Platform ya kuuza na kununua muziki wasafidotcom tayari kwa matumizi

Wamejibu mwanangu.

Ila majibu yao hayaeleweki eleweki.
Bear in mind kwamba wasafidotcom haiuzi kazi za WCB tu bali wasanii wote iwe ndani au nje ya mipaka ya Tanzania.Alafu nimekumbuka kitu:Kuna tofauti kati ya kuuza na kusambaza na ili liwe akilini mwako pia b4 you argue!.
 
Hajawah kusema kitu kama hicho, umechanganya habari tofaut tofaut
Kusema kitu na kukana baadae ndio kawaida yenu Wcb
 
Attachments

  • Screenshot_2017-03-09-18-50-46.png
    Screenshot_2017-03-09-18-50-46.png
    216.9 KB · Views: 44
Apo kwenye kusambaza kazi za wcb nzima hapana mkataba alisaini mondi kama mondi tu,Kingine mbona watu wana mikataba na same company na bado wanatumia platforms kama tidal?!
Unavyobisha vitu ambavyo Dimond mwenyewe alisema ndio ninaposhindwa kukuelewa.

Kikubwa mtuambie tu kimetokea nini mpaka wanauza wenyewe na sio universal tena?

alafu tupe tofaut ya kusambaza na kuuza muziki kama mwenyewe Unavyodai
Screenshot_2017-03-09-18-50-46.png
Screenshot_2017-03-09-18-50-46.png
 
Kupitia ukurasa wake wa instagram,Diamond platnumz ameweka wazi kua plaform yake ya kuuza na kununulia kazi za wasanii iitwayo,wasafidotcom ipo tayari kwa matumizi pande zote yaani wasanii (wauzaji) na mashabiki (wanunuzi).

Aliongeza kua plaform hio si kwaajili ya wasanii wa WCB tu bali ni kwaajili ya wasanii wote ndani na nje ya Tanzania!.
Pia aliandika,wazo la kuanzisha platform hio (wasafidotcom) ni baada ya kuona wasanii wanaekeza kwa kiasi kikubwa na wanapata kidogo kwa 7b alioleza kua wanadhulumiwa!.

Alihitimisha kwa kuandika wimbo wa harmonize mpya unaotarajia kutoka kesho kwa mara ya kwanza utapatikana kwenye platform io tu,Nimepita nimekuta gharama ni shilingi 300 tu kwa nyimbo moja!..Pia aliomba ushirikiano kutoka kwa wadau yaani mashabiki.

Pita hapa www.wasafi.com kuitazama.
Tuache ushabiki,Huyu jamaa anajua sana.
[HASHTAG]#BongoFlevaToTheWorld[/HASHTAG]
Viva diamond

Hakuna kama wewe dunia hii labda atokee dunia sayari nyingine
 
Mkataba wa Sony na Ali ni tofauti na Mkataba wa Dimond na Universal kama ulimsikiliza mwenyewe Dimond alivyokuwa akitamba siku ile kwenye XXL.

Mkataba wa Ali yeye anasimamiwa kila kitu na Sony...kama ilivyokuwa Wcb wanavyomsimamia Harmonise,Mavoko au Raymond ila Mkataba wa Dimond na Universal ni kuwa jamaa kazi yao ni kusambaza na kuuza kazi za Wcb dunia nzima.

Ila cha ajabu hii Wasafi.com kuna kazi zote za Wasanii wa Wcb akiwemo na Dimond mwenyewe...Sasa kwa akili zako za kawaida unakubali kuwa watu wakulipe bilioni 2.2 Alafu bado wakuache uendelee kupata hela kupitia kitu ambacho washakupa hela?!

Kuna vitu Dimond hakuweka sawa siku ile pengine kwa bahati mbaya au kwa makusudi maana jamaa siku ile alikuwa kapanic na aki-panic huwa anaongea mpaka zisipokuwepo
Duh! We jamaa bhana...

Upande mmoja unakiri kwamba Sony wanamsimamia Kiba kila kitu... sasa kama wanasimamia kila kitu si pamoja na mauzo ya kazi za Kiba?!

