Polepole: CCM tunaendelea kuwa chama bora kwa kuwa tunajitahidi kusahihisha makosa yetu

Tunao wajibu wa msingu kabisa wa kulilinda na kulitetea Taifa letu, taifa la watu ambao hawana umoja linaanguka hata kwa upepo wa matalai.
 
Kuwaita wanaohoji kuwa ni wapuuzi sio lugha bora ya mwanasiasa, ni lugha ya kijinga inayoweza kutolewa na mjinga tu. Kama CCM inajisahihisha why imewapa wezi waliotufikisha hapa madaraka makubwa hadi kwenye bunge letu? Kama CCM inajisahihisha kwa nini mpaka sasa hawajamtaka rais afufue mchakato wa katiba ya Warioba ambao hakuna asiejua kuwa ndio salama pekee ya Taifa? Kama CCM inajisahihisha kwa nini isiwafukuze uanachama wale wote waliosababisha wizi huu?
CCM anayoisema Polepole iliondoka na Mwalimu Nyerere!
Lugha sahihi hapa ni kusema Mheshimiwa Rais ndiye anayejaribu kujisahihisha kwani haya yote aliyajua kwa zaidi ya miaka 20 lkn alikuwa kimya! Ni yeye anayejisahihisha na sio CCM!
Polepole why hujazungumzia suala la rambirambi kwenda kukarabati hospital? Au huko CCM haihusiki?
 
Polepole anaendeleza vita toka kwa Nape sasa kwenda kwa Mwigulu kiaina fulani kutumia matokeo
 
"Leo tutazungumza mambo makubwa mawili yanayoendelea kwenye taifa letu".

Jambo la kwanza linahusu hali ya Ulinzi na Usalama wa. kumekuwepo na mauaji ktk maeneo ya Mkuranga, Rufiji na Kibiti.

"CCM imehuzunishwa na kusikitishwa sana na mauaji hayo, tunatambua kuwa Wananchi wa maeneo haya wanapitia wakati mgumu".

Tunatoa pole kwa wote waliofikwa na misiba, tunawaombea majeruhi warejee ktk utimilifu wa Afya zao waendelee kulitumikia Taifa.

Tunaitaka Serikali ifanye kitu kurejesha AMANI maeneo yale, kwani watu wanaishi kwa salama, utulivu na bila taharuki.

Jambo la mauaji ya Kibiti linapaswa kupewa [HASHTAG]#Umaalumu[/HASHTAG] na tunayataka majeshi yote kushirikiana kurejesha amani

Tunashindwa kufanya uchaguzi na shughuli zetu za kichama kwa sababu ya mauaji yanayoendelea kwenye maeneo haya.

Tunasikitika kuwa katika hili tumeachwa wenyewe, vyama vya siasa tulipaswa kushikamana, ukimya wa wenzetu umetusikitisha.

Sisi kama CCM tunasimama na Wananchi wa Rufiji, Mkuranga na Kibiti. Tunataka wenye dhamana kuchukua hatua.

Jambo la pili ni lile alilolifanya Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt Magufuli baada ya kupokea ripoti kuhusu mchanga wa dhahabu.

Wapo wapuuzi wanaosema Serikali zilizopita zilikuwa za Chama gani? tunasema Chama bora ni kile kinachosahihisha makosa yake

Tunaendelea kuwa chama bora kwa kuwa tunajitahidi kusahihisha makosa yetu.

CCM mpya ni chachu ya TANZANIA mpya tutahakikisha rasilimali za watanzania zinatumika kwa manufaa yao.

Tuko katika vita ya kiuchumi, nayo ni vita kubwa na hatari zaidi duniani lakini nawahakikishia TUTASHINDA VITA HII.

Chama kimenituma kuja kuwaeleza jambo la Kibiti kwa kuwa haliko sawa, tunaomba wananchi watoe ushirikiano na majeshi yaungane.

CCM ni chama cha siasa chenye dhamana ya kuwasemea watu, ndio maana tunajitokeza hadharani na kuitaka Serikali kufanya jambo kuhusu mauaji.

More to follow
-----------------------
CCM tunasema IMETOSHA, hatutaki ifike wakati Chama kiamue kuwa wenye dhamana ya kusimamia amani yetu wajitafakari.
Yaleyale ya chama kujibadili Kama kinyonga
Leo kinapongeza,
Kesho kinapuuza hii ndio Tanzania
 
hili la mchanga wa madini ccm inapaswa kuwawajibisha makada wake waliopewa uongozi na kutumia vibaya madaraka yao katika kuliibia taifa letu...
 
