Prof Janabi awekwa mtu kati

Na kikwete Bado anazurula naye ikulu za watu huko
Watakunja ngumi mpaka wachoke tu. Janabi mwenyewe inasemekana wala siyo daktari bingwa wa moyo kaunga unga tu kozi wala hazieleweki. Sasa amekomaa na mambo ya lishe wakati wala siyo uwanja wake wa kitaaluma. Ndo maana anaishia kushushuliwa kwa kutulisha matango pori 😂😂😂

IMG-20250419-WA0109.jpg
 
Ningetamani sana kama Janabi angejibu uongo wake kwa maelezo kama hayo ya huyo jamaa.

Mi najiuliza kwanini wana mnadi Afrika nzima? Akishinda tunapata faida gani, kuna upigaji au kujipendelea ?

Na gharama za kumzungusha Afrika nzima zinatoka mfuko gani nchi hii? ni zake binafsi au za umaa?

CAG atueleze mwakani tulitumia Bilioni ngapi kumnadi Janabi Afrika na tumepata faida gani au hasara kiasi gani.
 
Au tunashadadia kwa vile amesema mzungu? Ina maana Tanzania hatuna wasomi waliokuwa wanafahamu hizo hoja anazokuja nazo mzungu? Ni vipi kama Janabi alikuwa anazungumzia hakuna ulazima wa kuchanganya matunda kama kote unaweza kupata fructose, maltose na sucrose? Hatuoni kama ukiyachanganya unaweza kuzidisha kiwango kinachojitajika na mwili? Wacha nisubiri wanafunzi wa Prof. Janabi wanavyoweza kumnasua mwalimu wao katika hili!
 
Ningetamani sana kama Janabi angejibu uongo wake kwa maelezo kama hayo ya huyo jamaa.

Mi najiuliza kwanini wana mnadi Afrika nzima? Akishinda tunapata faida gani, kuna upigaji au kujipendelea ?

Na gharama za kumzungusha Afrika nzima zinatoka mfuko gani nchi hii? ni zake binafsi au za umaa?

CAG atueleze mwakani tulitumia Bilioni ngapi kumnadi Janabi Afrika na tumepata faida gani au hasara kiasi gani.
Kanatumia Kodi zetu Boss! Na kalivyo kakavu sasa mpaka WHO inaweza kuogopa!😁😁😄
 
Back
Top Bottom