Polisi wa Iran wafunga ofisi ya Turkish Airlines kufuatia wafanyakazi wake wa kike kukataa kuvaa hijabu

Hata Wananchi wengi zaidi wa nchini Iran kwenyewe hawakubaliani na misimamo ya kidini isiyofaa ambayo inachukuliwa na Watawala wa nchi hiyo.
Je, Sasa hao Wananchi wa Iran ambao wanapingana na misimamo ya kidini ya watawala wa huko wamekuwa ni Raia wa nchi za Magharibi??
Kuna watu hamuna hoja yaani mumekua muflisi wa hoja mpaka munashangaza
Mwanao akija hapo ndani akakwambia kashachoka ama hataki uwe na mama kama mkeo utafute mwanamke mwengine atakua yupo sahihi kisa kasema?
Haya kenya juzi hapo wameingia mpaka bungeni inaashiria nini ile ama pale ni Iran
2020s napo marekani waliingia mpaka bungeni kwakua hawakubaliani na tawala wao uliopo madarakani
Ndio nyie watu wakiandamana wanataka muoane wenyewe kwa wenyewe munasema haki ya kibinaadamu puwa yuuu
Mwisho hakuja sirikali duniani inayokubaliwa 100% na raia wake ama na kila mtu
 
Apostle kuna muujiza huku..... Nini kimetokea?.
Hapa nchini mikoa yenye Uislam zaidi ina ufirauni kuliko mikoa yenye Ukristo kwa wingi.
Kuwepo kwa waislamu wengi kunaweza kusiwe sababu ya kutokuepo kwa ile sura halisi ya uislamu
Ila kuwepo na uislamu wa sharia ndio kunapotoa tafsiri halisi
Sehemu ina waislamu ila sheria zinazoendesha sio za uislamu unategemea nini?
Unaweza ukawa muislamu ila usijue uislamu unataka nini!
 
Polisi nchini Iran walifunga ofisi ya Shirika la Ndege la Uturuki katika mji mkuu wa Tehran, vyombo vya habari vya Irani viliripoti Jumanne, baada ya wafanyakazi wa kike huko kukataa kuvaa hijabu ya lazima, au hijab, kwa kitendo cha kukiuka sheria za nchi.
Wavae hijaab ili kumfurahisha nani?
Asiyependa kuona nywele za hao wanawake ndiye avae miwani ya kujizuia
 
Back
Top Bottom