Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,496
Niliwahi kukuchukia lini ?Mbona wewe hupendi wasiovaa hijabu na upo Rory. Kwanini usiende Tehran?
Niliwahi kukuchukia lini ?Mbona wewe hupendi wasiovaa hijabu na upo Rory. Kwanini usiende Tehran?
Wanaathirika kivipi ?mamlaka ya viwanja vya ndege Iran ndo inaathirika kaka Turkish Airlines wako sahihi
Huu ni ujuha wa kiwango cha lamiPolisi nchini Iran walifunga ofisi ya Shirika la Ndege la Uturuki katika mji mkuu wa Tehran, vyombo vya habari vya Irani viliripoti Jumanne, baada ya wafanyakazi wa kike huko kukataa kuvaa hijabu ya lazima, au hijab, kwa kitendo cha kukiuka sheria za nchi.
============
Tehran police close Turkish Airlines office after its employees defy Iran's headscarf law
Police have shut down the Turkish Airlines office in the Iranian capital after female employees there apparently refused to wear the mandatory headscarf, or hijab, in an act of defiance of the country's laws
ByAMIR VAHDAT Associated Press
TEHRAN, Iran -- Police in Iran shut down the Turkish Airlines office in the capital of Tehran, Iranian media reported Tuesday, after female employees there apparently refused to wear the mandatory headscarf, or hijab, in an act of defiance of the country’s law.
The semi-official Tasnim news agency said police officers went to the Turkish Airlines office in Tehran on Monday to issue what is called a first warning over the “non-observance of hijab” by the company's employees.
However, the employees — who are Iranian nationals — reportedly “made trouble for the police officers,” prompting the closure. The Tasnim report said police subsequently sealed the office over the employees’ behavior.
According to Tasnim, the Turkish Airlines office will be allowed to reopen on Wednesday and resume business as usual, something that the police did not confirm. The report further said that police would not seal any business due to the non-observance of hijab but issue first warnings.
There was no immediate comment from the Turkish Airlines over the incident in Tehran.
An open defiance of the headscarf law erupted into mass protests across Iran following the September 2022 death of 22-year-old Mahsa Amini after her arrest by the country’s morality police. While those demonstrations appear largely to have cooled, the choice by some Iranian women to remain uncovered in the street poses a new challenge to the country’s theocracy.
Iranian authorities have over the past years shuttered hundreds of businesses across the country — from shops, restaurants to pharmacies and offices — for quietly allowing their female employees to forgo wearing the hijab.
That reinforcement was intensified in the months running up to Iran’s presidential election in June to replace the late President Ebrahim Raisi who died in a helicopter crash a month earlier.
The fracas at the Tehran office of the Turkish Airlines took place on the same day as Turkish President Recep Tayyip Erdogan called Iran's President-elect Masoud Pezeshkian to congratulate him on his win in Iran's presidential runoff last week.
Pezeshkian bested hard-liner Saeed Jalili in the election by promising to reach out to the West and ease enforcement on the country’s mandatory headscarf law after years of sanctions and protests squeezing the Islamic Republic.
The state-run IRNA news agency quoted Tehran Prosecutor Ali Salehi as saying that no legal proceedings or ruling had been issued regarding the sealing the Turkish Airlines office in Tehran.
Iran and Turkey have maintained good relations and in 2023, the volume of bilateral trade between the two stood at $5.4 billion. Turkey is also a popular tourist destination for Iranians, with some 2.5 million visiting last year.
Turkish Airlines is a favored carrier among Iranians because of the shorter travel time to the United States and Canada, compared to other long-haul flights from Arab countries in the Persian Gulf.
ABC News
Ni ujinga ujingaWanaathirika kivipi ?
Mungu haishi kwenye mavaziHijabu ni vazi tu halina uhusiano na ubikira .Yasikutishe ohh nataka kuoa mwanamke anayejistiri na hijabu .Utakuja pata mshtuko wa mwaka na kupata pressure bure kukuta ana shimo kubwa wazi kama shimo la Jehanamu au la Ngorongoro crater alishabikiriwa siku nyingi na kushughulikiwa mara kwa mara na wanaume wengi tofauti tofauti wenye marungu ya kila saizi small,medium , large na largest
Vizuri mtu ajiandae kisaikolokia aseje oa kwa kigezo cha kuvaa nguo za kujistri anasitiri vingi na vibaya vikiwemo
DuuuhDuh! Vyuma vimeumana. Shida waturuki wanajihisi Westerners zaidi kuliko Middle Easterners. Pamoja na kuwa chimbuko la himaya kuu ya kidini ya Ottoman hawajawahi kupenda utamaduni wa uvaaji wa mashariki ya kati. Ngoja tuone kipi chuma cha pua kati ya wawili hao.
