Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,397
Kama hujawahi kuwa best student ni haramu kujifananisha na Prof nguli Duniani, usirudie tena hilo kosa!
Hao kina JPM waliopita kichochoro cha Diploma na kina Mwakyembe waliopita kwny Vichochoro vya upaparazi inawezekana ukafanana nao.
Huyu Mtoto wa Ilolangulu Tabora kwny Taaluma yake ya Uchumi achana nae kabisa kabisa!
CV yake tu page zake ni sawa na Paper yako ya Research under graduate
Ukiwa na ELIMU YA PhD halafu ukawa na thinking capacity ya Lipumba,ni bora kutokusoma kabisa