwe ni cha wahubiri, waganga, "wazee wa busara", "watenda miujiza", "wafukuza mapepo" kwa kukusanya sadaka na kujitajirisha, ambao mimi naita ni "wizi mtupu", huku waumini wakendelea kukamuliwa na kuachwa katika umasikini uliotopea.
Nguvu hizi zimegawanyika matika makundi mengi tofauti, hivyo nimekuwekea baadhi ya makundi hapa chini, just take your time kuyatambua, ujiangalie na wewe unazo nguvu zipi, ili sasa uzitumie nguvu hizo, to "make things happen".
This is a list of psychic abilities that have been attributed to real-world people. These are also sometimes known as extrasensory perception or a sixth sense. Inclusion in this list does not imply scientific recognition of the existence of an ability. Superhuman abilities from fiction are not included.
Psychic Powers- ni nguvu za kufanya miujiza ambazo wengi wanazo bila kujitambua!, swali ni jee wewe unazo?!,
- Apportation - Materialization, disappearance, or teleportation of an object.
- Aura reading - Perception of the energy fields surrounding people, places, and things.
- Automatic writing - Writing produced without conscious thought.
- Astral projection or mental projection - An out-of-body experience in which an "astral body" becomes separate from the physical body.
- Bilocation or multilocation - Being in multiple places at the same time.
- Clairaudience - receiving messages in thought form from another frequency or realm. It is considered a form of channeling.
- Clairvoyance, second sight - Perception outside the known human senses.
- Death-warning - A vision of a living person prior to his or her death.
- Divination - Gaining insight into a situation via a ritual.
- Dowsing - Ability to locate objects.
- Energy medicine - Healing by channeling a form of energy.
- Faith healing - Diagnosing and curing disease using religious devotion.
- Mediumship or channeling & Communicating with spirits.
- Precognition, premonition and precognitive dreams - Perception of events before they happen.
- Psychic surgery - Removal of diseased body tissue via an incision that heals immediately afterwards.
- Psychokinesis or telekinesis - The ability to manipulate matter by the power of thought.
- Psychometry or psychoscopy - Obtaining information about a person or object.
- Pyrokinesis - Manipulation of fire.
- Remote viewing - Gathering of information at a distance.
- Retrocognition - Perception of past events.
- Scrying - Use of an item to view events at a distance or in the future.
- Telepathy - Transfer of thoughts or emotions.
- Transvection - Bodily levitation or flying.
Take time kujitambua kuwa you have the powers,
Nitakusaidia website za kukuelekeza ufanye nini kuhusu hizo powers ulizo nazo zikuletee mafanikio!.
Watu wote wenye mafanikio, wameisha jitambua, ila wengi wanafanya siri!.
Hii ni fursa kwa wewe kujitambua, kuzitumia powers ulizo nazo, kubadili maisha yako!,
NB. Hili ni muhimu sana kuzingatia, mzingi mkuu wa mada hii ni kujitambua, self awareness, kwa vile nimesema Mungu ni Nguvu za kutenda mema, God is Powers of Lightness, na Shetani ni nguvu za kutenda maovu, is powers of darkness, the dividing line between hizi powers ni very thin.
Shetani is very clever, ni imposter, ana penda kuji disguise as Mungu, hivyo kuna mambo mengi ikiwemo miujiza ya uponyaji inayofanyika kwenye dunia hii, huku watu wakidhani ni kazi ya Mungu, kumbe sio kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani. Hivyo be very careful.
Karibu tujadiliane!.
Paskali
Kwa wanaopenda kujisomea kuongeza maarifa, nimeongeza list ya all the topics kwenye net resources kuhusu kila kitu chini ya jua zikiwemo nguvu za giza na kila aina ya uchawi, ili ujue na kujitenga nao
- World Religions
- Traditions
- Mysteries
- What's New?
- About
- Abuse
- Books
- Bibliography
- Contact
- Credits
- Copyrights
- Donate
- Downloads
- FAQ
- Links
- Map
- Press
- Privacy
- Search
- Top Level
- Terms of Service
- Translate
- Standards
- Unicode
- Volunteer
- Wishlist
- Catalog
- African
- Age of Reason
- Alchemy
- Americana
- Ancient Near East
- Astrology
- Asia
- Atlantis
- Australia
- Basque
- Baha'i
- Bible
- Book of Shadows
- Buddhism
- Celtic
- Christianity
- Classics
- Comparative
- Confucianism
- DNA
- Earth Mysteries
- Egyptian
- England
- Esoteric/Occult
- Evil
- Fortean
- Freemasonry
- Gothic
- Gnosticism
- Grimoires
- Hinduism
- I Ching
- Islam
- Icelandic
- Jainism
- Journals
- Judaism
- Legends/Sagas
- Legendary Creatures
- LGBT
- Miscellaneous
- Mormonism
- Mysticism
- Native American
- Necronomicon
- New Thought
- Neopaganism/Wicca
- Nostradamus
- Oahspe
- Pacific
- Paleolithic
- Parapsychology
- Philosophy
- Piri Re'is Map
- Prophecy
- Roma
- Sacred Books of the East
- Sacred Sexuality
- Shakespeare
- Shamanism
- Shinto
- Symbolism
- Sikhism
- Sub Rosa
- Swedenborg
- Tantra
- Taoism
- Tarot
- Thelema
- Theosophy
- Time
- Tolkien
- UFOs
- Utopia
- Women
- Wisdom of the East
- Zoroastrianism