Kama ndiyo, hiyo imezuia kazi za Kiba kuuzwa kwenye platforms zingine?! Mkito hakuna kazi za Kiba? Mkito ni ya Sony ile?!

Unashindwa hata kufikiria kwamba kwenye mkataba kunaweza kuwa na option ya kazi kuuzwa locally vile vile na kisha wakagawana mapato?!

Aidha, unachoshindwa kufahamu ni kwamba, Label inapoingia mkataba na msanii wa kuuza kazi za msanii; kazi hizo zitauzwa kwenye platform yoyote ili ku-maximize mauzo!! Hiyo wasafi.com ni selling platform kama ilivyo Mkito!!!

Unachoshindwa kufahamu ni kwamba, badala ya kutegemea Mkito na hivyo kuongeza makato ya mapato; wao wameamua, locally (local target) watumie platform ya kwao!! Which means, ile percent ambayo ingechukuliwa na Mkito as publisher, itachukuliwa na wenyewe!

Which means, hata huyo Kiba kama anakuwa na platform yake; wanaweza kukubaliana na Sony kazi zake locally (target) ziuzwe na "kiba.com" ili makato yaliyokuwa yanaenda Mkito yawe yanaenda kwa Kiba!!!
 
Diamond anafikiria mbele sana kwakweli hatumpangii Mungu ila tunamuombea azidishiwe Sikh zake yasije yakawa ya kanumba ..kanumba ndiye alikuwa muhimili Wa bongo muvi Leo wanamtusi sana baba tifa ila akiondoka mpaka apatikane kama yeye itakuwa ni muzik..long live simba...bravo to you
Diamond hajasoma lakini ana akili kuliko waliokwenda shule

Anajua ujasiariamali kuliko waliosomea masomo hayo.
 
Mkataba wa Sony na Ali ni tofauti na Mkataba wa Dimond na Universal kama ulimsikiliza mwenyewe Dimond alivyokuwa akitamba siku ile kwenye XXL.

Mkataba wa Ali yeye anasimamiwa kila kitu na Sony...kama ilivyokuwa Wcb wanavyomsimamia Harmonise,Mavoko au Raymond ila Mkataba wa Dimond na Universal ni kuwa jamaa kazi yao ni kusambaza na kuuza kazi za Wcb dunia nzima.

Ila cha ajabu hii Wasafi.com kuna kazi zote za Wasanii wa Wcb akiwemo na Dimond mwenyewe...Sasa kwa akili zako za kawaida unakubali kuwa watu wakulipe bilioni 2.2 Alafu bado wakuache uendelee kupata hela kupitia kitu ambacho washakupa hela?!

Kuna vitu Dimond hakuweka sawa siku ile pengine kwa bahati mbaya au kwa makusudi maana jamaa siku ile alikuwa kapanic na aki-panic huwa anaongea mpaka zisipokuwepo
Wewe jamaa kweli mbumbumbu , universal music wanasimamia Kazi za diamond kwenye platform kubwa zaidi duniani
Ndo maana unaona vituo vikubwa duniani vinacheza nyimbo ya marry you ,
Mtv Denmark, Holland, UK ,Finland, Greece , Spain kote wanacheza marry you ya diamond sio kwa bahati mbaya hii no Kazi universal music,
Wasafi no platform kama ilivyo spotify au mkito,au mziiki.
Wasanii wa wasafi sasahivi baada ya kutumia mkito watakuwa wanatia Wasafi music

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Unavyobisha vitu ambavyo Dimond mwenyewe alisema ndio ninaposhindwa kukuelewa.

Kikubwa mtuambie tu kimetokea nini mpaka wanauza wenyewe na sio universal tena?

alafu tupe tofaut ya kusambaza na kuuza muziki kama mwenyewe Unavyodai View attachment 478687 View attachment 478687
Usidhani mondi aliamka asubui akawaza kuja na platform hii wenda ili wazo analo b4 ku-sign na universal!.Hata ivo huezi ekewa restriction jinsi za kusambaza kazi zako.Bear in mind kwamba mondi ana ushawishi mkubwa bongo na nje ya mipaka pia,huoni universal wanaweza kumtumia.!..ahahah..!Mtabaki ivo ivo mkijipa moyo ila ukweli mnaujua.Mstcheww.!
 