"Eti wapo wapuuzi wanaosema Kwani serikali zilizopita zilikuwa za chama gani" leo unatuita wapuuzi sisi tunaohoji hasara iliyoletwa na CCM kwa taifa na kusababisha vifo vya mamilioni ya watu kupitia miundombinu mibovu tuliyonayo, ujinga wa tanzania waliouzalisha wao, hospitali zisizo na tiba na watendaji makini nk, nk, nk, nk.. LEO UNATUITA WAPUUZI BAADA YA KUTUOMBA SAMAHANI, KWELI KUNA WENYE NCHI..
 
Katibu wa Halmashauri Kuu itikadi na Uenezi Ndugu Humphrey Polepole atafanya mkutano na waandishi wa habari saa sita 6:00 mchana wa leo katika ofisi ndogo ya Makao Makuu iliyopo mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam.

Mwenezi huyo wa Chama Cha Mapinduzi ameahidi kuzungumzia mambo makuu mawili ambayo yanaendelea hivi sasa hapa nchini.

Press Conference hiyo itarushwa mubashara kupitia kurasa za mitandao ya kijamii za CCM na tutafanya live updates kupitia thread hii.

DAp6IBTXgAE4Nvx.jpg

Sifa ya kwanza ya Kiongozi bora ni [HASHTAG]#UADILIFU[/HASHTAG].

==============================================
UPDATES

= "Leo tutazungumza mambo makubwa mawili yanayoendelea kwenye taifa letu".

= Jambo la kwanza linahusu hali ya Ulinzi na Usalama wa. kumekuwepo na mauaji ktk maeneo ya Mkuranga, Rufiji na Kibiti.

= "CCM imehuzunishwa na kusikitishwa sana na mauaji hayo, tunatambua kuwa Wananchi wa maeneo haya wanapitia wakati mgumu".

= Tunatoa pole kwa wote waliofikwa na misiba, tunawaombea majeruhi warejee ktk utimilifu wa Afya zao waendelee kulitumikia Taifa.

= Tunaitaka Serikali ifanye kitu kurejesha AMANI maeneo yale, kwani watu wanaishi kwa salama, utulivu na bila taharuki.

= Jambo la mauaji ya Kibiti linapaswa kupewa [HASHTAG]#Umaalumu[/HASHTAG] na tunayataka majeshi yote kushirikiana kurejesha amani

= Tunashindwa kufanya uchaguzi na shughuli zetu za kichama kwa sababu ya mauaji yanayoendelea kwenye maeneo haya.

= Tunasikitika kuwa katika hili tumeachwa wenyewe, vyama vya siasa tulipaswa kushikamana, ukimya wa wenzetu umetusikitisha.

= Sisi kama CCM tunasimama na Wananchi wa Rufiji, Mkuranga na Kibiti. Tunataka wenye dhamana kuchukua hatua.

= Jambo la pili ni lile alilolifanya Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt Magufuli baada ya kupokea ripoti kuhusu mchanga wa dhahabu.

= Wapo wapuuzi wanaosema Serikali zilizopita zilikuwa za Chama gani? tunasema Chama bora ni kile kinachosahihisha makosa yake

= Tunaendelea kuwa chama bora kwa kuwa tunajitahidi kusahihisha makosa yetu.

= CCM mpya ni chachu ya TANZANIA mpya tutahakikisha rasilimali za watanzania zinatumika kwa manufaa yao.

= Tuko katika vita ya kiuchumi, nayo ni vita kubwa na hatari zaidi duniani lakini nawahakikishia TUTASHINDA VITA HII.

= Chama kimenituma kuja kuwaeleza jambo la Kibiti kwa kuwa haliko sawa, tunaomba wananchi watoe ushirikiano na majeshi yaungane.

= CCM ni chama cha siasa chenye dhamana ya kuwasemea watu, ndio maana tunajitokeza hadharani na kuitaka Serikali kufanya jambo kuhusu mauaji.

More to follow
-----------------------
= CCM tunasema IMETOSHA, hatutaki ifike wakati Chama kiamue kuwa wenye dhamana ya kusimamia amani yetu wajitafakari.
Polepole ni mojawapo ya watu wa hovyo kuwahi kutokea ktk inchi hii
 
= Wapo wapuuzi wanaosema Serikali zilizopita zilikuwa za Chama gani? tunasema Chama bora ni kile kinachosahihisha makosa yake
Mkisahihisha hela tulizopoteza mtaturudishia? Na hatua gani uchukuliwe kwa waliosababisha au tunawaacha tu?
 
