hapa kunamaswali mengi! huyu veo
1.mwajiri wake nani? tamisemi au serikali kuu?
2.alipewa muda wa kujieleza kwa afisa utumishi wake?
3.mwajiri wake alitaarifiwa juu ya kutimliwa kwake?
4.kaandaliwa mafao yake kabla ya kupoteza ajira yake?
5.hadi mwaka ukaisha bila riport DC, DED, RC na mwenyekiti wa cancil walikuwa wapi?
kwa maoni yangu hii kutimuana barabarani ni mambo ya kishamba! yeye alipaswa kumfuta kazi RC,DC na mkurugenzi wa halmashauri, then huyu akasimamishwa kazi tukisubiri uchunguzi wa mkaguzi wa hesabu za serikali kuona kama huyu veo alikuwa na cha kujibu au la then akafikishwa mahakamani.