Unavyobisha vitu ambavyo Dimond mwenyewe alisema ndio ninaposhindwa kukuelewa.

Kikubwa mtuambie tu kimetokea nini mpaka wanauza wenyewe na sio universal tena?

alafu tupe tofaut ya kusambaza na kuuza muziki kama mwenyewe Unavyodai View attachment 478687 View attachment 478687
We we jamaa hujui music unauzwaje omba uelimishwe , aliekwambia universal au Sony wanauza music Nani?
Ngoja nikupe darasa
Drake yupo universal music lakini mziki wake alisaini unauzwa na apple music
Adele under Sony music lakini music wake unauzwa apple music.
Sony au universal hawana app za kuuza music ila wao wanakuwa na licence.
Jifunze music acha upopoma

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Mkataba wa Sony na Ali ni tofauti na Mkataba wa Dimond na Universal kama ulimsikiliza mwenyewe Dimond alivyokuwa akitamba siku ile kwenye XXL.

Mkataba wa Ali yeye anasimamiwa kila kitu na Sony...kama ilivyokuwa Wcb wanavyomsimamia Harmonise,Mavoko au Raymond ila Mkataba wa Dimond na Universal ni kuwa jamaa kazi yao ni kusambaza na kuuza kazi za Wcb dunia nzima.

Ila cha ajabu hii Wasafi.com kuna kazi zote za Wasanii wa Wcb akiwemo na Dimond mwenyewe...Sasa kwa akili zako za kawaida unakubali kuwa watu wakulipe bilioni 2.2 Alafu bado wakuache uendelee kupata hela kupitia kitu ambacho washakupa hela?!

Kuna vitu Dimond hakuweka sawa siku ile pengine kwa bahati mbaya au kwa makusudi maana jamaa siku ile alikuwa kapanic na aki-panic huwa anaongea mpaka zisipokuwepo
Atakaemjibu huyu jamaa nahisi akili zao zitakuwa zinafanana
 
N short 1milion dollar ta kwa universal n kubwa hawawez kkupa afu wasikamue assert yao tena kwenye potential market unless aweke wazi kuwa hiyo site siyo yake bal n ya universal wemeweka ilkuanza kurudisha 2.2b na kutumia jina kupata wasanii wengine wa kunufaika na soko la east africa ambayo ndo the main cover
 
Iyo 2.2B inawauma sana eeeh baada ya msanii wenu kusajiliwa bure na sony
 
The problem with coversations is that some people read to reply not to understand what is written.Mfano ni uyu mzaramo.Tena bora ni kwa maandishi anachoka kuandika,ingekua ulimi si tungeuana hata ivo wajiandae tu,kesho mapinduzi.
 
Kusema kitu na kukana baadae ndio kawaida yenu Wcb
Nilikuambia umechanya habari mbili, Diamond hajawah sema kitu ilicho sema mwanzo

Mosi, swala la kodi, kodi ilikua ya mwaka mmoja kabla ya mkataba wake na Universal... Pesa ya Mkataba wake na universal alitoa kias akanunua nyumba South Africa

Pili, Issue ya Universal na usambazaji, Wale n sawa na Super dealer, watasambaza music kwenye masoko yao, hii haizuii au haiwek kizuiz kwa mtu kusambaza kazi zake kwa njia nyingne

Umeenda pale Azam ukafunga nao mkataba wa sumbaza ngano yao, haiwazuii wao nao kusambaza kwasababu wewe ndio super dealer..

Nyongeza# Hiyo website sio kwaajil ya Wasafi pekee, n wasanii wote Africa... leo ukienda kwenye digital platform kibao tu kazi za Wasafi unazikuta humo, mpya na za zaman, kama ingalikua n kazi zao zote zitasambazwa na Universal pekee, hizo kazi za wasafi zingeondolewa kwenye digital platform zote ambazo haziko chini ya Universal
 
Wow!.Wasipokuelewa na hapa acha nao.
 
Back
Top Bottom