Tunao wajibu wa msingu kabisa wa kulilinda na kulitetea Taifa letu, taifa la watu ambao hawana umoja linaanguka hata kwa upepo wa matalai.
Umoja mnauona wakati wa matatizo tu.mbona wakati wa kupitisha hayo mauozo yenu hatushirikishani? Si mnawazomeaga wapinzani nyinyi bungeni? Na bado ile mikataba ya gesi mliyopitisha 2015 haija jibu. Kila mtu ataubeba msalaba wake.
 
Katibu wa Halmashauri Kuu itikadi na Uenezi Ndugu Humphrey Polepole atafanya mkutano na waandishi wa habari saa sita 6:00 mchana wa leo katika ofisi ndogo ya Makao Makuu iliyopo mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam.

Mwenezi huyo wa Chama Cha Mapinduzi ameahidi kuzungumzia mambo makuu mawili ambayo yanaendelea hivi sasa hapa nchini.

Press Conference hiyo itarushwa mubashara kupitia kurasa za mitandao ya kijamii za CCM na tutafanya live updates kupitia thread hii.

DAp6IBTXgAE4Nvx.jpg

Sifa ya kwanza ya Kiongozi bora ni [HASHTAG]#UADILIFU[/HASHTAG].

==============================================
UPDATES

= "Leo tutazungumza mambo makubwa mawili yanayoendelea kwenye taifa letu".

= Jambo la kwanza linahusu hali ya Ulinzi na Usalama wa. kumekuwepo na mauaji ktk maeneo ya Mkuranga, Rufiji na Kibiti.

= "CCM imehuzunishwa na kusikitishwa sana na mauaji hayo, tunatambua kuwa Wananchi wa maeneo haya wanapitia wakati mgumu".

= Tunatoa pole kwa wote waliofikwa na misiba, tunawaombea majeruhi warejee ktk utimilifu wa Afya zao waendelee kulitumikia Taifa.

= Tunaitaka Serikali ifanye kitu kurejesha AMANI maeneo yale, kwani watu wanaishi kwa salama, utulivu na bila taharuki.

= Jambo la mauaji ya Kibiti linapaswa kupewa [HASHTAG]#Umaalumu[/HASHTAG] na tunayataka majeshi yote kushirikiana kurejesha amani

= Tunashindwa kufanya uchaguzi na shughuli zetu za kichama kwa sababu ya mauaji yanayoendelea kwenye maeneo haya.

= Tunasikitika kuwa katika hili tumeachwa wenyewe, vyama vya siasa tulipaswa kushikamana, ukimya wa wenzetu umetusikitisha.

= Sisi kama CCM tunasimama na Wananchi wa Rufiji, Mkuranga na Kibiti. Tunataka wenye dhamana kuchukua hatua.

= Jambo la pili ni lile alilolifanya Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt Magufuli baada ya kupokea ripoti kuhusu mchanga wa dhahabu.

= Wapo wapuuzi wanaosema Serikali zilizopita zilikuwa za Chama gani? tunasema Chama bora ni kile kinachosahihisha makosa yake

= Tunaendelea kuwa chama bora kwa kuwa tunajitahidi kusahihisha makosa yetu.

= CCM mpya ni chachu ya TANZANIA mpya tutahakikisha rasilimali za watanzania zinatumika kwa manufaa yao.

= Tuko katika vita ya kiuchumi, nayo ni vita kubwa na hatari zaidi duniani lakini nawahakikishia TUTASHINDA VITA HII.

= Chama kimenituma kuja kuwaeleza jambo la Kibiti kwa kuwa haliko sawa, tunaomba wananchi watoe ushirikiano na majeshi yaungane.

= CCM ni chama cha siasa chenye dhamana ya kuwasemea watu, ndio maana tunajitokeza hadharani na kuitaka Serikali kufanya jambo kuhusu mauaji.

More to follow
-----------------------
= CCM tunasema IMETOSHA, hatutaki ifike wakati Chama kiamue kuwa wenye dhamana ya kusimamia amani yetu wajitafakari.
Mipasho!!!!
Mzee yusufu aliamuaga kurejelea muumba wake kwa kuachana na hii makitu.
 
Back
Top Bottom