Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,821
- 4,072
Au nimemix tango na parachichiKwa mfano mtu anayekula ndizi kumi kwa pamoja amekuka sukari nyingi kuliko aliyekula ndizi moja na chungwa moja.
Au nimemix tango na parachichiKwa mfano mtu anayekula ndizi kumi kwa pamoja amekuka sukari nyingi kuliko aliyekula ndizi moja na chungwa moja.
Kabisa.Au nimemix tango na parachichi
Kama kale ka stela manyanya,eti enjinia kumbe fundi nchundo,🤣🤣🤣Watakunja ngumi mpaka wachoke tu. Janabi mwenyewe inasemekana wala siyo daktari bingwa kaunga unga tu. Sasa amekomaa na mambo ya lishe wakati wala siyo uwanja wake wa kitaaluma. Ndo maana anaishia kushushuliwa kwa kutulisha matango pori 😂😂😂
View attachment 3309869
Kuna watu wali ni mind sana namkosea heshima Profesa wao.Kumbe ulishamsanukia kitambo mkuu🤔
Wafafanue kipi ambacho hujaelewa na huwezi kuelewa?UDSM, SUA, UDOM, CUHAS kuna wabobezi kwenye biochemistry si waje wamsaidie Prof. Janabi! Mbona anataka kudhalilishwa na akina kifula mbute hapa! Prof. Max, Prof. Mutayoba, Prof. Balthazar na Dr. Mushi pale SUA wako wapi wafafanue hii kitu!
Si unywe uji wa mhogoProf Janab kuna issue nyingine anazingua ,mtu gani ambaye anayekatazwa asile sukari? Sasa utapata energy kutoka wapi?
Kwan wao unafikiri hawajui huo uongo amaousema janabi?? Jiulize kwann hao watu hawajulikani sana kama Janabi.. ni siasa. Utaalam wa mchomgo daily kwemye media wakat hao unaowataja wako busy fieldUDSM, SUA, UDOM, CUHAS kuna wabobezi kwenye biochemistry si waje wamsaidie Prof. Janabi! Mbona anataka kudhalilishwa na akina kifula mbute hapa! Prof. Max, Prof. Mutayoba, Prof. Balthazar na Dr. Mushi pale SUA wako wapi wafafanue hii kitu!
Kajichanganya mwenyewe Na kiukweli Yote Aliyosema Kaenda Chaka 😀🤣🤣🤣
Kwan wao unafikiri hawajui huo uongo amaousema janabi?? Jiulize kwann hao watu hawajulikani sana kama Janabi.. ni siasa. Utaalam wa mchomgo daily kwemye media wakat hao unaowataja wako busy field
Ndio maana mimi huwa nina wasiwasi sana na hawa MADOKTA UCHWARA.Kajichanganya mwenyewe Na kiukweli Yote Aliyosema Kaenda Chaka 😀🤣🤣🤣
Prof ni wa mchongo mda tu😆Kuna watu wali ni mind sana namkosea heshima Profesa wao.
Wanga hataki pia.Si unywe uji wa mhogo
Kwa nini huwa anajitanabaisha kama daktari bingwa wa magonjwa ya moyo? Huo u cardiologist aliusomea wapi? Na alikuwa anafanya nini katika chumba cha Mwendazake siku anakata moto pale Mzena? 😳😳😳😳😳😳Soma hapo, ni daktari