Pre GE2025 DSM Polisi watanda Dar es Salaam kuzuia CHADEMA kwenye kesi ya Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimepatwa na mshangao kwa kukuta kila sehemu ya makutano na taa katikati ya jiji la Dar es Salaam ikiwa na magari mawili hadi matatu ya Jeshi la Polisi ambayo yamewasha double hazard na askari wakiwa na silaha wamesimama pembeni ya gari hizo.

Hii haina tafsiri zaidi ya hofu dhidi ya Chadema waliotangaza kwenda mahakama ya Kisutu kuhudhria kesi ya Makamu Mwenyekiti TAL.

Uoga huu na matumizi haya mabaya ya rasilimali za Polisi yanatupeleka wapi kama Taifa?

Huu mzaha mzaha mnaoujenga utatumbua usaha uliovunda soon.
Nchi imemshinda Samia ni wakati wa kurudisha nchi kwa Watanganyika.
 
Back
Top Bottom