,🤣🤣🤣The religion of peace strikes again
Lakini mbona kuna baadhi ya waumini wanapinga Wafaransa wanapotetea tamaduni zao? Maana Wafaransa hawataki Hijab nchini kwao, au hii imekaaje?Tamaduni yako ndio nembo yako usijikatae iwe tamaduni mbaya au nzuri ndio wewe hakuna mwingine na wengine watakuheshimu na kukuona hivo ndio maana wamasai Wana attract watu mbali mbali kuja kujifunza utamaduni wao! Sio mnajifanya wazungu badae watoto wenu wakianza kusukumwa makimba ndio mnaanza kusema shida maadili hamna NK,wazungu waharibifu Tu wa mifumo ya maisha ya watu na kuisha haribikiwa huwaoni tena
Na wao wako sahihi kuna TOFAUTI ya hijabu na niqab,niqab ni Ile ya kufunika mpaka uso Kwa usalama wa watu sio sawaLakini mbona kuna baadhi ya waumini wanapinga Wafaransa wanapotetea tamaduni zao? Maana Wafaransa hawataki Hijab nchini kwao, au hii imekaaje?
Wewe usitake kutudanganya na fahamu kwamba wengine tuna akili kukuzidi mbali sana na hata umri vilevile nina uhakika nakuzidi.Mtu aliye lelewa kwa adabu hawezi kusema uchi wa mwanamke shimo.
Mimi nadhani we umewakosa tu hao wavaa hijabu, na kama uliwapata hao sio wavaa hijabu, hao ni ma fashion show
Hijabu mana yake anajikinga na machafu, sa avae hijab afu akupe mwili wake, huyo lazima atakuwa ni
sex actress 😄
Mambo mengine naona ni programming ya kichwa tu,,,mbona enzi hizo wazee wetu walikua wanafunika tu kingozi kwa mbele na nyuma maisha yanaenda na walikua wanaheshimiana kuliko sie ambao tunavaa nguoWewe usitake kutudanganya na fahamu kwamba wengine tuna akili kukuzidi mbali sana na hata umri vilevile nina uhakika nakuzidi.
Nguo au mavazi sio kinga ya kumfanya mtu asijihusishe na utendaji wa dhambi kwa sababu dhambi huanzia moyoni na nguo ya huko hata mhusika mwenyewe hajui ina fananaje.
Ukiona wanaosumbuka na mambo ya mavazi ya watu ujue hawamtumikii Mungu wa ukweli bali miungu feki au ni tamaduni zao tu. Hakuna Mungu anayehangaika na mavazi ya watu wakati ni huyo huyo Mungu ndio aliumba watu haohao bila mavazi wakati alikuwa na uwezo wa kuwaumba na mavazi kwa sababu hakuna kinacho mshinda.
Hakuna binadamu yeyote mwenye akili timamu anayeweza kuamka nyumbani kwake asubuhi na akasahau kuvaa nguo na akatoka nje, hakuna. Hivyo watu acheni unafiki kila mtu avae inavyompendezea yeye. Period.
hamia IranSafi polisi wa maadili kamatieni hapo hapo
Kama hawataki waende kwa wazayuni wakafanye upuuzi wao wanaoutaja
Tuhamie sotehamia Iran
Hivyo watu acheni unafiki kila mtu avae inavyompendezea yeye. PeriodWewe usitake kutudanganya na fahamu kwamba wengine tuna akili kukuzidi mbali sana na hata umri vilevile nina uhakika nakuzidi.
Nguo au mavazi sio kinga ya kumfanya mtu asijihusishe na utendaji wa dhambi kwa sababu dhambi huanzia moyoni na nguo ya huko hata mhusika mwenyewe hajui ina fananaje.
Ukiona wanaosumbuka na mambo ya mavazi ya watu ujue hawamtumikii Mungu wa ukweli bali miungu feki au ni tamaduni zao tu. Hakuna Mungu anayehangaika na mavazi ya watu wakati ni huyo huyo Mungu ndio aliumba watu haohao bila mavazi wakati alikuwa na uwezo wa kuwaumba na mavazi kwa sababu hakuna kinacho mshinda.
