Platform ya kuuza na kununua muziki wasafidotcom tayari kwa matumizi

Huu ushabiki muwe mnauweka pembeni kwenye vitu vya msingi kama hivi!.Anyways,ukitaka kujua nani ana mauzo mengi mtandaoni,Kama unafuatilia utakua unafahamu kwamba [HASHTAG]#MarryYou[/HASHTAG] ilikua kwenye list ya vevo ya nyimbo 20 zilizotazamwa sana marekani kati ya wiki juzi na wiki jana!.swali,Kama kiba ni bora mbona hajatokea kwenyee hii list ilhali na yeye yupo vevo.
Anyways,mimi sio team member wa popote!.Uo ulikua mtazamo wangu tu.
Kiba ametokea sema hapendi kujionyesha, yeye ni watofauti
 
yes range ni kuanzia 100-300
Basi kuna vitu wanaangalia ili kupanga bei,sio?!Siku chache kabla niliona ni shilingi 500.After the launching naona wamebadilisha.Ngoja tukapite sheria na policy zao labda tutapata kitu.
 
Hawa jamaa wa bongo muvi si watumie hizi njia kuuza kazi zao.

Shilingi mia tatu au mia tano kwa muvi ni hela nzuri tu, ukizingatia hakuna magharama ya CD, covers, usambazaji n.k.
Mbona ipo,ile ambayo lulu aliuzia ile muvi yake ilompa tuzo zile za nigeria!.sema hawajai-promote vya kutosha hii platform ya muvi.Ngoja wanaoikumbuka jina watatuambia.
 
Mkuu wakikujibu fanya kunitag.
Ipo wazi kabisa,Mondi kaandika kwamba:Hii platform sio kwa ajili ya kazi za WCB tu bali ni kwaajili ya wasanii wote,Hivo basi kama mkataba wa universal unambana atapiga ela kwa kuuza za wengine!.Ivo hana hasara.Infact,mkataba haumbani ndo maana ukiitembelea wasafidotcom utagundua nyimbo zake nazo zipo included.
 
Mbona ipo,ile ambayo lulu aliuzia ile muvi yake ilompa tuzo zile za nigeria!.sema hawajai-promote vya kutosha hii platform ya muvi.Ngoja wanaoikumbuka jina watatuambia.
Ipi hiyo? kwenye muziki kuna Mkito, Afro premere sijui ile, sasa kuna hii tena....kwenye muvi naona kimya wanakabana na Wauza CD tu.
 
Mzaramo acha kuwa mvivu wa kufikilia!.Hii inaitwa self-investment haihusiani hata kidogo na universal.Mfano mdogo ni kibakuli mbona yupo sonz na bado anatumia mkito ku-push kazi yake.Labda hujaelewa,io platform(wasafidotcom) haisambazi kazi za WCB tu bali wasanii wote Tanzania na nje ya mipaka ya tanzania kwaivo jamaa anaeza akaitumia kusambaza kazi za wengine sio lazima zake tu.Kumbuka he is worldwide known huoni fursa kwa wasanii wengine kua international kupitia hii wasafidotcom.
Mkataba wa Sony na Ali ni tofauti na Mkataba wa Dimond na Universal kama ulimsikiliza mwenyewe Dimond alivyokuwa akitamba siku ile kwenye XXL.

Mkataba wa Ali yeye anasimamiwa kila kitu na Sony...kama ilivyokuwa Wcb wanavyomsimamia Harmonise,Mavoko au Raymond ila Mkataba wa Dimond na Universal ni kuwa jamaa kazi yao ni kusambaza na kuuza kazi za Wcb dunia nzima.

Ila cha ajabu hii Wasafi.com kuna kazi zote za Wasanii wa Wcb akiwemo na Dimond mwenyewe...Sasa kwa akili zako za kawaida unakubali kuwa watu wakulipe bilioni 2.2 Alafu bado wakuache uendelee kupata hela kupitia kitu ambacho washakupa hela?!

Kuna vitu Dimond hakuweka sawa siku ile pengine kwa bahati mbaya au kwa makusudi maana jamaa siku ile alikuwa kapanic na aki-panic huwa anaongea mpaka zisipokuwepo
 
Hawa jamaa wa bongo muvi si watumie hizi njia kuuza kazi zao.

Shilingi mia tatu au mia tano kwa muvi ni hela nzuri tu, ukizingatia hakuna magharama ya CD, covers, usambazaji n.k.
Ipo hii hapa:
Proin.png

Hata hivyo, bei zao ni kubwa kuliko CD zinazouzwa na Wamachinga!!!
 
Ipi hiyo? kwenye muziki kuna Mkito, Afro premere sijui ile, sasa kuna hii tena....kwenye muvi naona kimya wanakabana na Wauza CD tu.
Ipo moja ivi nikiikumbuka ntaileta umu..io afro premiere ya juzi tu alafu mkito hawauzi video wao wana-deal na audio tu.
 
Huyu si alisema alilipwa Bilioni 2.2 na Universal Music alafu akalipa Kodi Milioni 35 ili nyimbo zao za Wcb waziuze wao?!

Imekuaje tena mbona wanauza wenyewe tena?!
Hajawah kusema kitu kama hicho, umechanganya habari tofaut tofaut
 
Mkataba wa Sony na Ali ni tofauti na Mkataba wa Dimond na Universal kama ulimsikiliza mwenyewe Dimond alivyokuwa akitamba siku ile kwenye XXL.

Mkataba wa Ali yeye anasimamiwa kila kitu na Sony...kama ilivyokuwa Wcb wanavyomsimamia Harmonise,Mavoko au Raymond ila Mkataba wa Dimond na Universal ni kuwa jamaa kazi yao ni kusambaza na kuuza kazi za Wcb dunia nzima.

Ila cha ajabu hii Wasafi.com kuna kazi zote za Wasanii wa Wcb akiwemo na Dimond mwenyewe...Sasa kwa akili zako za kawaida unakubali kuwa watu wakulipe bilioni 2.2 Alafu bado wakuache uendelee kupata hela kupitia kitu ambacho washakupa hela?!

Kuna vitu Dimond hakuweka sawa siku ile pengine kwa bahati mbaya au kwa makusudi maana jamaa siku ile alikuwa kapanic na aki-panic huwa anaongea mpaka zisipokuwepo
Apo kwenye kusambaza kazi za wcb nzima hapana mkataba alisaini mondi kama mondi tu,Kingine mbona watu wana mikataba na same company na bado wanatumia platforms kama tidal?!
 
Back
Top Bottom