Nshonzi
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 3,057
- 1,882
Refa alishakula mrungula kutoka kwa maandamano fcRefa utampigaje kadi mtu alafu husahau. Ningekuwa fifa ningeanzisha na hao TFF
Refa alishakula mrungula kutoka kwa maandamano fcRefa utampigaje kadi mtu alafu husahau. Ningekuwa fifa ningeanzisha na hao TFF
Tatizo hakuna mwenye elimusimba mna vituko ..sio Rage, Manara wala Aveva
Kwahiyo hicho kikichoandika hapa jamvini ninini?Hiyo barua haijatengenezwa ya uongo? Mbona hakuna chombo chochote kilichoripoti wala kutoa taarifa yeyote?
PoleniHiyo ripoti nina mashaka nayo
imeandikwa na MalinziKwahiyo hicho kikichoandika hapa jamvini ninini?
Kurudishiwa au kupora? Maana anarudishiwa aliyeshinda kihalaliHahahaaaaa hivi mashabiki wa Simba walikuwa na matumaini kabisa ya kurudishiwa points 3?
Hakuna mpira unaochezwa mezani Duniani.
Mnasema ombaomba halafu wanawezaje kuwahonga FIFA?Yanga watakuwa washa fanya muamala kuelekea FIFA
Mbona nyie mmefungwa 2-1 lakini mmesahau na sasa mnadai points?Refa utampigaje kadi mtu alafu husahau. Ningekuwa fifa ningeanzisha na hao TFF
Kwani jamii forum siyo chombo???au wataka sufuria shekhe???Hiyo barua haijatengenezwa ya uongo? Mbona hakuna chombo chochote kilichoripoti wala kutoa taarifa yeyote?
Nimecheka sanaFIFA: Kwenye hiyo mechi, Kagera Sugar walichezesha wawchezaji wangapi?
Aveva: Wachezaji 11 sir
FIFA: Mechi ilichezwa kwa dakika ngapi?
Aveva: 90 mkuu?
FIFA: 90 nini?
Aveva: Dakika 90 mkuu.
FIFA: Unapoongea na mimi usinijibu kihuni huni, kwa nini unaongea kama umezaliwa sokoni?
Aveva: Makao makuu ya klabu yetu yapo sokoni mkuu.
FIFA: Ok, hayo tuyaache. Hebu niweke wazi, matokeo yalikuwaje baada ya dakika 90?
Aveva: Tulifungwa 2-1
FIFA: Sasa malalamiko yenu ni nini hasa?
Aveva: Kagera walimchezesha mchezaji mwenye kadi 3 za njano
FIFA: Huyo ni kati ya 11 wanaostahili kuwepo uwanjani au alikuwa wa 12?
Aveva: Ni kati ya 11
FIFA: Sasa hilo liliwaathiri vipi kama timu uwanjani?
Aveva: Mimi sijui, Manara ndio alisema tukomalie hapo hapo.
FIFA: Manara ndio bosi wako?
Aveva: Hapana, mimi ndio bosi
FIFA: Dah, this is too much for a day. Ok, wewe rudi nyumbani ukasaidie kudhibiti makinikia, mimi nitasawazisha hii hali kuhakikisha usawa katika hili ili msipunjike.
Aveva: Asante sana mkuu, ngoja tukaandae sherehe za ubingwa.
MAAMUZI YA FIFA: Mechi ya msimu ujao kati ya Simba na Kagera Sugar, Simba itaruhusiwa kumchezesha mchezaji mwenye kadi 3 za njano ili Simba imfunge Kagera Sugar 2-1. Namna gani Simba watahakikisha kuwa na mchezaji mwenye kadi 3 za njano kabla ya mchezo wao na Kagera ni jukumu la klabu ya Simba yenyewe.
Akisema Kaburu na Hans Poppe, wanafuata tu!Hahahaaaaa hivi mashabiki wa Simba walikuwa na matumaini kabisa ya kurudishiwa points 3?
Hakuna mpira unaochezwa mezani Duniani.
Kateni rufaa tena msikubaliFIFA nao wapuuzi tu. Points 3 za simba ziko wazi wanashindwaje kuziona? Naona siasa ya mpira imeingia FIFA pia.
Ndio hapo sasaMnasema ombaomba halafu wanawezaje kuwahonga FIFA?