Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,470
- 70,590
Bravo Yanga
Ni wakati muafaka kwa viongozi wote wa simba kufukuzwa aingie yule mpiga gitaa maalufu HASSAN DALALIPoint zako ulishinda mechi!?hizo ni point za kagera mnazilazimisha lakini nashuru point mmenyimwa!
Manara sijui ataficha wapi sura yake
Fifa hakuna Figisu figisu bhana..Bravo Yanga
Walisahau kumshirikisha muhongoSimba walitaka KUCHENJUA MATOKEO wakati hawana MAKINIKIA
Nimeamini kweli yanga ni ya KIMATAIFARaisi wa FIFA atumasalamu na pongezi kwa Dar Young Africans kwakuchukua ubingwa mara tatu mfululizo
True mkuuFifa hakuna Figisu figisu bhana..
Ndiyo hapo sasaWakienda UN so muamuzi atakuwa Yanga kwani Yanga anajiita UN
Huko watamkuta YANGAWaende UN ruksa kama hawajaridhika
Bado unataka matokeotunajua mbona,haya tupe na matokeo ya kule dododma muda huu!
Mikia fc wameshinda FA kwa figisu ya kupewa penalt dk za lala salamaFifa hakuna Figisu figisu bhana..
Rufani fc 2 Mbao 1tunajua mbona,haya tupe na matokeo ya kule dododma muda huu!
Watawadanganya wapenzi wao kwa kombe la FAHahahaha habari mbaya hizi kwao
Pole sana mkuu simba inaongozwa na viongozi wenye kk tuFIFA nao wapuuzi tu. Points 3 za simba ziko wazi wanashindwaje kuziona? Naona siasa ya mpira imeingia FIFA pia.
kifutia machozi hahahaWatawadanganya wapenzi wao kwa kombe la FA
yanga mna matatizo sana,hiyo mi`rangi inawaharibu akili....Rufani fc 2 Mbao 1
Walishaanza kujitapa eti lazima watwae ubingwaIlikuwa mbinu ya kuwatuliza mashabiki. Walijua hawafiki popote. Rage gwiji wa sheria za FIFA hakulijua hili?
Wajaribu mwakani. Wakiongoza kwa point nane wajue kuwa consistent!