Pre GE2025 DSM Polisi watanda Dar es Salaam kuzuia CHADEMA kwenye kesi ya Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Musachawenyu

Senior Member
Aug 6, 2020
109
161
Nimepatwa na mshangao kwa kukuta kila sehemu ya makutano na taa katikati ya jiji la Dar es Salaam ikiwa na magari mawili hadi matatu ya Jeshi la Polisi ambayo yamewasha double hazard na askari wakiwa na silaha wamesimama pembeni ya gari hizo.

Hii haina tafsiri zaidi ya hofu dhidi ya Chadema waliotangaza kwenda mahakama ya Kisutu kuhudhria kesi ya Makamu Mwenyekiti TAL.

Uoga huu na matumizi haya mabaya ya rasilimali za Polisi yanatupeleka wapi kama Taifa?

Huu mzaha mzaha mnaoujenga utatumbua usaha uliovunda soon.
 
Km ulikuwa na mpango wa kufanya uhalifu umekwama we bwege. Badala ufurahie ulinzi umeimarishwa unakuja kulalamika humu? Kenge kwl! Halafu we nyau huo upumbavu unaouwaza hautatokea kamwe
 
Natamani the Day Lissu ataingia ikulu atembeze calculator kwa mafisadi kama Jiwe alivyofanya kwa b'nessmans.

Wangekuja na wazee wa magwanda at least ingeleta uzito soon polisi watachokwa na wazalendo haita kua na matokeo Mazuri, Leo ni mwanzo/mwendelezo let's see mbio za sakafuni

No Reform No Election, Simple.
 
Nimepatwa na mshangao kwa kukuta kila sehemu ya makutano na taa katikati ya jiji la Dar es Salaam ikiwa na magari mawili hadi matatu ya Jeshi la Polisi ambayo yamewasha double hazard na askari wakiwa na silaha wamesimama pembeni ya gari hizo.

Hii haina tafsiri zaidi ya hofu dhidi ya Chadema waliotangaza kwenda mahakama ya Kisutu kuhudhria kesi ya Makamu Mwenyekiti TAL.

Uoga huu na matumizi haya mabaya ya rasilimali za Polisi yanatupeleka wapi kama Taifa?

Huu mzaha mzaha mnaoujenga utatumbua usaha uliovunda soon.
Kazi ya Vyombo vya Dola ni kuhakikisha nchi ina amani na hicho ndicho vinachofanya. Ninyi kama mnahisi mna haki na mnaonewa pambaneni nao!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Natamani the Day Lissu ataingia ikulu atembeze calculator kwa mafisadi kama Jiwe alivyofanya kwa b'nessmans.

Wangekuja na wazee wa magwanda at least ingeleta uzito soon polisi watachokwa na wazalendo haita kua na matokeo Mazuri, Leo ni mwanzo/mwendelezo let's see mbio za sakafuni

No Reform No Election, Simple.
Lisu hawezi kukanyaga Ikulu hata siku moja.
Ccm haiwezi kutoka madarakani kwenye kizazi chetu hiki.
Bado sana
 
Back
Top Bottom