Hakuna binadamu yeyote mwenye akili timamu anayeweza kuamka nyumbani kwake asubuhi na akasahau kuvaa nguo na akatoka nje, hakuna. Hivyo watu acheni unafiki kila mtu avae inavyompendezea yeye. Period.
We dogo siku ukinizidi akili mimi ujuwe huta abudu binadamu, kuhusu umri pia hunipiti mimi, mwenzako na kula pension nipo nyumbani nimestarehe.Wewe usitake kutudanganya na fahamu kwamba wengine tuna akili kukuzidi mbali sana na hata umri vilevile nina uhakika nakuzidi.
Nguo au mavazi sio kinga ya kumfanya mtu asijihusishe na utendaji wa dhambi kwa sababu dhambi huanzia moyoni na nguo ya huko hata mhusika mwenyewe hajui ina fananaje.
Ukiona wanaosumbuka na mambo ya mavazi ya watu ujue hawamtumikii Mungu wa ukweli bali miungu feki au ni tamaduni zao tu. Hakuna Mungu anayehangaika na mavazi ya watu wakati ni huyo huyo Mungu ndio aliumba watu haohao bila mavazi wakati alikuwa na uwezo wa kuwaumba na mavazi kwa sababu hakuna kinacho mshinda.
Hakuna binadamu yeyote mwenye akili timamu anayeweza kuamka nyumbani kwake asubuhi na akasahau kuvaa nguo na akatoka nje, hakuna. Hivyo watu acheni unafiki kila mtu avae inavyompendezea yeye. Period.
Christianity hatuna haoja za kuchukia waislam ila nyie ndio mnamafundisho ya kutuchukia non muslimHaya uliyoandika mbona hayafanani na mada iliyopo ya Irani hijabu zao na wanawake wa kituruki
Nyinyi wagalatia mnashida sana kudanganywa mdanganywe na Wazungu chuki zenu mnawapelekea waislam
Kwanza jifunze ukristo ni nini na wanaamini nini? na kama huelewi soma tu Quran utatukuta na Allah kasema tunaenda peponi..Mlivyo wajinga lile sanamu la bikira Maria mlioliweka kanisani mmelivisha hijabu alafu nyinyi hamtaki hijabu Kwa kudanganywa na Wazungu
Uturuki kitovu cha ukristo hao ottoman walikuwa wavamiz tu baada ya emperor basil 2 mambo yakageuka had ottoman wakatawala koteDuh! Vyuma vimeumana. Shida waturuki wanajihisi Westerners zaidi kuliko Middle Easterners. Pamoja na kuwa chimbuko la himaya kuu ya kidini ya Ottoman hawajawahi kupenda utamaduni wa uvaaji wa mashariki ya kati. Ngoja tuone kipi chuma cha pua kati ya wawili hao.
Comment bora kwenye huu uzi nyingine zote zime base kwenye udiniKuna wakati Ethiopian Airlines waliajiri 100 Chinese air hostess
Sote tunafahamu ma air hostess wa Ethiopia wanavyokubalika na airlines nyinyi
What happened ni kwamba Ethiopian Airline Ina 5 routes to China daily, na it seems hiyo route is one of the profitable route so Ili ku maintain customer base Yao wakaamua kuajiri air hostess ambao wataendana na route Yao
Kibiashara sioni sababu Turkish Airlines staff kugomea kuvaa hijab kama takwa la kisheria nchini Iran kwa gharama ya kukosa biashara ya Iran
Ukiangalia Cost-Benefit unaona Wanakosa biashara kwa sababu za kijinga
Ila kwa upeo wangu sidhani kama wamekuwa wajinga kiasi hicho
Regards
Sawa ila polisi wakamatie hapo hapo usitesekeTatizo la mashabiki maandazi mwadhani Shia wanawapendeni nyie Suni.. la hasha Suni ni kafir mbele ya Shia.. and Shia wanaamini Quran imebadilishwa na Suni. Ndio maana imejaa ujinga from page to page.. uzuri kuna Aya 4;82 imeandika ukikuta aya zinapingana na za kijinga na uongo ujue haijatoka kwa Allah and zile Ayat za Shetan zilizoahidiwa kuondoshwa kwenye Quran bado zipo na mnazifuata na kuzitetea.. ikiwepo kusujudia watoto wa Allah kina Al-Uzza, Manat na Al-lat